Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,157
- 6,163
Tu
Tunako elekea makambako itakua mkoa njombe haifai kutwa mkoa .njombe imejisweka ndani sana af ukiangaria wafanya biashara huwa wanakuja kufunga mzigo makambako
Unajidharirisha na kuchafua uzi kea kutupia picha za guests house za show time mkuu,leta magorofa na viwanda
Aahahaaaa jamaaa, anaomba picha za viwanda Kahama, wakati Njombe anadai viwanda havijengwi kwa sababu ya Milima😀😀😀😀😀😀Viwanda havijengwi Njombe ni sababu ya jiografia ya milima , Makambako ni tambarare ndio inaipa advantage but kuwa tu na viwanda vingi bado haiwapi advantage Sana ,viwanda havina tofauti Sana na migodini hata wewe unajua maeneo yenye viwanda vingi maisha ni hovyo Sana
Nadhani unajua kekie,mbagala, Nyerere road,kiwalani huko nk nk sababu ni kwamba ajira za viwandani ni kibarua na pesa kisicho matokeo yake watu wakivuna pesa wanakuja kuweka na kuspend maeneo ya starehe na yenye usalama kama Njombe ndio maana pamoja na wiwanda vingi Makambako lakini uwekezaji wa mahoteli etc unafanyika Njombe ko usifurahie Sana viwanda vitaharibu usalama na kuzalisha maskini na kuchafua mazingira.
By the way Makambako ni mtoto wa Njombe anaekua ko nyie ni bado Sana kwa Njombe