We bado tunakwambia kwa kuhusu suala makazi na future ya mkoa kwa rasilimali ilizo nazo geita kwa njombe imesha achwa tayar Yan geita kinacho wainuaga muonekane NI madini tu Tena ya aina moja tofauti na njombe ambayo kwa Sasa Ina kila fursa na eneo hili ndilo litakalo unda jiji la njombe kulingana na UWEKEZAJI una endelea na ndio miji inavotakiwa kuwa Sasa jamaa unaanza kutuletea kambi za wachimbaji wa madini unasema mji madini yakiisha wanakimbia hakuna uchumi endelevu njombe wametengeneza uchumi endelevu unao mgusa hata raia wa chini huji kusikia analia njaa