Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,579
- 2,908
Hiyo stand inayotoa mabasi 100 ni ipi, acha kupiga debe za uongo... Kahama wanajenga kwa pesa za manispaa yao sio pesa ya Samia, bladifakeniView attachment 2045659
===
Kwanza,Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Investment Centre "ikiwa ni pamoja na mitaro na taa za barabarani,
Pili,Rais Samia Suluhu Hassan atajenga Stand ya kisasa kwenye eneo hili la uwekezaji pamoja na soko la kisasa ambalo litabeba wamachinga wote wakiwemo Mamalishe,
Tatu,Rais Samia pia anajenga Stand kuu ya mabasi ya Mbulu,mtakumbuka Kahama inatoa mabasi zaidi ya 100 ya mikoni kwa siku hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,
Nne, Rais anajenga pia Soko la Sango litakalochukua wajasiriamali zaidi ya 1,200 kwa mkupuo,
Tano,Sihivyo tu,Rais Samia Suluhu Hassan pia ametoa TZS 10.5BL kwaajili ya Ujenzi wa barabara za Mjini Km 10.5 pamoja na mitaro na Taa za Barabarani .
Kumbe unaleta hadithi za kusadikika hapaInasadikiwa Mkurugenzi wa Kahama Town Council ndio Mkurugenzi bora Tanzania kwa sasa,
Nimefanya naye kazi. He is a result oriented guy.Inasadikiwa Mkurugenzi wa Kahama Town Council ndio Mkurugenzi bora Tanzania kwa sasa,
Pesa zao ndio zipi? Stend ya Kahama inatoa magari mangapi?Hiyo stand inayotoa mabasi 100 ni ipi,acha kupiga debe za uwongo...kahama wanajenga kwa pesa za manispaa yao sio pesa ya samia,bladifakeni
Lugha tu mkuu wangu, Sijui kama umesoma lugha yakuvumishaAtawale milele kwenye huu huu mwili wa kufa, au baadaye atabadilika kuwa mzimu.......
Lugha tu mkuu wangu, Sijui kama umesoma lugha yakuvumishaAtawale milele kwenye huu huu mwili wa kufa, au baadaye atabadilika kuwa mzimu.......
Kwanini usiutumie ubunifu wako kuisaidia CHADOMOStupidity shall never end. Wanavyokazia katoa hela utafikiri katoa za mfukoni kwake....... hizo ni kodi zetu na ndio kazi zinazotakiwa kufanya. Hamna ubunifu wa maana wa kuleta mageuzi ya kiuchumi.
Makusanyo ya kodi za manispaa, shuru wa mashine za Malunga na Kagongwa kwa siku inazidi 15m. Kwa siku malori zinatoka lori zaidi ya 15 zenye mchele ambapo lori moja ushuru ni 420,000sh.Pesa zao ndio zipi? Stend ya Kahama inatoa magari mangapi?
Anderson anafanya kazi ila Kahama inamapato mengi kutokana na mazao, dhahabu na biashara ya maduka, lodge, vituo vya mafuta etcInasadikiwa Mkurugenzi wa Kahama Town Council ndio Mkurugenzi bora Tanzania kwa sasa,
Hangaya mjanja Sana anamwaga mihela sukumagang,maana anajua huo ndo mtaji wa kuingia Ikulu.View attachment 2045659
===
Kwanza,Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Investment Centre "ikiwa ni pamoja na mitaro na taa za barabarani,
Pili,Rais Samia Suluhu Hassan atajenga Stand ya kisasa kwenye eneo hili la uwekezaji pamoja na soko la kisasa ambalo litabeba wamachinga wote wakiwemo Mamalishe,
Tatu,Rais Samia pia anajenga Stand kuu ya mabasi ya Mbulu,mtakumbuka Kahama inatoa mabasi zaidi ya 100 ya mikoani kwa siku hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,