Kahama VS Njombe/Mafinga

Yani agreement umeweka picha zaidi ya nne usije ukawa mshabik hata njombe huijui cku ya kwenda ndo utajua tunacho maanisha
 
🤪🤪🤪🤪 Picha namba mbili na namba tano ni Ile ile , picha namba kumi ni mchoro 🤪, picha namba sita inachekesha Sana hvyo vijumba japo kuna kigorofa , alaf picha ni zile zile tangu mwanzo wa thread
Yan huyo Ni mshabik tu kwaatarifa yko njombe mji mzima una gorofa za kuanzia tatu 11 tu maana zote nazifaham vizur sio huyo mshabiki haha ndo maana nilikwambia kahama ipo mbali ndo maana wameipandisha hadhi na Hawa lazima makambako tuwatangulie t
 
Sa hvi ameenda kunywa mbege akirudi amejaa sumu , amefura full kutukana 😂😂
 
CHAZA
Achana na kuwasha gari nenda Google maps.. kutoka Bunju sokoni mpaka Mkuranga dc offices ni km 79

Na kutoka Vikindu mpaka Mkuranga ni km 34.. so kutoka Bunju mpaka Mbagala ni km 45 tuu..

Mti wa catchment ya km 80 yaani unaradius ya km 40 ni mji mkubwa sana hapa Afrika mashariki ukitoa DSM haupo mwingine.

Na usilete sijui wamedeclare mipaka ya mji .. hiyo declaration huwa sio base na utaalamu it's more political..ndio maana unakuta kuna vijiji mjini..

Mfano case ya Njox 🙂
 
Kahama Mmunicipal to Mbogwe District 55 Km Kahama to Isaka ICD 44KM via Isaka Rusumo road
 
Yan huyo Ni mshabik tu kwaatarifa yko njombe mji mzima una gorofa za kuanzia tatu 11 tu maana zote nazifaham vizur sio huyo mshabiki haha ndo maana nilikwambia kahama ipo mbali ndo maana wameipandisha hadhi na Hawa lazima makambako tuwatangulie t
Makambako na Kahama soma hiyoo
 
Attachments

  • JamiiForums-1820582629.jpg
    16.6 KB · Views: 5
Soma hiyoo
Your browser is not able to display this video.
 
Ule mji Ni kituko
Nje ya mji 80 Km, Ahahahaaaaa Njombe ya kipekee sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…