Kahama VS Njombe/Mafinga

Katoro ni mjii wa kisiasa ?

Umemaanisha nini kusema hivi?

Katoro hii hii iliyojengwa hovyo hovyo?

Pita mitaa ya shule ya Msingi Kilimani endelea mbele uone huo usasa
Huu hapa mfano wa miji iliyopangwa 👇Kasulu 💥 angalau walijitahidi sio uozo ulioko hapo Makambako
 
Post soko la makambako sasa 😂😂😂😂😂😂 kama hakuna ujue makambako si kitu mbele ya Katoro
Hatuna muda wa kulinganisha Kijiji na mji tumekwambia hiyo project ya soko NI sawa na project ya mtu binafsi makambako Kama una bisha angalia hapo Tena kawa zidi ana fremu za kutosha zaidi ya 100 na kumbi
 
Naona tayari Kuna fyuzi imeshaanza kupoteza mawasiliano tulia hatulinganishi Kijiji na mji na Kama umetambua kuwa NI tatizo la nchi nzima Sasa tunakwambia makambako pana zaidi ya mitaa 50 ambayo haipo kwenye mpangilio mzuri haizidi mitano
 
Nasubiri uyaweke hayo makazi bora ya makambako, kama huwezi kuyaweka hapa usilete rubbish zako hapa
Hatuna muda wa kubaki unapiga picha makazi Soma taarifa nbs wameeleza kila kitu Kama huamini tembelea eneo husika
 
Bado hujasema 🔨🔨 , makambako na Njombe 90% nyumba ni magofu na vibanda vya kale vilivyojaa kutu 😂 😂 😂
Una la kusema tena au niweke picha 🤔
Njombe ndio Mkoa wa matajiri wanaotegemewa hapa Tanzania.

Ushamba unakusumbua,umetembea sana ni hapo Kijijini kwenu Masumbwe na Katoro 😁😁
 
Angekuwepo JPM angekuchapa makofi.

Yeye mwenyewe kwa kauli yake alishangazwa na ubora wa makazi Makambako
Haelewi angalie hotuba za jpm alivokuwa anatembelea mikoan alivofika mkoa wa NJOMBE mkutano wa makambako aliongea Nini
 
Hatuna muda wa kulinganisha Kijiji na mji tumekwambia hiyo project ya soko NI sawa na project ya mtu binafsi makambako Kama una bisha angalia hapo Tena kawa zidi ana fremu za kutosha zaidi ya 100 na kumbi View attachment 3341264
Kila siku mnapost kajengo haka haka hamna project nyingine ya maana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…