Kahama VS Njombe/Mafinga

Kuna viwanda vingapi vinafanya kazi hapo Njombe mji kwa sasa?πŸ€”πŸ˜„πŸ˜„
Viwanda vingi makambako kwa Sasa vinafanya kazi ambavyo vipo kwenye hatua za ujenz NI makambako steel industrial park na vya karatasi ila Kama vya plastic ,nondo ,mabati ,misumari vilishaanza kazi mfano product za MSD industrial Park idofi
 
Kahama tayari steel industry inafanya kazi zaidi ya miaka kumi sasa kama sikosei kwenu ni MASHIKOLO MAGENI
We jamaa hivyo vya steel vya kahama NI sawa na VIWANDA vya rosper makambako hivi unaifahamu steel industrial Park tunayokwambia inajengwa Ina zaidi ya VIWANDA 50 kwa uchache Kuna Cha unga wa chuma ,magari ,spea za magar,cement nk pana ekari kwa Sasa zinakaribia 700 usituletee viproject vya kitoto hapa hiki NI kiwanda mama Cha chuma TANZANIA sio vya skrepa
 
Kahama tayari steel industry inafanya kazi zaidi ya miaka kumi sasa kama sikosei kwenu ni MASHIKOLO MAGENI
Haya angalia hivyo navyo vya chuma vinapiga kazi usilinganishe na project ya chuma makambako steel industrial Park
 
 
Kahama tayari steel industry inafanya kazi zaidi ya miaka kumi sasa kama sikosei kwenu ni MASHIKOLO MAGENI
Kahama tayari steel industry inafanya kazi zaidi ya miaka kumi sasa kama sikosei kwenu ni MASHIKOLO MAGENI
HAYA TUNAVO KWAMBIA MJI WA VIWANDA UWE UNAELEWA BAADA YA FIDIA PROJECT INAANZA EKARI 200 VINATAZAMANA NA MAKAMBAKO STEEL INDUSTRIAL PARK πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
View: https://www.instagram.com/reel/DLWnx-pNrYb/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
 
Mashine za kukoboa mpunga ndio viwanda? 😁😁😁😁

Kuna Kahama Fresh labda ndio Cha maana.

Pia Ile Buzwagi industrial Complex ikija kuanza Kujengwa ndio kutakuwa na viwanda Kwa sababu nafahamu Kuna Mpango wa kujenga kiwanda Cha betri ,kusafisha nickel etc but so far ni matarajio.
 
Renda πŸ˜‚πŸ˜‚ hii ko subiri ikamilike ndio upige kelele
 
Maparachichi na viwanda vya mbao kawaida kabisa huko Njombe maana raw materials mnazo za hayo mambo, Kahama pia vipo vingi vya dhahabu( plant) na pamba sababu raw material ni ya kutosha kwa hivyo vitu

Halafu cha kushangaza ni kwamba Kahama Manispaa (wilaya ndani ya Shinyanga) inapambana na Mkoa mzima wa Njombe ( Njombe na Makambako) na bado hamchomoki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mpaka hapa hii mechi inasoma Njombe mji 1-3 Kahama au
(Njombe+Makambako)2-3 Kahama πŸ€—πŸ˜„πŸ˜„
 
Sasa nyie viwanda vya kupakia tu maparachichi hivyo ni viwanda kwani πŸ˜‚ πŸ€— au vinatengeneza maparachichi artificial? Kuna kipi cha maana kinafanyika kwenye viwanda vya parachichi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ si bora hata hiyo kukoboa mpunga au na parachichi zinakobolewa? Halafu vya mpunga ni vingi sana na serikali inavitambua ndio maana hata umeme vinafungiwa wa viwanda

Unaposema kiwanda cha Kahama fresh tu ndio cha maana niambie hivi πŸ‘‡ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ambavyo tayari vipo Kahama na vinafanya kazi sio vya maana?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡
1. Kiwanda cha vipuli
2. Kiwanda cha mabomba ya maji
3. Viwanda vya kuchakata pamba ili kupata nyuzi (Gingery)
4. Kiwanda cha steel (nondo)
5. Kiwanda cha Bati
6. Viwanda vya unga Kama vile MUYAMA, KRISH etc
7. Kiwanda cha viti na meza za plastic

At least wewe huwa unajitahidi kutafuta data ila hao jamaa zako wa Njombe hapana kwa kweli wana ushamba mwingi sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivyo vya kahama NI sawa na vya kampuni hii makambako πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
View: https://www.instagram.com/p/DBBjEgPI06c/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
Unawajua KOM COMPANIES hapo Kahama lakini πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„? Makao makuu yao ni Kahama na wanaviwanda vyinavyotengeneza vitu vingi sana soma hapo πŸ‘‡ jibu utalipata, viwanda vya kampuni moja tu hili hapo Kahama hamjavifikia lakini makelele kibao

Swala la Njombe mji kuizidi Kahama bado sana na sizani kama itatokea
 
Naendelea kuwafungua macho soma hiyo πŸ‘‡πŸ‘‡ utaelewa kwa nini nasema Njombe mji haiwezi kuipita Manispaa ya Kahama kizembe kama ulizani Kahama hakuna viwanda vingine vya maana vinavyojengwa tambua kuanzia sasa

Kiwanda cha kusafisha makinikia ya nickel tayari ujenzi ulishaga anza tangu 2024 huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…