Kahama VS Njombe/Mafinga

Road yanapita magari baada ya muda gani, au Bajaj, maana kwa Bajaj, zipo za kutosha kama Singida
Makambako wametenganisha Kuna road mbili za lami ya bajaji na magari we jamaa kumbe makambako ulikuja muda mrefu sana
 
Nazijua, barabara nyembamba za mtaani. Anyway, kwa hadhi ya mji huo kwa sasa zinawatosha
Barabara za mitaa miji mingi Ni nyembamba Bora hata makambako wamejitahidi kutanua
 
Hapa nafikiri umefunga vizuri, kama mtoa uzi angeridhika nafikiri tulipaswa uzi ufungwe. Hata hivyo kwa mimi nafunga kuchangia uzi huu. Angalau tumepata ABC ya miji yetu, ni jambo jema. Na ndugu yangu wa Makambako, pull up your socks, ila bado.
 
Kwani mimi sipafam baba? Nimepita hapo Miez 2 na nusu iliyopita na kulala hapo siku 4. Sasa mbona umekua na biasness ulipowacahguali Njombe mashambani huko ukidai eti ndiyo Njombe, unapofanya ulinganifu, punguza biasness(kuchukua sample bila mizania)
Mizani gani sasa kwani njombe haijapigwa gap hebu taja km za za lami zinazo zunguka njombe acha porojo we si mpitaji tu
 
Makambako wametenganisha Kuna road mbili za lami ya bajaji na magari we jamaa kumbe makambako ulikuja muda mrefu sana
Aah, yaani hata miez 3 sina. Hiyo dedicated lane ya Bajaj iko upande wa kushoto kama unaenda Njombe na ni mradi ninaoufaham kwani jamaa yangu aliyehusika kufanya usanifu ilionekana Bajaj Makambako ni nyingi na zinasababisha ajali hasa kutoka Stendi kuelekea upande wa Mtwango/Njombe! Sasa unaposema sijui wakati huo mradi naufaham tangu jikoni nakushangaa sana
 
Hapa nafikiri umefunga vizuri, kama mtoa uzi angeridhika nafikiri tulipaswa uzi ufungwe. Hata hivyo kwa mimi nafunga kuchangia uzi huu. Angalau tumepata ABC ya miji yetu, ni jambo jema. Na ndugu yangu wa Makambako, pull up your socks, ila bado.
Bdo nn
 
KAHAMA tayari wana 30+km (36kama sikosei) kwenye TACTIC .. kuanzia mwaka kesho kutwa inakuja bajeti ya Kuboresha Manispaa nayo ina KM zake za kutosha ...
 
Unashaangaa nn Kama huja piga simu kwa jamaa zako wakwambie we endelea kulima tu
 
KAHAMA tayari wana 30+km (36kama sikosei) kwenye TACTIC .. kuanzia mwaka kesho kutwa inakuja bajeti ya Kuboresha Manispaa nayo ina KM zake za kutosha ...
Malunga, Majengo, Nyasubi, Igomelo, Nyahanga, Masaki, Shunu, Dodoma, Namanga Sokoni, Mama Farida, Nyakato, πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Hiyo mitaa yko ya njombe
 
Attachments

  • FB_IMG_16129761403367161.jpg
    28.1 KB · Views: 7
Hao wachuuzi wanadhani kufungua vibanda vyao vya viduka kila siku ndio pesa, wataendelea kupauka Hadi akili ziwakae sawa

Nimefurahi kuona TAHA wameanza project za kilimo cha maua kama huko Kenya nk,,pesa nyingine ya uhakika inaanza kumimikika Njombe on top of parachichi na Mazao ya misitu
 
Huo ubavu hamna nyie wachuuzi,kilimo ndio utajiri
 
Njombe Kile Ni Kijiji mjigani hauna mishe2 kunautofauti gan na kijiji
Kama hakuna Mishe magorofa yanajengwa kwa ajili ya mbuzi au? Kama hakuna Mishe bln 4 zinatoka wapi?

Sema hivi wewe huna mishe na kuchuuza mitumba ndio mishe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…