Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Acheni kulinganisha miji yenu ya masankuloni na standard towns kama Geita 💥 👇
Unaleta bwawa hapa 💥🔨👇
View attachment 3343924View attachment 3343925
Hii hotel Ina huduma zote hizo elewa maana ya beach sio kutuletea swimming pool za hotelin
FB_IMG_17480619331867642.jpg
 
Mkuu tatizo hujafika Njombe lakini siku ukifika utaamini kwa wenye takwimu wanaiweka Njombe juu kila kona.Njombe hadi vijijini ndani huko unakutana makazi mengi ya kisasa,majengo ya ghorofa nakili kuwa kanisa pia hususani wabenedictini walisaidia kushape na kutawanya maendeleo kupitia parokia za kanisa katoliki lakini pia kilimo ndio backbone yetu na kimefanya uchumi kukua kwa kasi kubwa
 
Wapi hakuna makazi ya kisasa 😂😂😂 Katoro tu inawashinda hapo hatujaenda Chato huko etc. Geita ya 2015 sio ya leo
 
Back
Top Bottom