ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,095
- 84,986
Upuuzi
Wivu utakuua 😂😂😂Upuuzi
Unahangaika kutuletea mapaa hapa wenzenu wanatekekeleza miradi ambayo kwa mara ya Kwanza ilikuwa inatekelezwa kwenye majiji tu Sasa tayari IPO zone hii mfano mradi huu wa maji utahudumumia wakazi zaidi ya lakitano kwenye miji ya makambako ,rujewa na wangingombe zaidi ya billion 132 zimemwagwa na nilikwambia eneo hili lipo Kasi sana miradi Kama hii inatekelezwa jiji la dodoma na , Mbeya 👇👇👇Osha macho kwanza maana umezoea kuona kutu na vumbi kwenye mkoa wenu huo wa vumbistan 😂😂😂👇
View attachment 3419129View attachment 3419130
Karne hii unazungumzia maji!😀😀😀😂Unahangaika kutuletea mapaa hapa wenzenu wanatekekeleza miradi ambayo kwa mara ya Kwanza ilikuwa inatekelezwa kwenye majiji tu Sasa tayari IPO zone hii mfano mradi huu wa maji utahudumumia wakazi zaidi ya lakitano kwenye miji ya makambako ,rujewa na wangingombe zaidi ya billion 132 zimemwagwa na nilikwambia eneo hili lipo Kasi sana miradi Kama hii inatekelezwa jiji la dodoma na , Mbeya 👇👇👇![]()
Rujewa, mradi wa maji wa miji 28, kazi ni saa 24, fedha ipo - Waziri Aweso (Mb) | Ministry of Water
Rujewa, mradi wa maji wa miji 28, kazi ni saa 24, fedha ipo - Waziri Aweso (Mb)www.facebook.com
😁😁👇👇Karne hii unazungumzia maji!😀😀😀😂
Watu wapo kwenye nyumba za kisasa nyie mnarudi kwenye maji Karne ya 21🤣🤣🤣
Huko tulisha toka zaman mzee ndo maana njombe inaongoza kwa makazi Bora ko huku NI swala la kawaida Sana mliozoea kuishi kwenye tembe ndo maana mnabaki mnashangaa kila siku kupost mapaaKarne hii unazungumzia maji!😀😀😀😂
Watu wapo kwenye nyumba za kisasa nyie mnarudi kwenye maji Karne ya 21🤣🤣🤣
Maji si unadai mnayo huu mradi wa nn 👇👇👇👇AWESO AKAGUA MRADI WA BILIONI 124 USIKU - GEITAKarne hii unazungumzia maji!😀😀😀😂
Watu wapo kwenye nyumba za kisasa nyie mnarudi kwenye maji Karne ya 21🤣🤣🤣
Hii ni nyongeza tu ya ya maji kulingana na kuendelea kukua kwa Manispaa na mahitaji kuongezekaMaji si unadai mnayo huu mradi wa nn 👇👇👇👇AWESO AKAGUA MRADI WA BILIONI 124 USIKU - GEITA
Bilioni 124 kumaliza uhaba wa huduma ya majisafi Geita.
Wakazi wa Mji wa Geita wanatarajia kuondokana na uhaba wa huduma ya majisafi na salama baada ya kukamilika kwa mradi mkubwa wa maji wa miji 28 unaotekelezwa kwa gharama ya Shilingi Bilioni 124.
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amekagua mradi huo na kuagiza utekelezaji ufanyike kwa haraka ili wananchi waanze kufaidi matunda ya uwekezaji mkubwa wa serikali.
Amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatambua uhaba wa huduma ya majisafi wanayopitia wakazi wa Geita na amekuwa akisisitiza mradi huo ukamilike.
Kukamilika kwa mradi huo kutaiwezesha Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Geita (GEUWASA) kuongeza uwezo wa uzalishaji maji hadi kufika lita milioni 43 kwa siku kiasi kinachozidi mahitaji ya sasa. Mahitaji ya maji kwa sasa ni lita milioni 22 kwa siku, na uzalishaji ukiwa ni lita milioni tisa.
Yaani Makaa ya Mawe yanatoka ludewa ila kiwanda kinajengwa Geita yaani sielewi
View: https://www.instagram.com/p/DMmLgMmiGmC/?igsh=a2huNHVyOWcycjRl
Ebu uwe unasoma na taarifa NI ya lini usijibu kwa hisia zako wakati bado Kuna shida ya maji hili eneo nalo Lina maji KULINGANA na ukuaji wa miji hii ya eneo hili imewalazimu wa design kwa mifumo Kama walivyo fanya kwenye majiji ya dodoma ,Mbeya , dsm , nk ndo maana waziri kakwambia mradi Kama walikuwa wanajenga kwenye majiji tu NI eneo linalo kua kwa KasiHii ni nyongeza tu ya ya maji kulingana na kuendelea kukua kwa Manispaa na mahitaji kuongezeka
Njombe tcKarne hii unazungumzia maji!😀😀😀😂
Watu wapo kwenye nyumba za kisasa nyie mnarudi kwenye maji Karne ya 21🤣🤣🤣
Hii ni nyongeza tu ya ya maji kulingana na kuendelea kukua kwa Manispaa na mahitaji kuongezeka