Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Ebu angalia surroundings za satellite city ya Geita kama ina uchafu πŸ’₯πŸ‘‡πŸ’₯πŸ’₯
View attachment 3345385View attachment 3345386
Halafu na hivi vituko hapa πŸ‘‡πŸ‘‡ to the background πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
View attachment 3345389
Backgrounds πŸ˜‚πŸ˜‚

Njombe TC HQ πŸ”₯πŸ”₯
Screenshot_20250525-164637.jpg
 
Angalia surroundings za kila jengo ndani ya satellite city πŸ’₯πŸ’₯kama Dodoma yaani hakuna uchafu wa masankulo na magofu πŸ‘‡
images (28).jpeg
Screenshot_20250523-110328 (1).png
 
Yaani ni Kasulu iliyochangamka tu ndio maana huwa mnaforce kupost jengo moja moja πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ˜„
Mji hauna satellite town ya maana usiufananishe na miji inayodevelope na modern satellite towns utaonekana una uwezo mdogo wa kufanya judgement acha kijichosha
Changanya Kasulu na Geita wote ni sukuma gang ila Kwa Njombe hamtoboi.

KKKT Hostel Njombe.
maxresdefault-1.jpg
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ€”πŸ€­πŸ€­πŸ€­πŸ€­Umeanza na render tena πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ulizani Geita ya kitoto ee πŸ€”
Hiyo sio render Jengo lishasimama kitambo
 
Hiyo sio render Jengo lishasimama kitambo
Mna satellite town hapo Njombe πŸ€”?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Uwanja wa Geita Gold upo kwenye satellite city
Ni swala la muda tu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
images (65).jpeg
images (66).jpeg

Huwezi linganisha Geita na miji yenu ya masankuloni πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
NHC waliona Geita inakuja moto nao kama kawaida wakapata eneo kwenye satellite city
1747939425739.jpg
 
Mnatakiwa mlinganishe
Njombe,Mafinga, Kahama, Makambako sababu hivi vyote huwa ni vijiji vilivyochangamka vyenye fujo tu na matumizi mabaya ya pesa na ukimwi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
I'm sorry kuwashtua na the might upcoming modern city Geita πŸ’₯
 
Mnatakiwa mlinganishe
Njombe,Mafinga, Kahama, Makambako sababu hivi vyote huwa ni vijiji vilivyochangamka vyenye fujo tu na matumizi mabaya ya pesa na ukimwi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
I'm sorry kuwashtua na the might upcoming modern city Geita πŸ’₯
Umekula za uso maneno kibao uzi mzima unarudia picha zilezile kwel hiyo manispaa uchwara makambako again.
FB_IMG_17453332682585058.jpg
 
Back
Top Bottom