Hakuna aliyesema ni stendi ya ovyo bali baadhi ya structure zimebadilishwa na 80%ya stendi imekamilishwa kipindi hiki cha mjombaKipind cha kikwete michoro ilikuwa inabadrika hovyo hovyo ndo mana mlijenga stendi la hovyoo, la kupaki coaster , huo mchoro wa kahama ni wa 2018 na umefanyiwa marekebisho baada ya amri ya Jiwe kuwa Kahama iwe manispaa....
Sababu Kahama ipo busy na route nyingi za mabasi inatarajiwa mchoro kuongezewa ukubwa na majengo ya ghorofa ...
Vijumba kamoja kamoja kama hv ndo mnajivunia 🤣
hiyo siyo Nyumba mkuuVijumba kamoja kamoja kama hv ndo mnajivunia 🤣
Utakua unaota wewe, nani kakuambia Dar haifiki hiyo?Mbona unakuwa mkali.. kwa hiyo unataka kusema catchment ya jiji la mbeya ni kilomita 80!? Maana Hata Dar Haifiki hiyo!
Kwanza, prototype unaijua?Ipo miji mingi miji ipi hyo? Jombe washajenga stend yao , Kahama inajengwa na eneo lishatengwa , Jiwe kasema ni manispaa now hatutegemei delay Kwa huo mradi, na eneo tayar lishatengwa cse Kahama recently haina stend kabisa , istoshe Kahama ina route nyingi za mabasi ya Mikoani kuliko jombe , ....
Mradi wa hospital unaendelea na picha za mchoro tumeweka na construction site jengo la OPD tumeweka ...
Jamaa umevurugwa 🤣🤣Utakua unaota wewe, nani kakuambia Dar haifiki hiyo?
Kutoka Bunju mpakani hadi Mjini ni kilometa 40, na Mjini hadi Chanika Kilometa 30, na Chanika Mvuti Kilometa 8 ukienda Chamazi tayari ni kilometa 20, hizo tayari unapata karibu 80.
Pia ferry hadi Kimbiji ni kilometa 35, Ferry Kibaha mpakani kilometa 35, hizo tayari ni 70+km. Ferry Kongowe ni kilometa 36 hizo tayari ni 71+km.
Hapo sijagusa Mbondole, Dar es Salaam Zoo, Minaki mpakani na Kisarawe, Tundwi Songani, Pemba mnazi(hii ni kilometa 65 kutoka ferry, ingawa hii iko mashambani kwa muktadha wa mji kama DSM ulivyo)
Kwa hiyo, siyo kweli kua Mbeya itafanana na DSM
Acha kuidhalilisha Kahama boss. 🤣 Ushaona wapi slay qeen anatokea njombe ???Hizo sehemu zote Zina mademu wanachura hatare
Wadada wa ndani Kutok hizo pande ni hatare chura kama woteAcha kuidhalilisha Kahama boss.Ushaona wapi slay qeen anatokea njombe ???
Mkuu tunaangalia view au tunaangalia huduma ? Mbna kama umeishiwa chief , kila mara mnapost picha Ile ile na mafilter kibao....kesho mtatuletea mmepiga aerial eneo lile lile🤣
huduma gani unayoitaka maana we naona umejikita kwenye mademu tu.🙂🙂🙂🙂Mkuu tunaangalia view au tunaangalia huduma ? Mbna kama umeishiwa chief , kila mara mnapost picha Ile ile na mafilter kibao....kesho mtatuletea mmepiga aerial eneo lile lile🤣
Umeelewa nachokwambia ..au umeenda full kubishana mode.Utakua unaota wewe, nani kakuambia Dar haifiki hiyo?
Kutoka Bunju mpakani hadi Mjini ni kilometa 40, na Mjini hadi Chanika Kilometa 30, na Chanika Mvuti Kilometa 8 ukienda Chamazi tayari ni kilometa 20, hizo tayari unapata karibu 80.
Pia ferry hadi Kimbiji ni kilometa 35, Ferry Kibaha mpakani kilometa 35, hizo tayari ni 70+km. Ferry Kongowe ni kilometa 36 hizo tayari ni 71+km.
Hapo sijagusa Mbondole, Dar es Salaam Zoo, Minaki mpakani na Kisarawe, Tundwi Songani, Pemba mnazi(hii ni kilometa 65 kutoka ferry, ingawa hii iko mashambani kwa muktadha wa mji kama DSM ulivyo)
Kwa hiyo, siyo kweli kua Mbeya itafanana na DSM
Ujenge we structure ya ghorofa nne ili uifanyie nn..!? Kupiga picha!? NHC mtwara huko tena mjini kuliko NJOMBE wanafugia kuku majengo yao.. poor planningView attachment 1701364
hapa ni stendi ya Njombe kabla ya kukamilika kwake lakini sasa ni almost 80%imekamilka na inatumika.siyo kwamba ni mbaya ila kuna structure moja ya Gorofa nne haijajengwa bado kama origional plan inavyoonesha
Hislside hotel in gorofa nane mbona hawajafugia kuku inategemeana matumizi yaliyopangwa beforeUjenge we structure ya ghorofa nne ili uifanyie nn..!? Kupiga picha!? NHC mtwara huko tena mjini kuliko NJOMBE wanafugia kuku majengo yao.. poor planning
mshindi hajapatikana tu jamani mpaka leo. Naomba nitumie nafsi hii adimu kuitangaza manispaa ya Kahama kuwa mshindi rasmi katika mashindano haya njombe mji nafasi ya tatu huku ya pili iwe makambako.case closed
Ndo maana Kuna vijiji vingi njombeUmeelewa nachokwambia ..au umeenda full kubishana mode.
Wewe umeleta Data ... Sijui utopolo gani uko km 40 kutoka mjini NJOMBE..
Ndio nakwambia kwa sense ya mji.. huwezi kwenda pemba mnazi ukasema uko mjini..
Kilometa 80 catchment ni Sehemu kubwa sana... Nje ya Dsm hakuna ..na hata DSM yenyewe hakuna.. kutoka Bunju mpaka kongowe haifiki km 80 fikiria tena. Na huo ni mwanzo wa jiji mpaka mwisho wa jiji.
Jamaa hajielewi huyo😂 analeta data za hovyo , hajui hata radius ya mjiUmeelewa nachokwambia ..au umeenda full kubishana mode.
Wewe umeleta Data ... Sijui utopolo gani uko km 40 kutoka mjini NJOMBE..
Ndio nakwambia kwa sense ya mji.. huwezi kwenda pemba mnazi ukasema uko mjini..
Kilometa 80 catchment ni Sehemu kubwa sana... Nje ya Dsm hakuna ..na hata DSM yenyewe hakuna.. kutoka Bunju mpaka kongowe haifiki km 80 fikiria tena. Na huo ni mwanzo wa jiji mpaka mwisho wa jiji.
Ndo maana Kuna vijiji vingi njombe