Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

FB_IMG_17437653907607551~2.jpg

Soma hiyo ofisi ya nn na Kuna ofisi za gotofa za kutosha eneo hili
 
Endelea kujitariji na mamilima hayo ndo muiguse dodoma nyie au unaisikia dodoma
Umehamia Dodoma tena 😂😂😂 acha kutapatapa🔨🔨 👇👇unaona vitu hivyo unaweza amini kuwa ni Geita 👇
images (27).jpeg
images (21).jpeg
 
Mwamba asee we NI mshamba fika njombe MTAA wa lunyanywi ndo utaelewe hizo project zipo kila mkoa ndo maana tulikwambia mapema leta za watu binafsi unarukaruka Kama bisi
Ivi kwani wewe ni DEMU?! weka vitu tuone, kama kuna kitu sikijui nami nitakifahamu
Punguza maneno vitendo viwe vingi kama mwanaume
 
Back
Top Bottom