Wewe kwa akili yako finyu unadhani walioipa Njombe hadhi ya Mji enzi makambako ni kijiji walikuwa wanafikiria kama wewe? Huko huko misituni ndio watu wamejenga,kwani hujui kwamba Njombe ni njiapanda ya barabara ya Songea,Morogoro,Makete na Makambako/Mbeya? pande zote imejengeka.
Kama unataka kujua nani mkubwa ni hivi Makambako kata 12,Njombe kata 13
Idadi ya watu Njombe(2012)=130,000 ,,Makambako(2019)=93,000 ,,hizi takwimu ziko kwenye website za Halmshauri husika sasa wewe sijui unabwabwaja nini hapa.