Hzo Ni takwimu za 2012 kumbuka mwakan sensa ndo utapata majibu na mafichoni kwenu njombeKadogo Sana kwa Njombe,, Makambako kata 12,Njombe 13,, Makambako watu 93,000 ,,Njombe 130,000 nadhani bwanamdogo Makambako tulia mkubwa akikohoa
Hawana ujanja wa janja wote wapo makambako watakaaje mashambani hko milimanHahahaha Mdatchu utakuwa huingii NJOMBE. Endelea
Jaribu mkuu utembelee kahamaKahama kupewa hadhi ya Manispaa kisiasa hakubadilishi chochote ,kilichopo ni kwamba Kahama unazidi Njombe kwa idadi kubwa ya maskini tuu na si vinginevyo
Kwahiyo!yaani kahama na tabora mjini pako sawa kwa kila kitu
Aaah! Sasa milimani si wanakaa mijusi!?Hawana ujanja wa janja wote wapo makambako watakaaje mashambani hko miliman
Hunijui SikujuiKwahiyo!
Kwan uongo wa angalia hata makazi ya wanavo pata shida kujenga bado gari sehemu nyingine haiingi Wala bajaji na bajaji njombe zipo Mia mbili zote zinapita main road mitaan haziingi zinajua shughuli za milima na kumwaga abiriaAaah! Sasa milimani si wanakaa mijusi!?
Hebu watake radhi bwana.. kule ni njox.. milima iko ludewa huko π))))
Ujue Watu wanachapaa kahamaUKITAKA KUJUA KAHAMA BABA LAO ANGALIA HATA SHOW MONDI HUJA KAHAMA MARA NYINGI ZIDI YA HUKO CHAKA
Alaf hyo aerial view ilichukuliwa kufuata barabara ya songea oneshen mji mzima watu waione milima maana ukitoka dakika moja barabaran una kutana na bonge la korongo ndo mnasema mji umetanuka mji sio organised kabisa umefuata road tu hiv hata mtu akisema tukatembee mitaan cjui huwa mnafanyaje maana jiografia ya huo mji Ni balaaSasa hapa kuna nini,weka hata aerial view basi ya Makambako,,za Njombe ziko nyingi sana
jengo la Njombe ni kongwe zaidi ya hilo la Kahama naamini kama NSSF wangekua wanajenga leo wasingejenga hivyo kwa kua jengo la pembeni yake lingewaonesha nini wanatakiwa kujenga.
Hayajapishana muda Our Projects β Construction Services Consultants Limitedjengo la Njombe ni kongwe zaidi ya hilo la Kahama naamini kama NSSF wangekua wanajenga leo wasingejenga hivyo kwa kua jengo la pembeni yake lingewaonesha nini wanatakiwa kujenga.
wewe na wewe umeanza kua wa ajabu kila siku kushindanisha ndugu wa familia moja unapata faida gani.Makambako mji iko ndani ya wilaya ya njombe kuna ubaya gani hivyo vitu kuwekwa pale,utasema kua na station ya Tazara iko makambako hivyo sisi tunaoshuka hapo kuelekea Njombe tunaitegemea makamabako.Ni lazima ujue kua uwepo wa hivyo vitu huchangiwa na geographical location yake na demand zake.Ukiweka makambako ni rahisi kwa mtu anayetokea mbeya kupata service kuliko achepuke kwenye Njombe,mbona husemi uwepo wa viwanda Njombe pia.Mkoa nao unakua na strategy za kuukuza mkoa hivyo kuna vitu tunaamua pamoja we vipi?Kwa Nini njombe inategemea makambako hii Ni kutokana na maagent wa kubwa wa makampuni wapo makambako mfano kampuni ya bia cement ya dangote ,Simba ,spea za scania ,be forward ,Hawa Depot zao zpo makambako bdo za bidhaa za kilimo maghara ya export, seedco,ginning ,kibo ,mo ,tfa yapo makambako na bdo bidhaa za ndan mo ana magodauni Kama mawil na bado wafanyabiashara biashara wa ndani et mtu anasema mji wa wachuuzi Hawa ndo wenye pesa maana ndo wanna sambaza bidhaa mkoa mzima
Mdatchu pigaaa hapo hapoo mpaka warudi kwenye umandeee π π π π πwewe na wewe umeanza kua wa ajabu kila siku kushindanisha ndugu wa familia moja unapata faida gani.Makambako mji iko ndani ya wilaya ya njombe kuna ubaya gani hivyo vitu kuwekwa pale,utasema kua na station ya Tazara iko makambako hivyo sisi tunaoshuka hapo kuelekea Njombe tunaitegemea makamabako.Ni lazima ujue kua uwepo wa hivyo vitu huchangiwa na geographical location yake na demand zake.Ukiweka makambako ni rahisi kwa mtu anayetokea mbeya kupata service kuliko achepuke kwenye Njombe,mbona husemi uwepo wa viwanda Njombe pia.Mkoa nao unakua na strategy za kuukuza mkoa hivyo kuna vitu tunaamua pamoja we vipi?
sema njombe imejengwa lini na kahama imejengwa lini
Huo mzigo wa Kahama unazaidi ya miaka 10sema njombe imejengwa lini na kahama imejengwa lini
Tunazungumzia mradi wa TACTIC ambao utahusisha na majiji pia,achana na miradi maalum ya dar na dododa..wapi Arusha wamejenga km 50 za Tarura?Sasa mimi nawezaje kubishana na waziri.. kiongozi. Hayo ni maneno ya Jaffo. Hahaha
Lakini majiji yapi unayatolea mfano.. DSM kwa sasa walikuwa na miradi Yao DMDP kilomita 400. Acha hizo 36
Arusha zile ring road ni zaidi ya kilomita 50
Bado za mjini.
Dodoma ring road ni kilomita 105. Hahaha
Sema hatakahama ni potential area.. hizo 36 zinaweza hata zisiende mbali.. maana naona barabara mbili tuzikijengwa haipungui km 30 ndani ya mji. Mitaa bado
Hata mungekuwa milioni ila kama ni maskini mtaishia kuwa kama Kahama tuu,bila mgodi wanakusanya 3blnHz
Hzo Ni takwimu za 2012 kumbuka mwakan sensa ndo utapata majibu na mafichoni kwenu njombe
Nije kwenye miji ya kichuuzi kufanya nini huko? nitaenda Bukoba sio Kahama hamna jipyaJaribu mkuu utembelee kahama