Kahama VS Njombe/Mafinga

Kwan uongo wa angalia hata makazi ya wanavo pata shida kujenga bado gari sehemu nyingine haiingi Wala bajaji na bajaji njombe zipo Mia mbili zote zinapita main road mitaan haziingi zinajua shughuli za milima na kumwaga abiria
Njombe inaitwa bustani ya Mungu ,hizo porojo zenu hazijawahi badilisha kitu
 
Mtoto kaota sharubu na nywele za kule chini anadhani sikio linaweza zidi kichwa,never ever ,,ukimwambia leta mradi hata 1 ulioahidiwa kwenye kampeni kwa Makambako hana ila kubwabwaja domo anaweza
 
Mtoto kaota sharubu na nywele za kule chini anadhani sikio linaweza zidi kichwa,never ever ,,ukimwambia leta mradi hata 1 ulioahidiwa kwenye kampeni kwa Makambako hana ila kubwabwaja domo anaweza
Soma hyo wamashambani
 
Wewe mbulula vilima na mabonde ndio fahari na hadhi ya Njombe vikiwa vimepambwa na uoto wa asili all over,huwezi kustawi kwenye kimji kinavipara kama hicho kijiji cha makambako
 
Wakati mnaendelea kubwabwaja viporo vya michembe ,Njombe tuko top 10 ya kufaulisha..Kuleni matunda mpate akili sio kushindia uji wa mihogo mtaishia kuchuuza mitumba
 
Attachments

  • thumb_356_800x420_0_0_auto.jpg
    32.1 KB · Views: 5
Uzi ukifika page ya 120,nitaahirisha michango mpaka mwaka 2022 mwezi kama huu ili tuje kufanya assessment
 
Kwel ml
Wewe mbulula vilima na mabonde ndio fahari na hadhi ya Njombe vikiwa vimepambwa na uoto wa asili all over,huwezi kustawi kwenye kimji kinavipara kama hicho kijiji cha makambako
Wewe mbulula vilima na mabonde ndio fahari na hadhi ya Njombe vikiwa vimepambwa na uoto wa asili all over,huwezi kustawi kwenye kimji kinavipara kama hicho kijiji cha makambako
Kweli milima Ni ya kija
 
Kama ni viwanda jengeni maana havichangii kuboresha mandhari ya mji ila kuharibu mazingira na kuleta vibaka,hivyo viwanda endeleeni navyo mtazidi kuwa maskini sisi Njombe via TAHA tumeanza mradi wa kukuza maua nadhani unaelewa pesa ya maua
Na si maneno kazi inaendelea
 
Attachments

  • FB_IMG_16121469086891207.jpg
    37.8 KB · Views: 6

nje na CBD ya njombe zaidi kilomita 25 eti anasema njombe imekusanya vijiji ni kweli vilikua vijiji lakini hata jiji hua na vijiji na baadae kua jiji.
 
Barabara zote hizo ambazo zinaonekana ziko kwenye mtandao hapo ama zinajengwa au zimeahidiwa na ziko kwenye mpango wa ujenzi, zote hizo zinaingia na kutoka Njombe zinajengwa ku unlock potential za Njombe ,nyie makambako mnajengewa ipi? Nioneshe barabara ya kutoka Makambako hadi Lupembe ,kama haipo hapo ujue ni njia ya mikokoteni ya punda na hakuna mtu ataipita.

Msije kusema hamkuambiwa,barabara ya kwenda ifakara hadi Mikumi ikikamilika tuu hakuna rangi mtaacha kuona maana biashara zenu za mitumba zitahamia Njombe.
 
Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…