Kahama VS Njombe/Mafinga

Ucha ungese hivi unajua NI mkoa gani usiwe na ofisi hizo acha USHAMBA
Shida sio kuwa na office hizo, issue ni ziko wapi? Ndio maana Miji mipya kama Dodoma ziko sehemu inaitwa mji wa kiselikari πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜…πŸ˜… huwezi weka office za serikali masankuloni huko
Kama kwenye miji yenu mipango mji ni mbovu ndio hivyo sasa hamtakuwa na modern city kama Dodoma.
Geita inafata nyayo za Dodoma, ko ni makosa kuifananisha na miji ya masankuloni kama Njombe πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kwani huogopi πŸ’₯πŸ’₯πŸ‘‡β›οΈβ›οΈπŸ”¨
 
Ndo maana tumekwambia hivyo viofisi viwekuweua akili ukiwa njombe fika lunyanywi ndo utaelewa kuwa ofisi zote za serikali zipo pale ko umeamua ukopy kwa dodoma mtumba wanaita mji wa serikari ko na geita gaita Safari bado mbichi tembelea lunyanyu njombe au ingia Google map uone kulivopangiliwa sio unaropoka ukajua hizo project zpo geita tu hata ukifika mkoa was songwe NI hivohivo kwa Hilo huna jipya
 
Hakuna lolote πŸ˜‚ πŸ€— πŸ€— πŸ€— Nitembee kwenda wapi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”¨πŸ”¨
Weka picha hapa
 
Ndani ya mji wa kiselikari Geita πŸ‘‡ πŸ”¨πŸ”¨
 
Malalamiko mengi ya nini πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ‘‡

Bright future for Geta MunicipalπŸ’₯
 
Vitu vya mtaani sasa πŸ˜‚ πŸ€— πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ msije mkakimbia uzi, sema mkiniudhi nawapeleka msiko kutaka πŸ˜‚πŸ‘‡
 
Hizo Nyumba zimejengwa ukiwa pengine primary nenda pembezoni unakutane msouth na corrugated settlements za kutosha.Maana naona unadhani Niombe ni katikati ya mji tu.Hayo mabati ya zamani hata kariakoo yapo
Kila mji kwenye maeneo ya zamani kutu zipo, lakini Njombe hapana imezidi πŸ€—πŸ€—
 
Njombe
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…