Kahama VS Njombe/Mafinga

Wewe jamaa bwana sometimes unakuwa kama hazikutoshi,ko mkuu unasikia Raha Sana ukiona hizo gari zikipita hapo Makambako?

Mbona nyingi tuu zinaanzia Njombe na Songea kwenda mikoa mingine? Tofauti hapo ni majina ila magari ni yaleyale.
Hiyo tunakupa habar ili yale mawazo yako mfu et ikifunguliwa barabara ya lupembe makambako itateteleka Hilo Jambo sahau katika maisha yko mji ndo utazidi kuwa fire hatali ndo maana tulikwambia uwekezaji unao endelea makambako Ni wamaono ya mbali sana
Hizo picha unatupia mbili mbili ni godown au kanisa? Usikute architect wa huko ni wewe ndio unaleta michoro ya magodown ya kuhifadhia mitumba kuwa makanisa
Tembelea uone we umejua Kama majumba ya makumbusho ya hko mashambani
 
Mtani ameenda wapi tuendeleze mchezo , hope ameenda kutafta picha nzuri za njombe , tumuombee
 
Ja

Hili si godawn kabisa hahaha mnaifazia viazi kifanya
Hivi Makambako kuna basi liendalo miji ifuatayo:
1. DSM
2. Dodoma
3. Morogoro
4. Mtwara/ Masasi
5. Sumbawanga
6. Mwanza
7. Tanga
Kama hayapo, hapo tayari kinakua ni kijiji, maana kwa Kahama wana mabasi kutoka maeneo tofauti tofauti, hapo ni kuonesha bado hicho kimji hakijitoshelezi! Gari nyingi zinaanzia Njombe, Songea, Mbeya na Tunduma!
 
Ja

Hili si godawn kabisa hahaha mnaifazia viazi kifanya
mmeanza kukosa nidhamu na hekima makanisa hayawezi kua maghala ya kuhifadhia viazi.Toafuti ya usanifu na mandhari ndio inayofanya tuyalete hapa lakini swala la matumizi yatabaki kua ni nyumba za ibada,
 
Sasa utawekaje route hizo kunagari zinapita hapo kwa muda mwafakaka nyie kutoka njombe Kama unaenda mwanza lazima uje makambako ss hatuna shida
 
Sasa utawekaje route hizo kunagari zinapita hapo kwa muda mwafakaka nyie kutoka njombe Kama unaenda mwanza lazima uje makambako ss hatuna shida
Hata wa miliki wa gari za abiria njombe inasubiri kwa makambako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…