Kahama VS Njombe/Mafinga

Weka ushahidi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na isiwe kwenye karatasi tu, uonyeshe pia hizo nyumba zinapatikana kijiji kipi,
In short tunawazidi kila kitu, wingi wa matajiri tunawazidi na wingi wa maskini tunawazidi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwanza,Kagera,Mara nk πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Weka ushahidi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na isiwe kwenye karatasi tu, uonyeshe pia hizo nyumba zinapatikana kijiji kipi,
In short tunawazidi kila kitu, wingi wa matajiri tunawazidi na wingi wa maskini tunawazidi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kaka acha kujidhalilisha, huwez kufananisha mikoa ya nyanda za juu kusini , yaani mkoa wowote ule wa nyanda za juu kusini ufananishe na Geita
 
Kila kitu nimechambua, yaani Njombe uizidishe at least 3 times ndio ifikie Geita, ndio maana nikasema njombe inazidiwa kila kitu, vizuri na vya hovyo
Au siyo? Una akili za kifukara sana πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…