Kahama VS Njombe/Mafinga

Acha kuhangaika na Kijiji chako hichi unaaibika bure na kudhihilisha kuwa bado NI mshamba makazi ya namna hii yapo kila Kijiji mjini tunaongelea gorofa sio nyumba hizo
 
Yaani niumie kwenye Yako kakijiji kalikojaa ufukara?

Hivi taa za barabarani ni za kulingishia miaka hii kweli? Kila Kijiji na Mji zimetungwa na mwaka huu Samia anaguna zingine zaidi ya 4,000.

Tafuta hoja wewe mbumbumbu wa Kijiji Cha Katoro.
Kwa nini unaogopa kupost hizi πŸ‘‡πŸ‘‡picha za kwenu mashambani huko
 
Acha kuhangaika na Kijiji chako hichi unaaibika bure na kudhihilisha kuwa bado NI mshamba makazi ya namna hii yapo kila Kijiji mjini tunaongelea gorofa sio nyumba hizo
Na nitawaaibisha nyinyi msio jua kuwa mambo yameshabadilika huku mkiendelea kujiita matajiri kwa makaratasi, nyie wekeni ushahidi wenu wa makaratasi mimi nawapiga nyundo kwa ground
 
Acha kuhangaika na Kijiji chako hichi unaaibika bure na kudhihilisha kuwa bado NI mshamba makazi ya namna hii yapo kila Kijiji mjini tunaongelea gorofa sio nyumba hizo
Sasa kwanza wewe huoni aibu kutolewa NOK out na kijiji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”¨, umepost kigohorofa kimoja kimoja kutoka makambako nimepost pia ghorofa moja moja toka Katoro, sasa kwa nini pia usiweke makazi kama nilivyofanya tuone matajiri mnalala wapi?
Hivyo vijiji vyenu outdated mnavyipa sifa ambazo havistahili mnaanza kuvimba πŸ˜‚

Mnaumia kimoyo moyo πŸ€—πŸ€— hilo siyo shida yangu, na kama Katoro ingekuwa iko Njombe tusingepumua humu mngekuwa mmeshaipa hadhi ya jiji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€—
 
Acha kuhangaika na Kijiji chako hichi unaaibika bure na kudhihilisha kuwa bado NI mshamba makazi ya namna hii yapo kila Kijiji mjini tunaongelea gorofa sio nyumba hizo
Tajiri wewe nyumba yako iko wapi kwenye hili jiji lenu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€—
 
Hadi leo unashoboka na nyumba za chini asee hivyo vijiji bado sana
 
T
Tembelea tukuonyeshe mijengo ya matajir ndo ujue njombe NI level nyingine
 
Huyo jamaa huwa akili zake anazijua mwenyewe wame base zaidi kwenye data za ovyo bila kuzingatia data za kimataifa, niliona takwimu fulani ya nbs eti Dar ipo nafasi ya pili kwa uzalishaji na uuzaji wa dhahabu🀣🀣🀣
 
Hawana akili hawa ngoja niwanyoshe. Yaani mkoa una mgodi wa dhahabu mkubwa kwenye list ya migodi ya dhahabu Africa, halafu kwenye uchangiaji wa pato la taifa Mkoa unakuwa uko chini πŸ€” kama akili zako ziko timamu huwezi kujiongeza kuwa there's something fishy!
 
Huko zaidi ya kambi za madini na vijiji vya uvuvi Kuna nn
Katoro kuna biashara kubwa, madini,usafirishaji,kilimo na uvuvi pia kuna majumba mengi ya thamani kuliko huko kusini njombe kuliko jaa vibanda umiza vya mabati ya kutu kila kona, endeleeni kupewa sifa za kijinga eti mnautajiri kwa kuangalia pato la mti mmoja mmoja, nyie kuleni sifa huku kanda ya ziwa tunaendelea kuchapa kazi kuongeza uchumi wetu na maisha ya mtu mmoja mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…