Kahama VS Njombe/Mafinga

Njombe ziko wapi πŸ”¨
We jamaa unawenge hujaziona ofisi za mkoa wa njombe tumesha kuwekea hapo leta project za CBD GEITA wenzenu NI mwendo wa kuvunja nyumba za zamani na kupandisha vitu makambako CBD
 
🌟 Hatua Kubwa Zimepigwa Katika Ujenzi wa Ndoto Zako!

Mradi wa Mkwakwani Plaza, unaojengwa katika kiwanja Na. 55 A&B, Block KB II, Eckernford/Mkwakwani, Jiji la Tanga, unaendelea kwa kasi na kwa ubora wa hali ya juu. Eneo hili linalojulikana kwa jina la Mkwakwani, lililo katika Wilaya ya Korogwe, linazungukwa na maeneo yenye hadhi kama Gereza East, Kwanguda, Kwamzindawa, na Mnyusi, likiwa ni kitovu cha biashara na maendeleo.

βœ… Tofali za Ground Floor zimewekwa kwa ubora wa kipekee, zikihakikisha uimara na maisha marefu ya jengo.
βœ… Usafi na utunzaji wa mazingira ya mradi unaendelea kila siku, kutoa taswira ya ujenzi wa kisasa na unaoaminika.
βœ… Kila tofali linawekwa kwa umakini mkubwa, likijenga msingi thabiti wa nyumba yenye hadhi na thamani.
βœ… Ngazi kutoka Ground Floor hadi First Floor zinawekwa, ishara tosha kwamba jengo linaendelea kupaa juu kwa kasi, likikaribisha maisha bora na fursa za uwekezaji.

πŸ‘‰ Kila hatua tunayopiga ni uwekezaji wa kweli katika maisha yako ya kesho. Usibaki nyuma – jiunge nasi na uwe sehemu ya makazi ya kisasa yenye thamani, heshima, na ubora wa NHC!

#MakaziBora #UjenziWaNdoto #NHC #FutureLiving #MkwakwaniPlaza #Tanga
 
Na Njombe vipi 🀣🀭🀭
Huku wanajenga watu binafsi kudhihirisha pesa IPO mfano Hilo limejengwa na kampuni binafsi makambako CBD tuonyesheni hapo οΏΌgeita majengo ya biashara Kama haya CBDπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚SIO KUKIMBILIA KWENYE OFISI ZA MKOA TUNATAKA VITU KAMA HIVI CBD SIO MAPAAπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Geita bado mnakibarua asee hili ndo gorofa refund mkoa mzima wa geita mtu anakaa anashupaza shingo kubishana na njombe yenye magorofa Kama haya zaidi ya matano πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚IπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚httpsw.instagram.com/p/DNDc3vqsUoa/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
 
Yani makambako upafananishe na Geita? Hii sio sawa hata kama akili hata moja huna we mtu MFUPI mweusi tii
Sasa pana maajabu gan ambayo yanafanya pasilinganishwe ili hali tayari Kuna vitu panapitwa tulikwambia huko mmewazidi kuzaliana tu si miundombinu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa pana maajabu gan ambayo yanafanya pasilinganishwe ili hali tayari Kuna vitu panapitwa tulikwambia huko mmewazidi kuzaliana tu si miundombinu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚View attachment 3464413View attachment 3464410
Kijana nimeishi kote Geita na Makambako.
Wewe geita hupajui hujawahi kufika mimi makambako nimekuwa mtu mkubwa sana villa park kwa kipindi kirefu

Kwa kifupi huwezi kulinganisha hata kahama na geita
 
Kijana nimeishi kote Geita na Makambako.
Wewe geita hupajui hujawahi kufika mimi makambako nimekuwa mtu mkubwa sana villa park kwa kipindi kirefu

Kwa kifupi huwezi kulinganisha hata kahama na geita
Acha. Mbwembwe kuifaham Villa Park SI kuishi makambako Nan ambaye haifahamu geita leta project hapa hatutaki maneno ya kwenye kanga hapa
 
Ujenzi wa kituo Cha mikutano na burudan makambako kazi zinaendelea
 
Huku hawashindani KUNYANYUA mapaa NI mwendo wa hivi makambako
 
We jamaa unawenge hujaziona ofisi za mkoa wa njombe tumesha kuwekea hapo leta project za CBD GEITA wenzenu NI mwendo wa kuvunja nyumba za zamani na kupandisha vitu makambako CBDView attachment 3463847View attachment 3464083
Geita CBD vitu hivyo πŸ‘‡ yanatenganishwa na barabara tu yanatazamana,
Picha nilipiga mimi mwenyewe wiki iliyopita nilipita Geita πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…