ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,246
- Thread starter
-
- #20,981
Hizi ni stori tuu onesha kiwanda Cha maana hapoNaendelea kuwafungua macho soma hiyo 👇👇 utaelewa kwa nini nasema Njombe mji haiwezi kuipita Manispaa ya Kahama kizembe kama ulizani Kahama hakuna viwanda vingine vya maana vinavyojengwa tambua kuanzia sasa
Kiwanda cha kusafisha makinikia ya nickel tayari ujenzi ulishaga anza tangu 2024 huko
View attachment 3386666View attachment 3386667View attachment 3386668View attachment 3386669
Dawa imekuingia naona, 😂😂😂🔧🔨🔨🔨🔨🔨Hizi ni stori tuu onesha kiwanda Cha maana hapo
Mjombe Ina viwanda vingi kuliko Hilo gulio la KahamaDawa imekuingia naona, 😂😂😂🔧🔨🔨🔨🔨🔨
Njombe inatakiwa itambe huko huko nyanda za juu kusini na ukiileta lake zone tutakucheka itaishia kula kipondo tu, hapa inateswa na Kahama tu 😂 😂 😂 😂 na nakuhakikishia haitachomoa
Alisikika mlevi mmoja akisema 🔨😂🔨🔨😂😂😂😂Mjombe Ina viwanda vingi kuliko Hilo gulio la Kahama
Mnamchagua nani? Jah People au Chongolo?Viwanda vingi makambako kwa Sasa vinafanya kazi ambavyo vipo kwenye hatua za ujenz NI makambako steel industrial park na vya karatasi ila Kama vya plastic ,nondo ,mabati ,misumari vilishaanza kazi mfano product za MSD industrial Park idofiView attachment 3386329View attachment 3386330
Hapa NI chongoloMnamchagua nani? Jah People au Chongolo?
View: https://www.instagram.com/p/DLe0EslMdLG/?igsh=Zno5bnFkbGk4em9s
Waziri mwingine ajaeHapa NI chongolo
Njombe Mji , Njombe Mkoa.Alisikika mlevi mmoja akisema 🔨😂🔨🔨😂😂😂😂
Halafu Njombe ipi? Mkoa au Njombe mji? 😄😄😄
Unazani Kuwa kwenye list ya Miji 10 mikubwa Tanzania ni kirahisi rahisi tu, Njombe mji haitakanyaga hili kundi haina wa kumtoa, halafu hakuna wa kuitoa Kahama
Kuna dawa kweli hapo au pumba? Onyesha viwanda.Dawa imekuingia naona, 😂😂😂🔧🔨🔨🔨🔨🔨
Njombe inatakiwa itambe huko huko nyanda za juu kusini na ukiileta lake zone tutakucheka itaishia kula kipondo tu, hapa inateswa na Kahama tu 😂 😂 😂 😂 na nakuhakikishia haitachomoa
Kuna dawa kweli hapo au pumba? Onyesha viwanda.
Sasa nyie viwanda vya kupakia tu maparachichi hivyo ni viwanda kwani 😂 🤗 au vinatengeneza maparachichi artificial? Kuna kipi cha maana kinafanyika kwenye viwanda vya parachichi 😂😂😂😂😂😂 si bora hata hiyo kukoboa mpunga au na parachichi zinakobolewa? Halafu vya mpunga ni vingi sana na serikali inavitambua ndio maana hata umeme vinafungiwa wa viwanda
Unaposema kiwanda cha Kahama fresh tu ndio cha maana niambie hivi 👇 😂 😂 ambavyo tayari vipo Kahama na vinafanya kazi sio vya maana?😂😂😂👇👇
1. Kiwanda cha vipuli
2. Kiwanda cha mabomba ya maji
3. Viwanda vya kuchakata pamba ili kupata nyuzi (Gingery)
4. Kiwanda cha steel (nondo)
5. Kiwanda cha Bati
6. Viwanda vya unga Kama vile MUYAMA, KRISH etc
7. Kiwanda cha viti na meza za plastic
At least wewe huwa unajitahidi kutafuta data ila hao jamaa zako wa Njombe hapana kwa kweli wana ushamba mwingi sana 😂😂😂😂😂😂
Acha kujitoa ufaham , pitia hapo utaona baadhi ya viwanda, vya mpunga sijafika kama nyie mnavyotiwekea eti kiwanda cha maparachichi 🤗😂😂😂😂😂😂😂😂Unawajua KOM COMPANIES hapo Kahama lakini 😄😄😄? Makao makuu yao ni Kahama na wanaviwanda vyinavyotengeneza vitu vingi sana soma hapo 👇 jibu utalipata, viwanda vya kampuni moja tu hili hapo Kahama hamjavifikia lakini makelele kibao
View attachment 3386588
Swala la Njombe mji kuizidi Kahama bado sana na sizani kama itatokea
Mashine za mpunga makambako zipo za kutosha hapa huwa tunakuletea project kubwa sio hizo mashine na Kuna utofauti wa uzalishaji wa mafuta ya parachichi haya UWEKEZAJI wake NI mkubwa na unahitaji mtaji mkubwa mfano makambako Kuna viwanda vitatu vya mafuta ya parachichi mfano kiwanda Cha mafuta ya parachichi Cha avo Africa ambacho Hadi Sasa kimetumia billion 25 na bado ujenzi unaendelea kwaajili ya product mbalimbali zitokanazo na tunda la parachichi Kama mbolea ,juice nk usilinganishe na rice milling hizo zipo za kutoshaAcha kujitoa ufaham , pitia hapo utaona baadhi ya viwanda, vya mpunga sijafika kama nyie mnavyotiwekea eti kiwanda cha maparachichi 🤗😂😂😂😂😂😂😂😂
Haha we jamaa usituletee mashine za mpunga humu Soma pesa za UWEKEZAJI hizo ndo utambue makambako pana UWEKEZAJI na hii ni project ya kampuni moja tu👇👇👇Acha kujitoa ufaham , pitia hapo utaona baadhi ya viwanda, vya mpunga sijafika kama nyie mnavyotiwekea eti kiwanda cha maparachichi 🤗😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 Kiwanda cha parachichi 😂😂😂😂Mashine za mpunga makambako zipo za kutosha hapa huwa tunakuletea project kubwa sio hizo mashine na Kuna utofauti wa uzalishaji wa mafuta ya parachichi haya UWEKEZAJI wake NI mkubwa na unahitaji mtaji mkubwa mfano makambako Kuna viwanda vitatu vya mafuta ya parachichi mfano kiwanda Cha mafuta ya parachichi Cha avo Africa ambacho Hadi Sasa kimetumia billion 25 na bado ujenzi unaendelea kwaajili ya product mbalimbali zitokanazo na tunda la parachichi Kama mbolea ,juice nk usilinganishe na rice milling hizo zipo za kutosha View attachment 3390829View attachment 3390831
Umeona nimepost hata kiwanda cha mpunga humu? Quote hiyo post ya kiwanda cha mpunga 🤗Haha we jamaa usituletee mashine za mpunga humu Soma pesa za UWEKEZAJI hizo ndo utambue makambako pana UWEKEZAJI na hii ni project ya kampuni moja tu👇👇👇
TANZANIA – Avo Africa is investing 20 billion shillings (USD 7.9 million) to establish an avocado oil manufacturing facility in Makambako, Njombe region, Tanzania.
The plant is set to begin operations by the end of February and is expected to process 600 tons of avocados daily.
By focusing on processing, Avo Africa aims to address the challenge of limited value addition in the Tanzanian avocado sector, which has long relied on raw exports.
The company has outlined plans to expand the facility’s capacity further by mid-2025. Two additional production lines will be installed, doubling the plant’s ability to process avocados.
These developments position Avo Africa to better compete in the growing global avocado oil market, valued at USD 610.5 million in 2024 and projected to grow annually by 4.2% until 2033, according to market research firm IMARC Group.
Tanzania’s avocado production reached over 75,500 tons in the 2022/2023 season, as reported by the National Bureau of Statistics. The new manufacturing unit offers a promising market for local farmers and is expected to improve their earnings.
It also signifies an important milestone for the region’s agricultural sector, encouraging economic growth and employment.
While the development in Tanzania brings optimism, avocado supply issues have affected neighboring South Africa.
Woolworths, a major South African retailer, recently confirmed an avocado shortage caused by reduced exports from Tanzania and lower harvest volumes in South Africa’s Eastern Cape.
“Unexpected logistical delays affecting avocados originating from
Mfano 🖕 kampuni moja linamiliki viwanda zaidi ya vitano Kahama na hakuna kelele 😂 😂Unawajua KOM COMPANIES hapo Kahama lakini 😄😄😄? Makao makuu yao ni Kahama na wanaviwanda vyinavyotengeneza vitu vingi sana soma hapo 👇 jibu utalipata, viwanda vya kampuni moja tu hili hapo Kahama hamjavifikia lakini makelele kibao
View attachment 3386588
Swala la Njombe mji kuizidi Kahama bado sana na sizani kama itatokea
Hizo level makambako ilishapita leta mtaji gan uliowekwa ndo tutajua ukubwa wa project sio kutuletea godawn hapa hizo makambako zipo za kutoshaUmeona nimepost hata kiwanda cha mpunga humu? Quote hiyo post ya kiwanda cha mpunga 🤗
Kupakia tu maparachichi hicho nacho ni kiwanda 🤔🤔 nimewekea viwanda vinavyo shughulika na mambo ya maana
Mfano 🖕 kampuni moja linamiliki viwanda zaidi ya vitano Kahama na hakuna kelele 😂 😂
Nyie kiwanda cha parachichi makelele kama yote, punguzeni ushamba, mnapokanyaga Kahama ilishapita ndio maana hata watu hawabishani sana na nyie sababu wanaona kinachowasumbua ni ushamba na MASHIKOLO MAGENI 😂😂😂
Ngoja tuendelee kukufungua akili haya wasikilize TIC hapo😂😂😂😂😂 Kiwanda cha parachichi 😂😂😂😂
Umehamia Makambako 😂😂😂😂😂 Njombe vipi?Ngoja tuendelee kukufungua akili haya wasikilize TIC hapo
View: https://m.youtube.com/watch?v=RkUVZA_QBkg&pp=ygURYXZvIGFmcmljYSBuam9tYmU%3D&fbclid=IwZXh0bgNhZW0CMTEAAR5Vt8djXB24oK-mjxeJBA_mh0Zo5hVylXXQsLTFjPC3GgtMa6H0zg85op0kYw_aem_VDbx4IRT6iwuy8QkupmNFA
Tumalize mmoja mmoja kwanza, mnachanganya watu hawaelewi ni Kahama inashindana na Njombe au mkoa mzima wa Njombe 😂😂😂😂😂🤗🤗Hizo level makambako ilishapita leta mtaji gan uliowekwa ndo tutajua ukubwa wa project sio kutuletea godawn hapa hizo makambako zipo za kutosha