Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,922
Rudi kwenye mada umeanza kuweweseka,tumalize Njombe vs Kahama& Makambako kwanza afu tutarudi kwa Mafinga,,haya leta facts za idadi ya watu Makambako,kata na mitaa uilinganishe na Njombe maana unaanza kutoa povu bila kuleta facts..Utopolo unaoongea fact zpi umetoa tumekwambia leta za 2021 na mafinga unayosema imeanza 2015 makambako 2012 mafinga Ina kata 9 na mitaa 30 wakat makambako kata 12 mitaa 54 nenda kwenye too but za halimashuri za mji husika sio umesema fact wakat Ni utopolo t
Yan ndo maana tumekwambia ww development hujui inamaanisha Nini wewe hayo mazao unayo Lima kwanini upeleke kwenye hyo miji ndo ujue hai wamewapiga gap hata kwa pesaKuna shida gani ukileta mazao gulioni na kuuza afu ukarudi kwenu kujenga? Unaelewa naposema Makambako ni gulio? At lasts maendeleo yanarudi mzigo ulikotoka nyie mnaambulia harufu tuu hapo,umeelewa hiyo sasa? Na hiyo ndio kazi ya miji ya kichuuzi inakuwa kama minada au magulio but nothing tangible development..Njombe ni kaka mkubwa no way mtaipita
Mko sawa ilianza 2012Yan huyu jamaa hebu Google uone makambako ilianza lini sio unaongea vitu na hiyo miji mingine ilianza lini usitufananishe na miji ya 2015 ww
Njombe Ina mitaa 28 wakati makambako 54Rudi kwenye mada umeanza kuweweseka,tumalize Njombe vs Kahama& Makambako kwanza afu tutarudi kwa Mafinga,,haya leta facts za idadi ya watu Makambako,kata na mitaa uilinganishe na Njombe maana unaanza kutoa povu bila kuleta facts..
Kijiji cha Makambako bado saaana kwa Njombe na uwe na heshima kama wenzio wa Kahama wanajua Njombe ni Makao makuu ya Mkoa,kuna taasisi za serikali,dini na NGS na Mashirika sio kushindanisha na hivyo vijiji vya machinga na wachuuzi.
Hizo pesa mnajengea wapi mbona hatuoni,wenzio Kahama walishindwa kujibu hilo swali na wewe jibu basi unaeelewa development maana kwa aspects zote za kijamii hadi quality ya life mmepauka,wewe magorofa ya Njombe kwa nini hayakujengwa Makambako kama mna pesa? Tunapeleka bidhaa gulioni kwani bidhaa inauziwa wapi ndugu.Yan ndo maana tumekwambia ww development hujui inamaanisha Nini wewe hayo mazao unayo Lima kwanini upeleke kwenye hyo miji ndo ujue hai wamewapiga gap hata kwa pesa
Ko umeona mitaa ndio ya kuweka tuu,haya weka na kata na idadi ya watu nk nkNjo
Njombe Ina mitaa 28 wakati makambako 54
Nitakuja na data hapaMimi nakupa facts with vivd examples kutoka takwimu za serikali sio blaa blaa na mapenzi yako binafsi, hizo shortcut za barabara za ng"ombe haziko kwenye mipango ya ujenzi mtaendelea kuendesha baiskeli maana hazina tija ndio maana serikali haihangaiki nazo bali inajenga barabara kuu za kuunganisha Makao makuu ya Mkoa na mikoa mingine.
Kwani wewe unavyoona Makambako na Mafinga wapi ni Mjini? Mafinga ni Halmashauri ya Mji kitambo kabla ya kijiji cha Makambako,sharubu zisikufanye ujitoe akili ,Kwa vigezo vyote Mafinga iko mbali saaaana kwa Makambako labda nyie Makambako mumeishinda Mafinga idadi ya machinga tuu.
Kunakua sana tuu ndio maana tumezaa na kukuza Makambako2007 kwel Ni zamani ndo mjue hakukui wenzenu kahama wameanza 2012 saiz manispaa bado makambako imewapiga gap ya 2012 endeleen kulima viaz mlete tule town
Acha kuruka ruka wewe kubali ,Makambako ni mtoto wa Njombe tumezaa Makambako town,Wanging"ombe na bado tunazidi kupeta ko kuwa na heshima kwa Njombe usiifananishe na vitu vya vijiji vya kichuuziSoma historia nenda njombe ukajifunze hyo population ilitokana na nn Kama sio baada ya kuchukua Jimbo zima
Wa Dar ni watu wa Makete acha kujitoa ufaham. By the way, kilimo ndiyo mpango mzima na zao la Koroshi chukua mazao yote ya nchi hii combined, bado korosho inatisha. Hata watu wa Njombe wako wengi tu kule Mangaka wanalima Korosho, kwa sababu Korosho inalipa, huna uwezo hata chembe kufananisha korosho na mazao ya huko, na kama nchi haiwez kubeza kilimo, ndiyo uchumi wetu mkubwa kuliko huo uchuuzi. Mfano mdogo, kitongoji kidogo cha Ilula na Mtua pale Iringa kilikua kidogo sana.Na ndio wanao ukuza mji Hadi umewa piga gap hao unao waita wachuuz ndo wanao Jenga had dar na majiji mengine baki na ukulima wako
Nasikia huwa wanakimbilia Makambako kutafuta maisha[emoji13][emoji13][emoji13]
Njombe Kile Ni Kijiji mjigani hauna mishe2 kunautofauti gan na kijijiAcha kuruka ruka wewe kubali ,Makambako ni mtoto wa Njombe tumezaa Makambako town,Wanging"ombe na bado tunazidi kupeta ko kuwa na heshima kwa Njombe usiifananishe na vitu vya vijiji vya kichuuzi
We endelea kulima Bei tutakupangia ukileta kwenye miji ya kibiasharaWa Dar ni watu wa Makete acha kujitoa ufaham. By the way, kilimo ndiyo mpango mzima na zao la Koroshi chukua mazao yote ya nchi hii combined, bado korosho inatisha. Hata watu wa Njombe wako wengi tu kule Mangaka wanalima Korosho, kwa sababu Korosho inalipa, huna uwezo hata chembe kufananisha korosho na mazao ya huko, na kama nchi haiwez kubeza kilimo, ndiyo uchumi wetu mkubwa kuliko huo uchuuzi. Mfano mdogo, kitongoji kidogo cha Ilula na Mtua pale Iringa kilikua kidogo sana.
Lakini kwa kilimo kidogo tu cha Nyanya, leo Ilula na Mtua ni mji mkubwa ukiwa umeungana.
Ukienda Tandahimba leo, ukapita Kitangari, Nannyanga, Kitama 1, Mahuta ilikua ni vimiji vidogo, lakini kwa kilimo tu cha zao la Korosho, jamaa wametoboa.
Ni upuuzi kudharau kilimo kisa unauza mitumba na spea za pikipiki.
Kwa gorofa ngap zilizopo njombe je mngejenga Kama iringa tusingekunywa maji kumbuka makambako miaka ya nyuma ilizuiwa kujenga wengi walienda kujenga dar saiz wamerudi makambako kuamsha gorofa wameruhusu kuanzia 2016 ndo watu wameanza ndo maana Hadi saizi site za barabaran wanataka ujenge gorofa na watu wanajenga na zimeanza kupangana barabara ya songea road ko ilikuwa Ni muda tu kuwa mpole maana nyumba za chini hizo ndo hatuongei saizi tunaungana na ndugu zetu wa mtwangoHizo pesa mnajengea wapi mbona hatuoni,wenzio Kahama walishindwa kujibu hilo swali na wewe jibu basi unaeelewa development maana kwa aspects zote za kijamii hadi quality ya life mmepauka,wewe magorofa ya Njombe kwa nini hayakujengwa Makambako kama mna pesa? Tunapeleka bidhaa gulioni kwani bidhaa inauziwa wapi ndugu.
Mwaka jana taifa limepata dola milioni 40+ kwenye avocado..Parachichi zinaenda ulaya huna pesa ya kununu kilo 7000 ya parachichi ila unaweza kulipa kilo ya buku ya mchele,TAHA na wakulima wa Njombe wako busy for exports ya maparachichi na Maua kama ya arusha nyie huko endeleeni na uchuuzi wenu
Fatilia ya miaka ya nyuma uone makambako Kama haiwabulizi nyinyi yani kwa makambako huna jipya na makazi Bora yapo makambako sio nyumba unaishia kuchora tofar badala ya kupaka rangi hela ya kukarabat mtihan njoo uone mijengo ya watoto wadogo wanao jua kutafuta pesa nyumba wanazo jenga sio unajenga sehemu za utelez hko njombe hata pikipik inashindwa kufika nyumban ukiteleza umedondokea kwenye paa la jiran jiongezeKo umeona mitaa ndio ya kuweka tuu,haya weka na kata na idadi ya watu nk nk
Wakati unafukunyua unatakiwa ujue kwamba top ten ya Halmashauri zilizofanya vizuri Kitaifa kwa matokea ya form iv 2020 Njombe Mji ni ya 4,ko kuwa na heshima
Yeah, tunalima zinasafirishwa China, Vietnam na India kutaja nchi chache. Domestic za kuwauzia wachuuzi hata 1/1000 haziwezi kwisha, lazima ziende nje. Mfano wa mwaka Serikali iliponunua hata 1/1000 hazikuweza kuliwa, kwanza bei yake iko juu.We endelea kulima Bei tutakupangia ukileta kwenye miji ya kibiashara
Hujafika Kahama wewe. Usilinganishe kimji kinyonge sijui mnakiita Kinjombe na Manspaa ya Kahama.Mmh, kwa majengo makali makubwa, Kahama bado kwa Njombe ingawa kwa ukubwa wa mji na idadi ya watu, uwingi wa nyumba nzuri za makazi tu(za mapaa mareeeefu) Kahama inaweza kuongoza. Hata hivyo hadi sasa Njombe iko juu ya kwa majengo makubwa makali.
Ukiondoa ile mall ambayo hutumiwa na wageni na wazungu, Kahama bado sana kwa Njombe