Fika mtaa wa lunyanwi njombe uone mtaa wa ofis za serikali Hilo Chaka limefyekwa acha kufichamia huko leta project za geita CBD sio ofisi za serikaliUnachekesha vitu vya Manispaa huwezi vikuta kwenye vijiji vyenu hivyo chakavu
View attachment 3463463View attachment 3463474
Unatoa wapi ujasiri wa kutaka kulinganisha vijiji vyako hivyo na Manispaa?
CBD kuna vyuma vinane vinaanza kunyanyuliwa na TBA andaeni pa kujifichia π
Huu sio mji ni kijiji kinaingia mara 15 kwa KatoroHicho Kijiji chako level zake NI mji mdogo wa rujewa οΏΌοΏΌView attachment 3463544View attachment 3463549
Nifike kufanya nini leta picha za huo mtaa hapa tufurahiFika mtaa wa lunyanwi njombe uone mtaa wa ofis za serikali Hilo Chaka limefyekwa acha kufichamia huko leta project za geita CBD sio ofisi za serikali
Acha Ushamba njombe haijaanza kujengeka leo toka kitambo watu wanajenga acha kulinganisha na Kijiji chako Cha kambi za wachimba madiniNyumba mpya na zina kutu tayari π€π€π€π€
Tulete mara ngap mzee acha Ushamba tumeleta mara kibao hizo project kwa Sasa hazina jipya zipo kila mkoa elewa Hilo shida NI Ushamba hutembei ndo maana unabaki unashangaa ofisi ambazo kila mkoa mpya wamejenga leta project za geita CBDNifike kufanya nini leta picha za huo mtaa hapa tufurahi
Hutaki hizi πππππTulete mara ngap mzee acha Ushamba tumeleta mara kibao hizo project kwa Sasa hazina jipya zipo kila mkoa elewa Hilo shida NI Ushamba hutembei ndo maana unabaki unashangaa ofisi ambazo kila mkoa mpya wamejenga leta project za geita CBD
Endelea kujitariji na Kijiji chako tulikwambia huko mmewazidi kuzaliana ila SI maendeleo ya ujenzi mtasubiri Sana Kama ndo mnashaanga Sasa bati za rangi mna kazi ya kuondoa ushambaHuu sio mji ni kijiji kinaingia mara 15 kwa Katoro
Zipo kila mkoa fika mkoa was songwe ,simiyu ,njombe ,katavi utaikuta mitaa ya ofisi tupu shida NI Ushamba wakoHutaki hizi πππππ
View attachment 3463570
π¨πͺπͺπͺ Sindano zinaingia π€£π€£π€£Endelea kujitariji na Kijiji chako tulikwambia huko mmewazidi kuzaliana ila SI maendeleo ya ujenzi mtasubiri Sana Kama ndo mnashaanga Sasa bati za rangi mna kazi ya kuondoa ushamba
Simiyu imefikaje huko nyanda za juu kusini tena πππZipo kila mkoa fika mkoa was songwe ,simiyu ,njombe ,katavi utaikuta mitaa ya ofisi tupu shida NI Ushamba wako
Kwani hujui NI mkoa mpyaSimiyu imefikaje huko nyanda za juu kusini tena πππ
Huna lolote , weka picha hapa
HAYA NI makazi yanayo lizunguka eneo Hilo njombe πππHutaki hizi πππππ
View attachment 3463570
Kama mnazo hapo Njombe+ Makambako weka hapa tuone
Hizo office ziko wapi sasa πππ€£π€£π€£π¨HAYA NI makazi yanayo lizunguka eneo Hilo njombe πππ
View: https://www.instagram.com/reel/CxTi68ttuf0/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
Hizo NI baadhi hapo οΏΌοΏΌ NI rpc na mkuu wa mkoa na karibia idara zote NI gorofa punguza Ushamba sasa na unavoona kwenye picha ya ofisi ya mkuu wa mkoa nyuma Kuna bati zimezungushwa kwa Sasa Kuna gorofa zimesha panda hii picha ili chukuliwa muda kidogo saizi road zote Zina lami na vituo vya mafuta Hilo Chaka toka Sasa leta project za geita CBDHizo office ziko wapi sasa πππ€£π€£π€£π¨
Hizo office ziko wapi sasa πππ€£π€£π€£π¨
Njombe ziko wapi π¨Simiyu region ndo maana tulisha kwambia punguza Ushamba mikoa mipya yote Ina mitaa special ya ofisi haya simiyu hiyoππView attachment 3463624