ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,109
- 84,995
Njombe na mafinga ni mikoa miwili tofauti. Yaan njombe ipo mkoa wa IRINGA na NJOMBE ni wilaya ambayo pia imebeba Jina la mkoa wa NJOMBE.
From njombe to mafinga NaurI ni 6000+
Asa kwanini zote mbili (njombe na mafinga) uvishindanishe na kahama peke yake ?
Na unatumia vigezo gan kuunganisha njombe na mafinga ?.
Yaani haka kajangwa ndio tunapigiwa kelele humu ndani 😁😁👇👇Kwaiyo unamanisha nini sasa ?? Chuo kinajengwa njombe ...
Iringa ambapo mafinga imo ndani yake tiar kuna vyuo vikuu zaidi ya viwili .
RUCU
MKWAWA
TUMAINI