Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

NHC waliona Geita inakuja moto nao kama kawaida wakapata eneo kwenye satellite city
View attachment 3345461
Hivi bijumba si Bora hata vya kule kwenu Katoro mnakonyanyua mapaja kama mnataka kuruka? 😂😂

Njombe 👇 👇
Screenshot_20250523-160956.jpg
 
Umekula za uso maneno kibao uzi mzima unarudia picha zilezile kwel hiyo manispaa uchwara makambako again.View attachment 3345987
Kwenye hicho kijiji chako cha Makambako kuna satellite town 😂😂😂?
Nyuma ya kanisa tu naona masankulo 🤭 😂
Nawapiga na vitu ambavyo huwezi vikuta kwenye Kijiji 😂😂 na mtavisikia tu.
Makanisa makubwa ya Geita wala sitaki kuweka hapa usije ukakimbia
 
Hapo umeona kiwanja tu😄😄😄, mambo mengine ya ki-Dodoma Dodoma hutaki kuyaona sio 😂 🤗 😂
Sasa mmejengewa stendi kulingana na hadhi yenu 😂😄😄😄
Usiwe na haraka ikikamilika utajuzwa
As usual Modern things
images (67).jpeg
 
Kwenye hicho kijiji chako cha Makambako kuna satellite town 😂😂😂?
Nyuma ya kanisa tu naona masankulo 🤭 😂
Nawapiga na vitu ambavyo huwezi vikuta kwenye Kijiji 😂😂 na mtavisikia tu.
Makanisa makubwa ya Geita wala sitaki kuweka hapa usije ukakimbia
Week tuyaone sio kila muda kurudia ofisi za serikali ambazo zipo kila mkoa
 
Week tuyaone sio kila muda kurudia ofisi za serikali ambazo zipo kila mkoa
Niweke mara ngapi?😂😂😂 Hata kwa macho ya kawaida huwezi kuona satellite town unavyoandaliwa kwenye hii picha 🤔🤔👇 na nyingi nimeweka humu
images (65).jpeg
uwanja-ggml-4.jpg
 
Ni nakuuliza, Hapo Njombe/ Makambako mna satellite town 😂 😂 😂
Kama hamna miji yenu itaendelea kuwa vijiji vilivyo changamka tu
Ww tumegundua huna jipya Yan Hilo eneo la ofisi utaita kila majina maana mmezoea kujenga nyumba holela ndo maana unashangaa hicho kitu
 
Ww tumegundua huna jipya Yan Hilo eneo la ofisi utaita kila majina maana mmezoea kujenga nyumba holela ndo maana unashangaa hicho kitu
Huwezi kuelewa vitu ambavyo hamuwezi kuwanavyo 😂😂😂🔨🔨
 
Back
Top Bottom