Kahama VS Njombe/Mafinga

Tupo toka ,2019
Tukikuambia ulete data za kueleweka unaanza kudanganya au wewe mkenya πŸ€—πŸ˜„πŸ˜„
Kwa Tanzania hakuna Mji wowote unaoizidi ukubwa Dar es salaam, si Mwanza, Arusha wala Dodoma sasa mtu analeta Data Za Njombe mji ni kubwa kuzidi hadi Dar es salaam πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Halafu eti ulikuwepo kwenye uzi tangu 2019 , mmedanganya sana watu humu naona katika propaganda zenu za kutaka kukweza hiyo miji yenu midogomidogo, hapa kwangu hamtoboi
 
Njombe Town

182,127 Population [2022] – Census

3,536 kmΒ² Area

51.51/kmΒ² Population Density [2022]
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ–•Hii imenifurahisha sana kwamba 3,536kmΒ² yaani Dar uizidishe mara 2.5 ndio upate ukubwa wa mji wa Njombe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Haya tuseme data zako ni sahihi, sasa kwenye hizo square km elf3 tuambie ni zote zimejengwa?
 
Hivi ww jamaa unajua unachoongea kweli Kama unamaanisha population sawa ila sio ukubwa wa eneo angalia mikoa ya tabora na morogoro Ina ukubwa gan afu ndo utaelewa umeandika kitu usicho kijua angalia km squre
 
Ww uliitaji ukubwa wa eneo la kiutawaka tumekupa Sasa ishu ya ujenzi NI nyingine kumbuka Kuna project nyingi zinakuwa kwenye eneo Hilo ndo maana ya mipango miji Kuna eneo la misitu ,mashamba , VIWANDA na makazi
 
Na kwa Sasa jiji lenye eneo kubwa NI dodoma Lina zaidi ya 2700 km squre upo si kanakwamba kote kumejengwa Kuna kitu kingine kina itwa Bank of land kwaaji ya project zingine mbele
 
Wewe ndio unakuwa huelewi unachozungumza unakuwa unatoka kwenye reli, hatuweki ukubwa wa mkoa hapa tunaweka ukubwa wa mji
Ukubwa wa mji kwa ujenzi wa Tanzania huwa unaaksiwa na population size, Tanzania hatuna mji wenye population kubwa halafu ukawa na coverage ya eneo dogo
Mfano huko nyanda za juu kusini kuna Mji unaoizidi Mbeya kwa ukubwa wa eneo la mji?
 
Na kwa Sasa jiji lenye eneo kubwa NI dodoma Lina zaidi ya 2700 km squre upo si kanakwamba kote kumejengwa Kuna kitu kingine kina itwa Bank of land kwaaji ya project zingine mbele
Umeanza kujaa sasa, maana yake eneo kubwa bado halijajengwa na eneo lililojengwa ni dogo
Sasa tuwekee eneo la mji wa Njombe lililojengwa acha kurukaruka na kupotosha watu humu
 
Acha kuruka ruka Kama maharage uliomba data za ukubwa maeneo umepewa tayari umeona umekula za uso una hamisha magoli tulikwambia labda uongelee kwenye ishu ya population tutakuelewa si habari zingine tulisha chambua hiz mada kitambo sana haya dodoma city hiyo πŸ‘‡
Dodoma City

765,179 Population [2022] – Census
2,607 kmΒ² Area
293.5/kmΒ² Population Density [2022]
6.4% Annual Population Change [2012 β†’ 2022]

Dodoma City District: district in Dodoma Region, Tanzania
 
Rudi sasa kwenye mada yetu na ujibu swali langu,
Je ni kweli Mji wa Njombe ni mkubwa kuliko Jiji la Dar es salaam?
 
Umeanza kujaa sasa, maana yake eneo kubwa bado halijajengwa na eneo lililojengwa ni dogo
Kujaa nin swali lako uliuliza ukubwa wa eneo umepewa data kwan kahama Hilo eneo lote squre km 1300 Lina makaz kumbuka Kuna mashamba humo, mbuga tupu , migodi nk
 
Rudi sasa kwenye mada yetu na ujibu swali langu,
Je ni kweli Mji wa Njombe ni mkubwa kuliko Jiji la Dar es salaam?
Jibu unalo unajua hizo km squre zimesha kupa jibu tosha kuwa size of land NI kubwa njombe
 
Acha kuchanganya mada Kuna idadi ya watu na Kuna eneo la mji ukiongelea eneo Kuna miji Ina maeneo makubwa mfano mafinga Ina zaidi km squre 1000 , njombe TC zaidi ya 3000 , mbinga TC zaidi ya 1000 nk ila ukija kwenye idadi ya watu ni Mbeya cc inaongoza
 
Twende taratibu, wewe unazani Njombe mji inaizidi Kahama kwa kitu gani?πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapa huchomoki, tupe eneo lililojengwa usilete takwimu za jumla na mashamba
Hapo Njombe πŸ‘‡tuambie kmΒ² ngapi

Na hapo makambako ni kmΒ² ngapi zimejengwa πŸ˜‚πŸ˜„πŸ‘‡? Huna nafasi ya kudanganya labda hao waliokubali kudanganyika

Vimiji vidogo vidogo vimejaa mashamba ya parachichi na miti unataka upotoshe umma πŸ˜„πŸ˜„
 
Ww uliitaji ukubwa wa eneo la kiutawaka tumekupa Sasa ishu ya ujenzi NI nyingine kumbuka Kuna project nyingi zinakuwa kwenye eneo Hilo ndo maana ya mipango miji Kuna eneo la misitu ,mashamba , VIWANDA na makazi
Niwapi nilisema nataka eneo la utawala mimi, nilihitaji eneo la mji, nikakuwekea Data Za Manispaa ya Kahama πŸ‘‡ na wewe ukaanza kuleta za kwako na hausemi umezitoa wapi (source of data)

Shida mnachanganyikiwa na vitu vigeni ambavyo ndio kwa mara ya kwanza mnaviona mnazani kwingine havijawahi kufanyika, utasikia mji wa viwanda, mega city etc.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚(punguzeni ushamba)

Au watu wanapokuwa hawapost viwanda vya Kahama ndio mnazani Kahama haina viwanda!πŸ€”
 
Haha na utachanganyikiwa sana wawekezaji wa VIWANDA wamesha kubaliana na wazo la mkoa was njombe wawe na mji wa VIWANDA na plan hazijaanza leo Kwan taarifa yako toka ujenz wa reli ya TAZARA walisha iandaa zone makambako kuwa ya VIWANDA na BIASHARA ko tambua Hilo na dry port ipo
 
Hilo utaumia sana wenzenu wapo kikazi Zaid rasilimali ni za kutosha ko ukuaji wa mkoa njombe hususa eneo hili ilikuwa NI muda tu
 
Twende taratibu, wewe unazani Njombe mji inaizidi Kahama kwa kitu gani?πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜‚
Vitu vingi tu ukianzia miundombinu yote kahama inazidiwa ,majengo marefu nk inacho zidi kahama kwa njombe NI kuzaliana basi
 
Sasa dry port ni kitu kigeni hicho? Isaka ni Dry port na hatulizingumzii πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜„ punguzeni ushamba
 
Na lingine usilo lijua eneo la mji si lazima lijengwe lote Kuna open space ,Kuna zone za VIWANDA , nk ko usipate shida kwa Hilo wacha NJOMBE kazi ziendelee kuongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…