Kahama VS Njombe/Mafinga

Mbeya sio tuu Ina magorofa mengi kuliko Irina Bali Iko kwenye miji 6 yenye majengo au magorofa marefu mengi hapa Tanzania Kwa matokeo ya Sensa.

Iringa unayoisema haipo hata kwenye hiyo List 😁😁
Kuhusu view ya mji nani wapi ni kituko πŸ˜‚πŸ€—
 
Cha kuzingatia ni kwamba Njombe ndio Ina magorofa mengi kushinda Kahama.

Hapo Bado magorofa ya serikali hayajawekwa
Muda utaongea halafu ilikuwa difference ya ghorofa 8 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Time wili tell πŸ˜„, sio muda hicho kichaka kinafyekwa na usikute Kahama tayari ishakifyekelea mbali
 
Kwenye hizo gorofa 8 ,bila hata kuongezea za watu binafsi Serikali imeongeza zifuatazo
1.UDOM Campus majengo 4
2.Kituo Jumushi Cha Sheria
3.Shule za msingi za ghorofa 2
4.TanRoads Regional Office

Tayari hapo Gap ya 8 imekuwa extended zaidi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbeya sio tuu Ina magorofa mengi kuliko Irina Bali Iko kwenye miji 6 yenye majengo au magorofa marefu mengi hapa Tanzania Kwa matokeo ya Sensa.

Iringa unayoisema haipo hata kwenye hiyo List 😁😁
Watu wa nyanda za juu kusini especially Njombe na Mbeya ebu jaribuni kujifunza jinsi ya kuplan miji yenu muache kuendelea kuijenga kama vijiji vikubwa
 
Kwa hiyo Kahama haijengi sio πŸ˜‚? Manispaa imeendesha ujenzi wa maghorofa mengi sana ya halmashauri na hospital, na ujenzi wa maghorofa Kahama uneshika kasi zaidi kuanzia hiyo 2022 mpaka sasa
 
Kwa hiyo Kahama haijengi sio πŸ˜‚?
Kahama majengo ya serikali ya hadhi ya Mkoa mtoe wapi? 😁😁😁😁

Nyie ni gulio so vitu kama hivyo mtaishia kuviona Njombe na Shinyanga πŸ˜‚πŸ˜‚
 
The sleeping Second giant of lake zone Shinyanga πŸ’₯πŸ’₯ watu wa Njombe mjifunze jinsi ya kujenga Miji yenu.


Mji hauna fujo kabisa yaani very cool, Kama huwa unatafuta mji mtulivu wa kuishi na kula maisha kwa lake zone huwa naona Shinyanga ni chaguo sahihi
 
Njombe bado iko level ya vijiji vikubwa vyenye fujo ya pesa tu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kanda ya ziwa kuna miji kama Shinyanga hiyo Kahama bado hawezi kuizidi na ni kama roll model wake, lakini kwa miji kama Njombe hapana kwa kweli
Hapa ndio umeandika pumba gani?

Njombe haijaizidi Shinyanga ila sio gulio la Kahama πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Miji ya hivi ndio Mimi napenda kuishi.Huko kwenye magulio kama Kahama,Tunduma,Makambako,Katoro nk hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…