Na huo uwekezaji unao sema ni ule wa uboreshaji miji kumi na nane ambapo kwa njombe wamejenga soko ,stendi taa za barabarani na baadhi ya lami za mitaa kumbuka miji Kama kahama makambako mafinga na tunduma haikuwemo kwenye huo mradi nasaiz imeingizwa na ndo miji ambayo itapewa kipaumbele zaidi kwa mujibu wa waziri ko hiyo lazima mkubali kuzidiwa Kama saiz ipo speed na bado mradi huo haujaanzahoja yako ya Njombe kutokuwa Manspaa ni dhaifu kidogo.Hata wageni hua wanashangaa kwa nini Njombe imechangamka kimakazi na kibiashara kuliko baadhi ya Manspaa kama za Lindi lakini haijapewa hadhi hiyo lakini jibu ni kua wakati ule makao makuu mengi ya miko yalipewa hadhi ya manspaa ili kuchochoa maendeleo na biashara japo vigezo vilikua havijatimia.Njombe ya 2007 haingeweza kua na hadhi hiyo kwanza ilikua bado iko mkoa wa Iringa na miundo mbinu yake ilikua bado kabisaaa na hakukua na uwekezaji wa maana.Lakini Njombe ya leo inastahili kwa sababu inasonga kwa kasi na majengo yanajengwa sio kama Dar es Salaam lakini yanajengwa na ushindani ni mkubwa.
Na ukumbuke makambako haikuwepo kwenye mradi huo lakini Ina taa za barabarani za kiwango lamiza mitaa za kutosha na wamejenga masoko madogomadogo ya kutosha na ushindani wa kujenga gorofa unaendelea especially angalia songea road kinacho endelea ni mwendo wa shell na gorofahoja yako ya Njombe kutokuwa Manspaa ni dhaifu kidogo.Hata wageni hua wanashangaa kwa nini Njombe imechangamka kimakazi na kibiashara kuliko baadhi ya Manspaa kama za Lindi lakini haijapewa hadhi hiyo lakini jibu ni kua wakati ule makao makuu mengi ya miko yalipewa hadhi ya manspaa ili kuchochoa maendeleo na biashara japo vigezo vilikua havijatimia.Njombe ya 2007 haingeweza kua na hadhi hiyo kwanza ilikua bado iko mkoa wa Iringa na miundo mbinu yake ilikua bado kabisaaa na hakukua na uwekezaji wa maana.Lakini Njombe ya leo inastahili kwa sababu inasonga kwa kasi na majengo yanajengwa sio kama Dar es Salaam lakini yanajengwa na ushindani ni mkubwa.
Ni kweli kabisa hayo unayosema na jiografia ya Makambako ina support viwanda kwa sababu ni tambarare na iko junction.Zaidi ya kilimo kaka njombe kuna uwekezaji upi mpya na kumbuka Bei ya mazao inapanda na kushuka na uwekezaji wa viwanda vingi makambako huo ndo utaongeza maradufu hayo mapato unayo yaona na kupitia hayo mapato madogo tayari wamelipa eneo fidia ya kujenga stendi kubwa ya mabasi pale kipagamo na zoezi la ujenzi mkandarasi anaanza mwez wa saba na kumaliza mwez wa 12 kitu tayar serikali kuu Sasa imelipa fidia eneo la ujenzi one stop centre pale idofi jilan na mpaka wa mkoa wa iringa na njombe pia imelipa fidia eneo la ujenzi soko la kimataifa pale mashujaa wamebaki watu kumi na tano kumaliziwa kazi iendelee na pia kuna ujenzi wa kiwanda cha madawa chini ya msd kwaajili ya ku supply nchi za SADC kazi bado inaendelea pale idofi ,kiwanda cha kusindika nyama pale kihanga wanamalizia kufunga mitambo ,ujenzi wa soko kubwa la mazao pale kiumba inaendelea hiyo ni baadhi tu ya miradi ya serikali ambayo inaendelea kutekelezwa ndani ya halmashaur ya mji wa makambako na ya watu binafsi na makampuni hiyo tumeiweka kando kidogo maana ni mingi mno muda unaongea
Kwa sasa tumekidhi vigezo ni taratibu tuu za kiserikali kuitangaza rasmi kwa sababu hakuna kigezo ambacho bado.Huo muda wa kuwa manispaa haufiki tu kila siku soon wenzenu kahama halimashari ya mji imeanza 2012 ndani ya miaka tisa imekuwa manispaa na njombe imeanza mji toka 2007 Ina miaka14 bado utasikia soon soon mnaendelea kupigwa bao na makambako ya 2012. Na growth rate ya njombe ni ndogo mno wenzenu makambako tayari wameanza ujenzi wa shule za kata za gorofa kutokana na rate ya ukuaji kuwa kubwa mno Ungesikiliza madiwan wako wanavokwambia kwambia kwa mpangilio wa njombe ilivyo Sasa msahau kuwa manispaa pia kiwango cha mapato kinashuka kutokana na watu hawataki kutumia soko kuu walilojengewa na stendi pia gari haziendi
Sasa idadi ya bajaj 2000 ni sifa?Maana tulivokuwa tunawambia makambako inapiga gap njombe mlikuwa mnakataa ikiwa makambako mwenyekit wa mji aruhusu wadau waongeze bajaji zifike 2000 ili kukidhi ongezeko la watu. Na kwa jinsi ulivotanuka kwa Sasa wakati njombe wanabajaji 250 alafu kuna mgomo wanasema nyingi mno tuliwambia muda utasema na barabara za lami za mitaa kimkoa makambako inaongoza wamejenga km 18 na bado wanaendelea wakati njombe ni km11 kutokana na TARURA MKOA WA NJOMBE na bado mtasubiri mwezi wa Saba stendi ya makambako inaanza kujengwa
Hizo hatuiti daladala, tunaziita ni gari za shamba. Daladala zinazozungumzwa ni kama kutoka Makambako mizani kwenda stendi au sokoni au au angalau Mtwango, kiuhalisia Makambako ni kimji kilichochangamka,lakini kina mambo mengi ya kukosa kupewa sifa kuwa urban properMambo yame change daladala makambako zimepelekwa rut za makambako to ilembula makambako to kitandililo nmakambako to njombe na makambako to igwachanya ko we ukiona mji bajaji 250 wanasema nying mno bro huo mji bado mdogo mno kuwa makao makuu sio kigezo alafu saiz ni zama zingine mambo ya wakolon yalishapita ilikuwepo miji ya kilwa iko wap ss na ujenzi wa nyumba za kuishi mk ipo mbali mno na unavosema mazingira ya kuishi kumbuka njombe kuna mitaa gar haziingii na mingi ni milima kuna uhaba wa viwanja tofaut na makambako ambako kila Kona kupo flat ko watu wanajenga bila vikwazo tofaut na njombe waliachia misitu sehem nzur wakaenda milimani
Basi maana halisi ya daladala utakua huijui. Kwa mfano, kutoka Kihonda kwenda Msamvu ni daladala, kutoka Msamvu kwenda mjini kati ni daladala. Ila kutoka Morogoro kwenda Bwawani au Bigwa au Kisaki au Dumila au hata Mikese, inaweza kuonekana ni daladala kwa maana hiyo ya LATRA lakini siyo town trip, hivyo kwa maisha ya mjini, siyo daladalaNi daladala hata ukienda latra ndivo zilivo sajiliwa na ndo rut za daladala
Uwe mkweli, Makambako haiwez kuizidi Njombe never. Takwimu za Tamisemi zimeonesha kwa miaka yote mumegalagazwa. Ni kimji kinachojitahidi as long siyo makao makuu ya mkoa, hivyo sahau kuizidi Njombe TC, ukweli lazima usemwe.Zaidi ya kilimo kaka njombe kuna uwekezaji upi mpya na kumbuka Bei ya mazao inapanda na kushuka na uwekezaji wa viwanda vingi makambako huo ndo utaongeza maradufu hayo mapato unayo yaona na kupitia hayo mapato madogo tayari wamelipa eneo fidia ya kujenga stendi kubwa ya mabasi pale kipagamo na zoezi la ujenzi mkandarasi anaanza mwez wa saba na kumaliza mwez wa 12 kitu tayar serikali kuu Sasa imelipa fidia eneo la ujenzi one stop centre pale idofi jilan na mpaka wa mkoa wa iringa na njombe pia imelipa fidia eneo la ujenzi soko la kimataifa pale mashujaa wamebaki watu kumi na tano kumaliziwa kazi iendelee na pia kuna ujenzi wa kiwanda cha madawa chini ya msd kwaajili ya ku supply nchi za SADC kazi bado inaendelea pale idofi ,kiwanda cha kusindika nyama pale kihanga wanamalizia kufunga mitambo ,ujenzi wa soko kubwa la mazao pale kiumba inaendelea hiyo ni baadhi tu ya miradi ya serikali ambayo inaendelea kutekelezwa ndani ya halmashaur ya mji wa makambako na ya watu binafsi na makampuni hiyo tumeiweka kando kidogo maana ni mingi mno muda unaongea
Tuwekee picha na vigezo ulivyotumia kuchagua na kupambanisha miji hii.Karibuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Yan we ndo umevurugwa kabisa miji mingi saiz bajaji ndo zimeshika chati ko amka usingizini ndoo maana unaona migomo ya daladala inazidi na jiografia ya mji wa makambako bajaji zimeruhusiwa kuingia kila Kona tofaut na njombe zinaanzia masasi zinaishia hagafilo na zinanyooka main road kitu ambacho kwa makambako road za mitaa ni za kutosha na TARURA wanaendelea kuweka lamiSasa idadi ya bajaj 2000 ni sifa?
Mji hauna town trip za daladala za hapo utajivunia kuwa ni mji mkubwa au ni kitongoji kilichochangamka?
Huo ni ukweli wa mawazo yko Sio uhalisia wa maeneo husika yalivyo kwa sasaUwe mkweli, Makambako haiwez kuizidi Njombe never. Takwimu za Tamisemi zimeonesha kwa miaka yote mumegalagazwa. Ni kimji kinachojitahidi as long siyo makao makuu ya mkoa, hivyo sahau kuizidi Njombe TC, ukweli lazima usemwe.
Kila siku nawaambia Makambako ni kijiji cha wachuuzi tuu hamna kitu hapo.Mabajaji yanavyoleta uchafu na usumbufu mjini ndio mtu eti anajisifia.Sasa idadi ya bajaj 2000 ni sifa?
Mji hauna town trip za daladala za hapo utajivunia kuwa ni mji mkubwa au ni kitongoji kilichochangamka?
Labda inaizidi kwa idadi ya watu napo sina hakika tutasubilia sensa lakini kwa vigezo vingine hicho kijiji hakina kitu si huduma za jamii wala miundombinu bora,si uchumi wala kilimoUwe mkweli, Makambako haiwez kuizidi Njombe never. Takwimu za Tamisemi zimeonesha kwa miaka yote mumegalagazwa. Ni kimji kinachojitahidi as long siyo makao makuu ya mkoa, hivyo sahau kuizidi Njombe TC, ukweli lazima usemwe.
Wakati naanzisha mada Kahama ilikuwa TC kama Njombe lakini kwa sasa Kahama ni MC ,ulinganisho hautokuwa sawa kwa sababu Mji unapopanda hadhi kuna previlages unazipata kulingana na hadhi yake.mf Ukiwa MC kila mwaka Unapata bajeti ya kujenga angalau 1km ya lami.Tuwekee picha na vigezo ulivyotumia kuchagua na kupambanisha miji hii.
Weka picha waone wenyeweWakati naanzisha mada Kahama ilikuwa TC kama Njombe lakini kwa sasa Kahama ni MC ,ulinganisho hautokuwa sawa kwa sababu Mji unapopanda hadhi kuna previlages unazipata kulingana na hadhi yake.mf Ukiwa MC kila mwaka Unapata bajeti ya kujenga angalau 1km ya lami.
Japo kwenye vigezo vya quality of life Njombe iko vizuri zaidi kuliko Kahama.
Bata linaliwa Kahama weweeee, Media tour kubwa nchini (Wasafi/ Clouds) Baada ya Dar/ Mwz / Arusha inakuja Manispaa mpyaa [emoji3][emoji3][emoji3]Wakati naanzisha mada Kahama ilikuwa TC kama Njombe lakini kwa sasa Kahama ni MC ,ulinganisho hautokuwa sawa kwa sababu Mji unapopanda hadhi kuna previlages unazipata kulingana na hadhi yake.mf Ukiwa MC kila mwaka Unapata bajeti ya kujenga angalau 1km ya lami.
Japo kwenye vigezo vya quality of life Njombe iko vizuri zaidi kuliko Kahama.
Uzi huu umejaa picha ,rejea comments za awali kuna picha za kuzidiWeka picha waone wenyewe
Kwa sababu kuna washamba huko,,usitegemee kuweka tamasha kwa watu wenye kipato cha Kati ,itakumalaBata linaliwa Kahama weweeee, Media tour kubwa nchini (Wasafi/ Clouds) Baada ya Dar/ Mwz / Arusha inakuja Manispaa mpyaa [emoji3][emoji3][emoji3]
Ndiooo ndioooo washamba tu kama ilivyo Dsm/ Arusha na Mwz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwa sababu kuna washamba huko,,usitegemee kuweka tamasha kwa watu wenye kipato cha Kati ,itakumala
Mbona sizioni mwanangu?Uzi huu umejaa picha ,rejea comments za awali kuna picha za kuzidi