Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,362
- 1,006
Angalia hayo mandhari ya mji, wewe unazani nakuonyesha jengo la office?😄😄😄 Ni swala la muda tu mtakimbia uzi huu nikizipata current pictures 😂😂, angalia mji unavyojitengeneza na sio jengo 👇💥💥Naona umesha ishiwa vya kupost una baki unarudi ofisi hizi zipo kila sehemu hata makambako wamejengaView attachment 3344012
Moja ya mtaa makambako AMBAO kwa Sasa makazi yake mengi NI mwendo wa gorofa 👇👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DJTpwCtML6o/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
Kanda ya ziwa iko nyuma nyuma mno.Wapi hakuna makazi ya kisasa 😂😂😂 Katoro tu inawashinda hapo hatujaenda Chato huko etc. Geita ya 2015 sio ya leo
Sijafika ndio maana nataka muweke vitu humu nione, ukiweka picha kubwa inayoonyesha mji kwa upana kila mtu anaona, sasa una post kwa kuokoteza jengo moja moja unategemea nitakuelewa 🤔🤔Mkuu tatizo hujafika Njombe lakini siku ukifika utaamini kwa wenye takwimu wanaiweka Njombe juu kila kona.Njombe hadi vijijini ndani huko unakutana makazi mengi ya kisasa,majengo ya ghorofa nakili kuwa kanisa pia hususani wabenedictini walisaidia kushape na kutawanya maendeleo kupitia parokia za kanisa katoliki lakini pia kilimo ndio backbone yetu na kimefanya uchumi kukua kwa kasi kubwa
Mnaongelea makazi bora mbona hamuweki hivi 👇 👇 tukaonaKanda ya ziwa iko nyuma nyuma mno.
Hebu nipe drone view ya huo mji nikuambie what coming in the futureMnaongelea makazi bora mbona hamuweki hivi 👇 👇 tukaona
View attachment 3344308View attachment 3344309
Kanda ya ziwa hiyo nasubiri nione vitu vyenu mlio mbele 😂 😂hebu
Weka makazi ya Njombe na Makambako unakwepa nini😂😂😂Hebu nipe drone view ya huo mji nikuambie what coming in the future
Ile video niliyoweka ilikuwa ni ya nini kama sio makazi?Weka makazi ya Njombe na Makambako unakwepa nini😂😂😂
Hii kwangu haplay
Weka picha 😂😂😂😂Ile video niliyoweka ilikuwa ni ya nini kama sio makazi?
🚮🚮Weka picha 😂😂😂😂
Simu ya Laki 2 ndio ita play ikizingatiq wewe ni Mashamba wa Masumbwe 😂😂Hii kwangu haplay
Umeanza vilio 😁😁Technically wewe ni kilaza kabisa, nimepost picha ikionyesha namna mji unavyotenezewa mandhari ya kisasa na ya kuvutia, kwa akili yako fupi unaona nimepost kukuonyesha jengo la halmashauri 😢🤔
Sasa una post jengo moja la nini, post surrounding za hiyo office yako sasa at least cover hata 500m square tuone hayo mandhari ya mji wa njombe