Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,350
- 1,005
Majengo marefu yapi hapo Njombe? Kuna hata ghorofa iko na floor 10+?Vitu vingi tu ukianzia miundombinu yote kahama inazidiwa ,majengo marefu nk inacho zidi kahama kwa njombe NI kuzaliana basi
Ko ndo utambue NI maeneo muhimu USHAMBA unao wewe ulianza kutuletea km zilizo jengeka kahama ndo maana tukaamua tukutoe USHAMBA kuwa Hilo Jambo saiz NI la kawada miji mingi Ina hayo mambaoSasa dry port ni kitu kigeni hicho? Isaka ni Dry port na hatulizingumzii πππ punguzeni ushamba
Unaijulia Google map auMajengo marefu yapi hapo Njombe? Kuna hata ghorofa iko na floor 10+?
Kwa maghorofa mazuri na Makubwa Njombe ikae pembeni naijua vizuri mno
Ngoja nikutoe Ushamba Kama si mshamba let gorofa lenye floors Tisa kahama Kama hiliMajengo marefu yapi hapo Njombe? Kuna hata ghorofa iko na floor 10+?
Kwa maghorofa mazuri na Makubwa Njombe ikae pembeni naijua vizuri mno
Uwe unatembea sio unaongea vitu usivyo vijua haya safisha machoMajengo marefu yapi hapo Njombe? Kuna hata ghorofa iko na floor 10+?
Kwa maghorofa mazuri na Makubwa Njombe ikae pembeni naijua vizuri mno
Haya tunakuja makambakoMajengo marefu yapi hapo Njombe? Kuna hata ghorofa iko na floor 10+?
Kwa maghorofa mazuri na Makubwa Njombe ikae pembeni naijua vizuri mno
Ikae pembeni Kwa Mji ganj? Kahama au? Kwani Magorofa marefu lazima ziwe 10 floors?Majengo marefu yapi hapo Njombe? Kuna hata ghorofa iko na floor 10+?
Kwa maghorofa mazuri na Makubwa Njombe ikae pembeni naijua vizuri mno
Ngo
Ngoja nikutoe Ushamba Kama si mshamba let gorofa lenye floors Tisa kahama Kama hiliView attachment 3385432View attachment 3385438
Yaani Njombe pekee haiwezi pambana na Kahama mpaka usaidizi wa Makambako πππ nimeipenda hiyo
Bado sana, na wewe toa matongotongo Kahama hii π π₯Uwe unatembea sio unaongea vitu usivyo vijua haya safisha machoView attachment 3385462View attachment 3385464View attachment 3385465View attachment 3385486View attachment 3385488View attachment 3385514View attachment 3385521View attachment 3385523View attachment 3385557
Nakupeleka street view sasa π₯ππ KahamaUwe unatembea sio unaongea vitu usivyo vijua haya safisha machoView attachment 3385462View attachment 3385464View attachment 3385465View attachment 3385486View attachment 3385488View attachment 3385514View attachment 3385521View attachment 3385523View attachment 3385557
Angalia Manispaa zinavyofanana π₯π₯π Kahama hiyo πUwe unatembea sio unaongea vitu usivyo vijua haya safisha machoView attachment 3385462View attachment 3385464View attachment 3385465View attachment 3385486View attachment 3385488 Kahama
Kahama kama mambele huko π₯π₯ haikuwa Manispaa kwa bahati mbaya πππUwe unatembea sio unaongea vitu usivyo vijua haya safisha machoView attachment 3385462View attachment 3385464View attachment 3385465View attachment 3385486View attachment 3385488View attachment 3385514View attachment 3385521View attachment 3385523View attachment 3385557
Cha kuzingatia ni kwamba Njombe ndio Ina magorofa mengi kushinda Kahama.Angalia Manispaa zinavyofanana π₯π₯π Kahama hiyo π
View attachment 3385700View attachment 3385701
Halafu kuna hiki kijiji ππππ Yaani
View attachment 3385722
Hata Mbeya ina magorofa mengi kuliko Iringa lakini Mbeya ni gulio tuππππCha kuzingatia ni kwamba Njombe ndio Ina magorofa mengi kushinda Kahama.
Hapo Bado magorofa ya serikali hayajawekwa
Swax ndo wapi mkuu π€π€π€π€
Mbeya sio tuu Ina magorofa mengi kuliko Irina Bali Iko kwenye miji 6 yenye majengo au magorofa marefu mengi hapa Tanzania Kwa matokeo ya Sensa.Hata Mbeya ina magorofa mengi kuliko Iringa lakini Mbeya ni gulio tuππππ