Kahama VS Njombe/Mafinga

Ukuaji ni wa kasi kwa miji yote ila ni ukuaji holela, mipango miji wamejitenga na wananchi matokeo yake ujenzi holela unatamalaki.
kwa utaratibu wa maofisa Ardhi kuchukua mishahara na kubaki ofisini bila kwenda site wakisubiri mafungu ujenzi holela ni lzm Hakuna namna
 
Na kitu kingine usicho jua Yan njombe wamekazaniwa kuwa walime raw material viwanda ni makambako na ndicho kilichopo mufindi dc na mafinga tc
Sie tunaoanzisha mnyororo wa thamani ndio tunapata pesa za moja kwa moja na tuko wengi kuliko wachache wanaoajiriwa kwenye viwanda na vikodi vichache vinavyolipwa na kiwanda.
 
Hii ni moja ya beach iliyobuniwa ndani ya makambako town
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…