Kahama VS Njombe/Mafinga

Na wewe shida yako ni kuzani sasa ni kama zamani
Masumbwe hakuna kitu mkuu,

Miji ya Geita fananisha na miji ya Geita ndio inaendana umasikin, ushirikina , ujinga na umalaya.

Kakubilo fananisha na Nyawilimilwa au Nzera na Nkome.

Masumbwe fananisha na Chato , Ushirombo fananisha na Runzewe.

Nyarugusu fananisha na Lwamgasa
 
Wewe shida Yako ni kubishana tu.

Mbona utatoa povu πŸ€— , unaumia ukiwa wapi?
Kula chuma hicho πŸ‘‡πŸ’₯kwanza, makazi ya maskini wa Katoro Geita
 
Weka makazi ya Njombe na Makambako hapa tuone matajiri mnaishi wapi πŸ€—πŸ˜‚πŸ”¨πŸ”§
 
Kesho nitaweka picha za Masumbwe humu ( andaa pa kuficha sura yako)
Kwa Ukanda wa Geita na Shinyanga kwa sasa miji mikubwa iko kwa rank πŸ‘‡
1. Shinyanga
2. Kahama
3. Geita
4. Katoro
5. Masumbwe
6. Ushirombo
7.etc
 
Kuna mtu anataja taja kijiji cha Ilembula humuπŸ€­πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡

Yaani mpaka wanaona aibu kupost 🀭🀭
 
Haha we jamaa huji somi hapo Kuna picha za sub town ya igwachanya na ilembula jaribu kutembea kidogo jamaa acha kubaki unafatilia picha fb ukifika kwenye mji husika ndo utajua uhalisia kwanini katoro NI Kijiji na makambako NI mji toka 2012
 
Wewe shida Yako ni kubishana tu.
Achana naye huyo kazi yake ni kupiga mapaa ya mabati ya katoro ndo anajua ndo maendeleo kumbe hizo NI kambi za wachimba madini haelewi kuwa vijiji vyake havina uchumi endelevu madini yakiisha wanaachiwa mashimo na kimji ndo kina kufa kutwa kupost mapaa ya vijiji vya katoro njombe NI mkoa AMBAO kwa rasilimali ujenzi geita haitakuja iuguse miaka yote
 
Umefikia hatua unafananisha Ilembula na Kakubilo?
Huyo jamaa nilisha mwambia apost majengo yenye floor tano na kuendelea alishindwa alishia kupost mabati katoro ambazo nyumba za mfumo huo Tanzania kila Kona zinajengwa leta vitu Kama hivi ndo tutajua pesa ipo
 
Mbona utatoa povu πŸ€— , unaumia ukiwa wapi?
Kula chuma hicho πŸ‘‡πŸ’₯kwanza, makazi ya maskini wa Katoro Geita
View attachment 3340303View attachment 3340304
Leta vitu Kama hivi ndo tutakuelewa acha na ushamba wa kupiga mapaa ila sio kosa lako si mlizoea kuishi kwenye nyumba za tembe na zilizoezekwa udongo NI Jambo geni kwenu njombe huko tulisha toka miaka mingi now ni mwendo wa humu makambako
 
Unakosea sana kulinganisha Halmashauri ya Mji wa Makambako na Kijiji kilichochangamka Cha manamba wa Madini Cha Katoro.

Katoro size yake ni kina Majimoto,Chimala,Laela,Shelui etc.

Haiwezi fika hata Kwa Kibaigwa so weka picha tuu ila sio.kulinganisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…