Kahama VS Njombe/Mafinga

Hawajui kwamba kwa wholesalers ukitoka Mwanza inafata Katoro πŸ’₯
 
Huko zaidi ya kambi za madini na vijiji vya uvuvi Kuna nn
Najua unaumia sana ukiona vitu vya Katoro hapa unatamani ndo ingekuwa Makambako au Njombe lakini huna namna endelea kuumia πŸ”¨πŸ˜‚πŸ˜‚halafu kula chuma hicho πŸ‘‡
 
Najua unaumia sana ukiona vitu vya Katoro hapa unatamani ndo ingekuwa Makambako au Njombe lakini huna namna endelea kuumia πŸ”¨πŸ˜‚πŸ˜‚halafu kula chuma hicho πŸ‘‡
View attachment 3341041
Unachekesha.

Katoro na Makambako zipo hadhi tofauti.

Makambako ni kubwa kuliko Katoro kwa kila kitu.

Wewe Makambako unaisikia, sis Katoro tumeiona kwa macho yetu.
 
Najua unaumia sana ukiona vitu vya Katoro hapa unatamani ndo ingekuwa Makambako au Njombe lakini huna namna endelea kuumia πŸ”¨πŸ˜‚πŸ˜‚halafu kula chuma hicho πŸ‘‡
View attachment 3341041
HUO NI USHAMBA WAKO HAYA SOMA HAPO VIWANDA VYA MITI VINAVOZIDI KUONGEZEKA NDANI YA MKOA WA NJOMBE NA VINGI NI AROUND MAKAMBAKOπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Katibu tawala wa mkoa wa Njombe Judica Omary amesema sekta ya misitu inategemewa mkoani Njombe jambo ambalo limepelekea wawekezaji wengi kuingia kwenye sekta hiyo na kujenga viwanda huku baadhi yao wakifuata sera za uwekezaji na wengine wakionekana kufanya kazi kinyume na utaratibu.

"Hivi viwanda vimeanza kuja kidogokidogo na mpaka sasa hivi vimefikia viwanda 19 vinavyojihusisha na mazao ya Venia na hivi vyote vipo wilaya ya Njombe sasa hivi na kwa ujumla vimeajiri watumishi wa muda 1878"amesema Judica Omary

Baadhi ya wadau walioshiriki kikao hicho akiwemo Meneja wa TRA mkoa wa Njombe Specioza Oule pamoja Daniel Okoka ambaye ni MNEC kutoka mkoa wa Njombe,wametoa wito kwa wawekezaji kuhakikisha wanafuata mikataba ya kikodi pamoja na kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya jamii kwenye maeneo yao ya uwekezaji ili kuimarisha uchumi.

#IceFmHabari
#NisikilizeMimi
Na @cleefmlelwah

View: https://www.instagram.com/reel/DJ6cYhttrL0/?igsh=MWN6amRnaHRycWI3bA==
 
Nikajua umekufa kumbe upo 🀣🀣

Acha kuandika uharo
 
Kuna biashara kubwa kuliko Mji wa viwanda, junction ya Barabara kuu na pia wenye Huduma zote?

Unazeeka vibaya.

Zingatia neno Halmashauri ya Mji
 
Unachekesha.

Katoro na Makambako zipo hadhi tofauti.

Makambako ni kubwa kuliko Katoro kwa kila kitu.

Wewe Makambako unaisikia, sis Katoro tumeiona kwa macho yetu.
Kila kitu ndio kitu gani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”¨πŸ”¨
Makambako ni mji wa kizamani uliojaa kutu na Katoro ni mji wa kisasa
 
Post soko la makambako sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kama hakuna ujue makambako si kitu mbele ya Katoro
 
Kila kitu ndio kitu gani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”¨πŸ”¨
Makambako ni mji wa kizamani uliojaa kutu na Katoro ni mji wa kisasa
Katoro ni mjii wa kisiasa ?

Umemaanisha nini kusema hivi?

Katoro hii hii iliyojengwa hovyo hovyo?

Pita mitaa ya shule ya Msingi Kilimani endelea mbele uone huo usasa
 
Katoro ni mjii wa kisiasa ?

Umemaanisha nini kusema hivi?

Katoro hii hii iliyojengwa hovyo hovyo?

Pita mitaa ya shule ya Msingi Kilimani endelea mbele uone huo usasa
Bado hujasema πŸ”¨πŸ”¨ , makambako na Njombe 90% nyumba ni magofu na vibanda vya kale vilivyojaa kutu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Una la kusema tena au niweke picha πŸ€”
 
Bado hujasema πŸ”¨πŸ”¨ , makambako na Njombe 90% nyumba ni magofu na vibanda vya kale vilivyojaa kutu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Una la kusema tena au niweke picha πŸ€”
Angekuwepo JPM angekuchapa makofi.

Yeye mwenyewe kwa kauli yake alishangazwa na ubora wa makazi Makambako
 
Katoro ni mjii wa kisiasa ?

Umemaanisha nini kusema hivi?

Katoro hii hii iliyojengwa hovyo hovyo?

Pita mitaa ya shule ya Msingi Kilimani endelea mbele uone huo usasa
Au kwa kuwa Kuna round about Makambako ndio unaona ni mji babu kubwa sio 🀭🀭
Halafu unakuja na maneno weka basi hata ushahidi wa kuonekana wa picha za hiyo makambako πŸ˜‚ kama huwezi kuweka picha za makambako hapa tutaendelea kula nyundo za Katoro
 
Katoro ni mjii wa kisiasa ?

Umemaanisha nini kusema hivi?

Katoro hii hii iliyojengwa hovyo hovyo?

Pita mitaa ya shule ya Msingi Kilimani endelea mbele uone huo usasa
Hii πŸ‘‡ makambako ndio imepangwa sio πŸ˜‚ πŸ€— πŸ€— wewe ni kichaa, mipango miji ni tatizo la nchi nzima,

Punguza mawenge bila facts hapa utakula πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…