Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,350
- 1,005
Majengo ni yale yale πππ, yakiisha sijui utapost nini?Uwe una elewe tumekwambia hizo fremu kwa makambako ni οΏΌsawa na project ya mtu binafsi haya nyingine hiyo View attachment 3341315
Leta soko kwanza haya kila sehemu yapoUwe una elewe tumekwambia hizo fremu kwa makambako ni οΏΌsawa na project ya mtu binafsi haya nyingine hiyo View attachment 3341315
Unanilazimisha π€ππππππππHahaha mzee wa mapaa project zipo nyingi tu tumekupa ka mfano ndo uelewe kuwa njombe watu Wana pesa
Tumekwambia huwezi linganishaga junction ya VIWANDA na biashara na ka Kijiji kenu
u
Hatuna muda wa kushindana na Kijiji kwa taarifa yako makambako NI mji wa VIWANDA na biashara hapa hatuongelei soko Kuna masoko zaidi ya matano makubwa zaidi ya hako kajengo ndo maana tulisha kuona huna kitu ni wa kupuuzwa tu maana Hadi saiz mamlaka za serikali huzijuiMajengo ni yale yale πππ, yakiisha sijui utapost nini?
Makambako haina soko
Katoro ina soko
Ni kichaa pekee ndio anaweza kusema makambako ni mji wa maana,
Kama hujaleta soko kuu la makambako hapa kuanzia leo jua makambako si chochote mbele ya Katoro, yaani haitoboi π¨π¨ π₯π₯π
View attachment 3341343
Yan wewe NI mshamba tu Kama wengine hivi Hadi mji ukaitwe wa biashara unadhani unakosaje soko Yani ukubwa wa hako ka centre ka katoro kwa makambako ndo centre ya soko moja tu na Kuna zaidi ya masoko makubwa matano na la mwisho la kimataifa la mazao limezinduliwa mwaka huu ukubwa wake nalo NI sawa na centre ya katoro hiyoLeta soko kwanza haya kila sehemu yapo
View attachment 3341352
Hakuna lolote πππ, kama masoko yapo si uyaweke hapa tuone, Makambako ni kijiji kilichochangamka tu,,Hatuna muda wa kushindana na Kijiji kwa taarifa yako makambako NI mji wa VIWANDA na biashara hapa hatuongelei soko Kuna masoko zaidi ya matano makubwa zaidi ya hako kajengo ndo maana tulisha kuona huna kitu ni wa kupuuzwa tu maana Hadi saiz mamlaka za serikali huzijui
Weka soko kuu hapa ππ, ushamba wako ndio unaokufanya uone makambako ni mji wa maana,, mji gani hauna soko la kueleweka, nilisha waambi Makambako si chochote mbele ya Katoro ni kijiji tu kilichopitwa na wakati, πππYan wewe NI mshamba tu Kama wengine hivi Hadi mji ukaitwe wa biashara unadhani unakosaje soko Yani ukubwa wa hako ka centre ka katoro kwa makambako ndo centre ya soko moja tu na Kuna zaidi ya masoko makubwa matano na la mwisho la kimataifa la mazao limezinduliwa mwaka huu ukubwa wake nalo NI sawa na centre ya katoro hiyo
Yan huto tu fremu tunakuweua Kama kichaa hata ilembula Kuna fremu Kama hizo mzeeWeka soko kuu hapa ππ, ushamba wako ndio unaokufanya uone makambako ni mji wa maana,, mji gani hauna soko la kueleweka, nilisha waambi Makambako si chochote mbele ya Katoro ni kijiji tu kilichopitwa na wakati, πππ
Weka soko hapa kama hakuna kaa kimya
View attachment 3341583
Yani hata geita yako kwa makambako inakalishwa kwa ukubwa sio kutuletea Kijiji chako Cha katoro kilicho jaa njia za ngombeWeka soko kuu hapa ππ, ushamba wako ndio unaokufanya uone makambako ni mji wa maana,, mji gani hauna soko la kueleweka, nilisha waambi Makambako si chochote mbele ya Katoro ni kijiji tu kilichopitwa na wakati, πππ
Weka soko hapa kama hakuna kaa kimya
View attachment 3341583
Fremu hizo linganishana na za ilembula sio unaona fremu nyingi unajua NI soko kwa makambako hivyo vitu NI kawaida sana hata hapa ilembula zipoWeka soko kuu hapa ππ, ushamba wako ndio unaokufanya uone makambako ni mji wa maana,, mji gani hauna soko la kueleweka, nilisha waambi Makambako si chochote mbele ya Katoro ni kijiji tu kilichopitwa na wakati, πππ
Weka soko hapa kama hakuna kaa kimya
View attachment 3341583
Achana na Kijiji Cha katoro tuletee mijengo Kama hii GEITA https://www.facebook.com/Weka soko kuu hapa ππ, ushamba wako ndio unaokufanya uone makambako ni mji wa maana,, mji gani hauna soko la kueleweka, nilisha waambi Makambako si chochote mbele ya Katoro ni kijiji tu kilichopitwa na wakati, πππ
Weka soko hapa kama hakuna kaa kimya
View attachment 3341583
Weka soko kuu hapa kwanza πππ kama hakuna soko makambako ni kijijiAchana na Kijiji Cha katoro tuletee mijengo Kama hii GEITA https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/100064044039613/posts/pfbid0XUNHXQbySrK4VFvZ5wkL6HuiLnBvB6LpYsdt9ECrUgPqVtpmFL6sctki1np6VAQSl/?app=fbl
We huna akili tumekuwekea soko la mazao na Google map ya eneo lote la soko kuuWeka soko kuu hapa kwanza πππ kama hakuna soko makambako ni kijiji
Level za makambako NI ku buttle na geita sio hicho kijijiWeka soko kuu hapa kwanza πππ kama hakuna soko makambako ni kijiji
Toka Jana nilishakuona fyuz imelegea we mji unaitwa wa biashara na VIWANDA unakosaje masoko huku hawaongelei soko moja mzee uwe unaelewa katembelee kariakoo ujifunze tunavo kwambia soko linakuwa na mitaa ya bidhaa tofauti tofauti ndicho kilichopo makambako uwe unaelewa hapo bado masoko mengine ya mtaaniWeka soko kuu hapa kwanza πππ kama hakuna soko makambako ni kijiji
Muwe mnaweka na vitu kama hivi π πMajengo ni yale yale πππ, yakiisha sijui utapost nini?
Makambako haina soko
Katoro ina soko
Ni kichaa pekee ndio anaweza kusema makambako ni mji wa maana,
Kama hujaleta soko kuu la makambako hapa kuanzia leo jua makambako si chochote mbele ya Katoro, yaani haitoboi π¨π¨ π₯π₯π
View attachment 3341343
Weka soko hapa πππππ , hakuna soko tulia muache kupaisha hivyo vijiji vyenu chakavuAchana na Kijiji Cha katoro tuletee mijengo Kama hii GEITA https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/100064044039613/posts/pfbid0XUNHXQbySrK4VFvZ5wkL6HuiLnBvB6LpYsdt9ECrUgPqVtpmFL6sctki1np6VAQSl/?app=fbl