Kahama VS Njombe/Mafinga

Si rudii Tena kwakwel
NI kwel
 
Povu 😁😁

Wilaya inayoongoza Kwa Kuzalisha Dhahabu hapa Tanzania ni Chunya,kama unabisha sema 😁😁

Labda mjumlishe maeneo yenu yoote ya uzalishaji ndani ya Mkoa wa Geita kuanzia huko Mbogwe Hadi Geita ndio mtazidi Chunya-Mbeya.

Zingatia haya maelezo hapo chini πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DJ2PU8pORbM/?igsh=MXdnbmx6cTVsazBmcg==
 
Hizo NI picha za muda mrefu ilembula ilishabadika zaidi ya hapo NI sawa na igwachanya watu wanashusha majengo fika eneo husika ndo utapata uhalisia Google map huwa hawa fanyi update mara kwa mara mzee
Always maneno ya kwenye kanga. Hizo empty talk zako unalazimisha niamini bila ushahidi? Changes kila sehemu zipo, kwenye google Earth Ilembula imechukuliwa kukiwa hakuna lami, hiyo picha on the ground kuna lami, Ilembula bado ni kijiji
 
Umejiandaa kuaibika au Bado unakomaa kama juzi? 😁😁

Kilaza soma hiyoo πŸ‘‡ πŸ‘‡ View attachment 3340648

Niongee dozi au umerudhika? 🀣🀣
Haya ni mapato yaliyopatikana πŸ˜’πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, mapato ya Geita mfano GGM hayaendi kwa serikali wanachukua wazungu viongozi wenu walipigwa kwenye mikataba
 
Umejiandaa kuaibika au Bado unakomaa kama juzi? 😁😁

Kilaza soma hiyoo πŸ‘‡ πŸ‘‡ View attachment 3340648

Niongee dozi au umerudhika? 🀣🀣
Unazani mapato ya GGM utayapata tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kila siku nakuambia mnaishi gizani mmejichimbia kusini huko mnatakiwa mjitambue mjue na nchi yenu inaendaje πŸ€—πŸ˜‚
Umeona kuna Chunya hapa πŸ‘‡ πŸ’₯ πŸ‘‡
 
Unaumia ukiwa wapi πŸ€— πŸ‘‡πŸ’₯πŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 3340672
Yaani niumie kisa hako kakijiji kalikojaa ufukara?

Hivi taa za barabarani ni za kulingishia miaka hii kweli? Kila Kijiji na Mji zimefungwa na mwaka huu Samia anafuna zingine zaidi ya 4,000.

Tafuta hoja wewe mbumbumbu wa Kijiji Cha Katoro.
 
Takwimu zenyewe zinakuaibisha πŸ˜‚πŸ˜‚, ivi uliona wapi mgodi wa dhahabu Dar es salaam?
Acha kujiaibisha πŸ€—πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unatapatapa.Unahiu hizo Dhahabu za Dar Zinatoka wapi?

Kawaambie Tume ya Madini wa compile data Kwa mujibu wa wewe inavyotaka 😁😁

Niongeze dozi au umetosheka?



 
Geita Gold Mine (GGM) wana uwanja wao wa ndege mgodini, wanabeba dhahabu hao wanapeleka Nje mambele huko, kwa akili zako unatarajia takwimu zao uzikute kwenye mauzo ya masoko ya ndani?
Wanaouzia kwenye masoko ya ndani ni wachimbaji wadogo wadogo na mapato yanapatikana hayo, sasa kwa akili zako fupi ukazani hizo data zitakusaidia kuonyesha kwa Chunya inaizidi Geita uzalishaji wa dhahabu πŸ€—πŸ€­
 
Yaani niumie kwenye Yako kakijiji kalikojaa ufukara?

Hivi taa za barabarani ni za kulingishia miaka hii kweli? Kila Kijiji na Mji zimetungwa na mwaka huu Samia anaguna zingine zaidi ya 4,000.

Tafuta hoja wewe mbumbumbu wa Kijiji Cha Katoro.
πŸ”¨πŸ”¨πŸ€­πŸ€­πŸ˜‚πŸ˜‚ Kama huna akili fupi kweli ebu post hapa picha ya Makambako au Njombe ikiwa imejaa full namna hiiπŸ‘‡πŸ‘‡ili upime hiyo akili yako, kazi kuleta maneno ya kwenye kanga na matusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…