Tayar za kichwa umeshaanza kuhamisha magoli tulikuwa tuna kupa maana halisi ya VIWANDA vikubwa vilivyojengwa na vinavyo jengwa mji wa VIWANDA na biashara makambakoUmehamia Makambako πππππ Njombe vipi?
Tumalize mmoja mmoja kwanza, mnachanganya watu hawaelewi ni Kahama inashindana na Njombe au mkoa mzima wa Njombe ππππππ€π€
Huoni mnaaibika kwanza yaani wilaya inashindana na Mkoa mzima ππππ halafu bado hamna cha kuishinda πππ
WAWEKEZAJI KILA SIKU WANAINGIA ENEO HILIππππUmehamia Makambako πππππ Njombe vipi?
Tumalize mmoja mmoja kwanza, mnachanganya watu hawaelewi ni Kahama inashindana na Njombe au mkoa mzima wa Njombe ππππππ€π€
Huoni mnaaibika kwanza yaani wilaya inashindana na Mkoa mzima ππππ halafu bado hamna cha kuishinda πππ
List ya vitu vinavyotengezwa KahamaNgoja tuendelee kukufungua akili haya wasikilize TIC hapo
View: https://m.youtube.com/watch?v=RkUVZA_QBkg&pp=ygURYXZvIGFmcmljYSBuam9tYmU%3D&fbclid=IwZXh0bgNhZW0CMTEAAR5Vt8djXB24oK-mjxeJBA_mh0Zo5hVylXXQsLTFjPC3GgtMa6H0zg85op0kYw_aem_VDbx4IRT6iwuy8QkupmNFA
Unazani Kahama wawekezaji hawaingii πππWAWEKEZAJI KILA SIKU WANAINGIA ENEO HILIππππ
MWEKEZAJI NEIL GOODTILLERE WA BROWNS PLANTATION AKUTANA NA MKUU WA MKOA WA NJOMBE
Njombe, Juni 24, 2025 β Mwekezaji kutoka kampuni ya Browns Plantation ya Mufindi, Bw. Neil Goodtillere, amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka, katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwa lengo la kujadili fursa za uwekezaji katika mkoa wa njombe.
Katika mazungumzo yao, viongozi hao walijadili mambo mbalimbali yanayohusu maendeleo ya kiuchumi kwa Mkoa wa Njombe, huku kipaumbele kikubwa kikiwa ni uwekezaji katika sekta ya kilimo, hasa kilimo cha chai ambacho ni moja ya mazao ya kimkakati yanayolimwa kwa wingi katika mkoni njombe.
Mhe. Mtaka alimkaribisha rasmi Bw. Goodtillere kuendelea kushirikiana na serikali ya mkoa katika kukuza uchumi wa wananchi kupitia miradi ya kilimo cha chai na kuongeza thamani ya mazao, huku akisisitiza mazingira mazuri ya uwekezaji yanayopatikana Njombe. we
Nikuulize swali kwanza ili nijue namna ya kukujibu maana nilishakuona ziko fyatu π€π€π€WAWEKEZAJI KILA SIKU WANAINGIA ENEO HILIππππ
MWEKEZAJI NEIL GOODTILLERE WA BROWNS PLANTATION AKUTANA NA MKUU WA MKOA WA NJOMBE
Njombe, Juni 24, 2025 β Mwekezaji kutoka kampuni ya Browns Plantation ya Mufindi, Bw. Neil Goodtillere, amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka, katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwa lengo la kujadili fursa za uwekezaji katika mkoa wa njombe.
Katika mazungumzo yao, viongozi hao walijadili mambo mbalimbali yanayohusu maendeleo ya kiuchumi kwa Mkoa wa Njombe, huku kipaumbele kikubwa kikiwa ni uwekezaji katika sekta ya kilimo, hasa kilimo cha chai ambacho ni moja ya mazao ya kimkakati yanayolimwa kwa wingi katika mkoni njombe.
Mhe. Mtaka alimkaribisha rasmi Bw. Goodtillere kuendelea kushirikiana na serikali ya mkoa katika kukuza uchumi wa wananchi kupitia miradi ya kilimo cha chai na kuongeza thamani ya mazao, huku akisisitiza mazingira mazuri ya uwekezaji yanayopatikana Njombe. we
Leta hapa tuwaone TIC SI WAJINGA KUANZISHA KANDA MPYA HII YA NYASA KWENYE UWEKEZAJI HILI ENEO LIPO MOTO NA KWA KANDA YA ZIWA MKOA UNAOKUJA MOTO NI GEITA MZEEUnazani Kahama wawekezaji hawaingii πππ
Kahama huko kwa sasa ongeaga idadi ya watu ila mambo mengine tayar imeshapigwaNikuulize swali kwanza ili nijue namna ya kukujibu maana nilishakuona ziko fyatu π€π€π€
HII NI BATTLE KATI YA KAHAMA MANISPAA NA MJI UPI? MAKAMBAKO AU NJOMBE, AU ZOTE MAKAMBAKO NA NJOMBE KWA PAMOJA NDIO ZINASHINDANISHWA NA KAHAMA?
JIBU KWANZA HAPO π
Hahaha we jamaa kwa Sasa kahama viwanda bado labda wasubiri mradi wa buzwagi industrial Park ambapo kwa makambako NI industrial park ya kampuni moja tu Yan in short huwezi linganishaga na eneo la mji wa VIWANDA na biashara ambalo limetengwa na mkoa wa njombeList ya vitu vinavyotengezwa Kahama
1. Vipuli vya viwandani na migodini
2. Viti na meza za plastic
3. PVC
4. Mafuta ya kula (alzet na pamba)
5. Nyuzi za pamba
6. Steel (nondo)
7. Bati
8. Kusafisha dhahabu ( kiwanda kilishakamilika kitambo sana)
9. HDPE
10. Jelly can
etc
Sasa nyie kiwanda cha parachichi π π π na kelele nyingi acheni ushamba, Miji yenu yenyewe ni vituko tu lakini mlivojaa sifa ππ
Yan kwa list yako hiyo ambavyo havipo makambako NI Cha pamba na kusafisha madini ila vingine vipo na zaidi Kama industrial Park moja Ina zaidi ya VIWANDA 50List ya vitu vinavyotengezwa Kahama
1. Vipuli vya viwandani na migodini
2. Viti na meza za plastic
3. PVC
4. Mafuta ya kula (alzet na pamba)
5. Nyuzi za pamba
6. Steel (nondo)
7. Bati
8. Kusafisha dhahabu ( kiwanda kilishakamilika kitambo sana)
9. HDPE
10. Jelly can
etc
Sasa nyie kiwanda cha parachichi π π π na kelele nyingi acheni ushamba, Miji yenu yenyewe ni vituko tu lakini mlivojaa sifa ππ
ππππ JIBU SWALI KWANZA NIMEKUULIZA KWA HERUFI KUBWAKahama huko kwa sasa ongeaga idadi ya watu ila mambo mengine tayar imeshapigwa
Hii ni mada ya Kanda ya Ziwa vs Nyanda za Juu Kusini,ndio maana Kuna habari za kina Katoro,Shy,Geita,Kahama,Mwanza,Mbeya,Bukoba , Sumbawanga,Tunduma etc.ππππ JIBU SWALI KWANZA NIMEKUULIZA KWA HERUFI KUBWA
JE, HAPA KAHAMA INASHINDANA NA NANI?
1. INASHINDANA NA NJOMBE MJI
2. NJOMBE MJI + MAKAMBAKO MJI
3. MKOA WA NJOMBE?
Makambako STEEL INDUSTRIAL PARK tayar wanaenda kulipa FIDIA ya chuma maganga matitu kazi ya kuzalisha chuma inaanzaπ§π§ππππππ JIBU SWALI KWANZA NIMEKUULIZA KWA HERUFI KUBWA
JE, HAPA KAHAMA INASHINDANA NA NANI?
1. INASHINDANA NA NJOMBE MJI
2. NJOMBE MJI + MAKAMBAKO MJI
3. MKOA WA NJOMBE?
Kumbe sio tu Kahama vs Njombe πππHii ni mada ya Kanda ya Ziwa vs Nyanda za Juu Kusini,ndio maana Kuna habari za kina Katoro,Shy,Geita,Kahama,Mwanza,Mbeya,Bukoba , Sumbawanga,Tunduma etc.
Unakimbia swali πππ au nikurahisishieMakambako STEEL INDUSTRIAL PARK tayar wanaenda kulipa FIDIA ya chuma maganga matitu kazi ya kuzalisha chuma inaanzaπ§π§ππView attachment 3391420
Acha kuweweseka gorofa makambako zipo za kutosha umesha banwa kila Kona naona unahamisha tu magoli tulikwambia kahama iongee kwenye idadi ya watu si vinginevyoUnakimbia swali πππ au nikurahisishie
Kahama vs_______
Jaza hapo
Yaani hapa hujawahi toboa kwa sababu Njombe mji cannot stand alone and win a battle with Kahama, and Makambako bado ni kituko ina ghorofa zile tano kwisha
Kanda ya nyasa kiuwekezaji mzeeKumbe sio tu Kahama vs Njombe πππ
Maana mnakuwa hamueleweki tinapokuwa tunalinganisha Kahama vs Njombe mnaleta Msaidizi makambako ππ mwishowe tusijue nani kazidiwa na Kahama au nani kamzidi Kahamaπππ
Be specific sasa Kahama vs who?
Halafu Njombe sio nyanda za juu kusini ni kanda ya Nyasa
Wewe ndo unaweweseka na kutoka kwenye reli. Ndio maana swali langu huwezi kulijibu umejaa mawenge tu π π π π π πAcha kuweweseka gorofa makambako zipo za kutosha umesha banwa kila Kona naona unahamisha tu magoli tulikwambia kahama iongee kwenye idadi ya watu si vinginevyo
Soma hapo juu mbona inajieleza kuwa Kanda za uwekezajiNa hii unaielezeaje?
View attachment 3391700