Miji ya wilayani inadharaulika sana na watu wa Mikoani. Mimi ni wa Mwanza Ilemela ila nilibadili mtazamo wangu kuhusu miji ya wilayani. Naimani ni rahisi Makambako inaweza kuwa Manispaa kabla ya Njombe. Labda siasa ingie kama walivyofanya kwenye Mkoa.
True yani miji ya wilaya ndio inayokidhi vigezoMiji ya wilayani inadharaulika sana na watu wa Mikoani. Mimi ni wa Mwanza Ilemela ila nilibadili mtazamo wangu kuhusu miji ya wilayani. Naimani ni rahisi Makambako inaweza kuwa Manispaa kabla ya Njombe. Labda siasa ingie kama walivyofanya kwenye Mkoa.
Hii ni kweliToa Makambako hapo, wewe ndio hujui kitu ,Miji yote midogo imepewa hadhi 2015 ikiwemo Mbinga,Ifakara,Bariadi,Masasi,Nanyamba nk nk
Nimeolea hapo. Nawajua watu wote kuanzia maarufu kama One One, yule marehem Swallo, Mwendo Mseke na watu kibao. Napajua mwanzo mwisho, huna cha kuniambia.Kabisa yan afu mtu anabisha hata hajui chochote
Yan hzo Ni hadithi tu tumekwambia uje makambako tukutembeze kidogo sio stori oh njombe kubwa sijui Nini Mara barabara hivi hujui Kuna short Kat ya lupembe makambako ko unaongea na watu tunao jua vizur mkoa wa njombe ko makambako ita baki kuwa juu alaf Kuna mtu anaongelea mafinga Yan vitu vingine Ni vituko labda ungeongelea wilaya ndo ipo vizur ila miundombinu 0 ndo maana saiz ligi litakuwa tamu miji yote ipo kwenye mradi wa tact's
Watu maarufu wanahusiana nn na ukuaji wa mji ww huo Ni utopolo huo ongea uwekezaji endelevu wa eneo sio umaarufu wa mtu tumekwambia ukija saiz uliza sait zinazonyanyuka Kama utaikuta hata moja ya watu uliowataja usikalili mambo yamechange alaf andika vizuri majina ya watu makambako wenye hela Ni wengi acha ushamba we kuolea makambako sio kuufaham mji wa makambakoNimeolea hapo. Nawajua watu wote kuanzia maarufu kama One One, yule marehem Swallo, Mwendo Mseke na watu kibao. Napajua mwanzo mwisho, huna cha kuniambia.
Kuitwa makao makuu ya mkoa haimaanishi kuwa mmeizidi miji mingine hayo Ni makubaliano tu ingia darasan gap no gap tHuu Mjadala ulikua wa Kahama vs Njombe, naona kuna watu wa Makambako wameunga kuipiga Njombe wakati Njombe ndiyo kaka yao.
Hii inanikumbusha pia ubishi kati ya Iringa vs Mafinga Town, Mtwara vs Masasi na Kahama yenyewe vs Shinyanga.
Ukwel wke uko wap toa uthibitisho makambako mji umeanza 2012 hiyo ya 2015 Ni mafinga mbinga nkHii ni kweli
Utakua unachekesha, hao ndiyo wenye miradi na majengo makubwa hapo Makambako, unaonesha usivyojua mambo. Huwez kuacha kumataja Jah People, Swallo na One One ambao hata hayo majengo uliyoweka hapo ya Makambako yanamilikiwa na hao. Durban Hotel ilikua Hotel ya mwanzo kabisa miaka hiyo hapo Makambako ikimilikiwa na Swallo, utaachaje kutaja watu wanaoibeba Makambako, nje ya hao ni wachuuzi tu na wapanda bajaj ambao wako hapo na wachuuzi wa Mitumba, Ndizi hapo sokoni na vitenge, Madela nk.Watu maarufu wanahusiana nn na ukuaji wa mji ww huo Ni utopolo huo ongea uwekezaji endelevu wa eneo sio umaarufu wa mtu tumekwambia ukija saiz uliza sait zinazonyanyuka Kama utaikuta hata moja ya watu uliowataja usikalili mambo yamechange
Utakua unachekesha, hao ndiyo wenye miradi na majengo makubwa hapo Makambako, unaonesha usivyojua mambo. Huwez kuacha kumataja Jah People, Swallo na One One ambao hata hayo majengo uliyoweka hapo ya Makambako yanamilikiwa na hao. Durban Hotel ilikua Hotel ya mwanzo kabisa miaka hiyo hapo Makambako ikimilikiwa na Swallo, utaachaje kutaja watu wanaoibeba Makambako, nje ya hao ni wachuuzi tu na wapanda bajaj ambao wako hapo na wachuuzi wa Mitumba, Ndizi hapo sokoni na vitenge, Madela nk.
Du, mimi nalima Korosho kaka, hiyo miji yenu ya baridi mimi nimewahi kufanya tu kazi, sisi kwetu twalima korosho na mihogo tu.Hahaha ya ww ndo huwa usikiaga t hapo gorofa moja tu Ni la Jah people hapo mijengo mingine Ni watu tofati na hao hata viwanda vingi vya wagen ndomaana tumesema usikalili kibadamo kaangalia zipo hata dar ko hao ndo ulio wakalili we endelea kulima viazi
Utakua unachekesha, hao ndiyo wenye miradi na majengo makubwa hapo Makambako, unaonesha usivyojua mambo. Huwez kuacha kumataja Jah People, Swallo na One One ambao hata hayo majengo uliyoweka hapo ya Makambako yanamilikiwa na hao. Durban Hotel ilikua Hotel ya mwanzo kabisa miaka hiyo hapo Makambako ikimilikiwa na Swallo, utaachaje kutaja watu wanaoibeba Makambako, nje ya hao ni wachuuzi tu na wapanda bajaj ambao wako hapo na wachuuzi wa Mitumba, Ndizi hapo sokoni na vitenge, Madela nk.
Kazana Sana na hela za msimu hko hku makambako hela mwaka mzima inazunguka ko usitufananishe na wakulima bwana Yan. We jamaa inaonekana ulivokuja miaka hyo walivokwambia hao ndo matajir ukakalili njoo uzunguke ndo ujue kuwa Kuna vijana wanapesaDu, mimi nalima Korosho kaka, hiyo miji yenu ya baridi mimi nimewahi kufanya tu kazi, sisi kwetu twalima korosho na mihogo tu.
Ila huwez kutaja miradi ya watu binafsi Makambako usiwataje Swallo, One One au Jah People, huwezi. Hao ni giants hapo.
KUtakua unachekesha, hao ndiyo wenye miradi na majengo makubwa hapo Makambako, unaonesha usivyojua mambo. Huwez kuacha kumataja Jah People, Swallo na One One ambao hata hayo majengo uliyoweka hapo ya Makambako yanamilikiwa na hao. Durban Hotel ilikua Hotel ya mwanzo kabisa miaka hiyo hapo Makambako ikimilikiwa na Swallo, utaachaje kutaja watu wanaoibeba Makambako, nje ya hao ni wachuuzi tu na wapanda bajaj ambao wako hapo na wachuuzi wa Mitumba, Ndizi hapo sokoni na vitenge, Madela nk.
Mimi nakupa facts with vivd examples kutoka takwimu za serikali sio blaa blaa na mapenzi yako binafsi, hizo shortcut za barabara za ng"ombe haziko kwenye mipango ya ujenzi mtaendelea kuendesha baiskeli maana hazina tija ndio maana serikali haihangaiki nazo bali inajenga barabara kuu za kuunganisha Makao makuu ya Mkoa na mikoa mingine.Kabisa yan afu mtu anabisha hata hajui chochote
Yan hzo Ni hadithi tu tumekwambia uje makambako tukutembeze kidogo sio stori oh njombe kubwa sijui Nini Mara barabara hivi hujui Kuna short Kat ya lupembe makambako ko unaongea na watu tunao jua vizur mkoa wa njombe ko makambako ita baki kuwa juu alaf Kuna mtu anaongelea mafinga Yan vitu vingine Ni vituko labda ungeongelea wilaya ndo ipo vizur ila miundombinu 0 ndo maana saiz ligi litakuwa tamu miji yote ipo kwenye mradi wa tact's
Kama ndio hivyo kwa nini mapato hayabadiliki miaka nenda rudi mnachezea bil.6 plus? Unataka kumdanganya nani hapa nduguMgodi ulisimama baada sakata la Makinikia, wameanza mwaka jana production, na hiyo service levy imelipwa na kampuni ya Twiga (ubia wa JMT na Barrick) hapo hatujaweka other sources.
Acha zako wewe machinga,machinga unakuzaje mji bana au unachafua mji? labda kidogo uwepo wa viwanda ila napo mjiandae kuwa na panya road za kutosha.Dodoma inakuwa hakuna cha viwanda wala machinga lakini inapaa hivyo ndivyo miji ya kistaarabu kama Njombe inakua ,tunategemea mapato kutoka sekta amabazo haziathiri mazingira.Afu mtu unavosema miji ya kichuuz itakuwa huelewi mji unakuzwa na Nan hao ndo wanao ifanya miji Hadi ifikie ngazi ya jiji mji Ni watu bwana sio mji unakuwa upoupo tu haueleweki wote wapo mashambani t
Utopolo unaoongea fact zpi umetoa tumekwambia leta za 2021 na mafinga unayosema imeanza 2015 makambako 2012 mafinga Ina kata 9 na mitaa 30 wakat makambako kata 12 mitaa 54 nenda kwenye tovut za halimashuri za mji husika sio umesema fact wakat Ni utopolo tMimi nakupa facts with vivd examples kutoka takwimu za serikali sio blaa blaa na mapenzi yako binafsi, hizo shortcut za barabara za ng"ombe haziko kwenye mipango ya ujenzi mtaendelea kuendesha baiskeli maana hazina tija ndio maana serikali haihangaiki nazo bali inajenga barabara kuu za kuunganisha Makao makuu ya Mkoa na mikoa mingine.
Kwani wewe unavyoona Makambako na Mafinga wapi ni Mjini? Mafinga ni Halmashauri ya Mji kitambo kabla ya kijiji cha Makambako,sharubu zisikufanye ujitoe akili ,Kwa vigezo vyote Mafinga iko mbali saaaana kwa Makambako labda nyie Makambako mumeishinda Mafinga idadi ya machinga tuu.
Kuna shida gani ukileta mazao gulioni na kuuza afu ukarudi kwenu kujenga? Unaelewa naposema Makambako ni gulio? At lasts maendeleo yanarudi mzigo ulikotoka nyie mnaambulia harufu tuu hapo,umeelewa hiyo sasa? Na hiyo ndio kazi ya miji ya kichuuzi inakuwa kama minada au magulio but nothing tangible development..Njombe ni kaka mkubwa no way mtaipitaTa
Kwa taarifa zako makambako inafanya biashara international sio local Kama njombe ndo maana hata soko wamewajengea limejaa meza za wakulima t muwe wapole mazao mtaendelea kuleta makambako parachichi nazo mtaleta tu watu wakenya wamewafungulia kiwanda kikubwa makambako