jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,783
mpasuo wa haja bwana ndo mzuri
tena uwe umepindwa
mpasuo wa haja bwana ndo mzuri
we ni mchungaji?huwezi jua huenda tayali alishakula mzigo kitambo kwahiyo alirudi kuchukua jumla
hata hivyo maadamu kijanan ni mwanaume na kahaba huyo ni mwanamke hakuna cha ajabu hapo hao ni jinsia mbili tofauti ambazo kila moja anamhitaji mwenzie kwa hiyo hakuna jipya hapo
MWISHO
acha kuwadhalilisha wanawake kwa kuwaita KAHABA
Je ni wanawake wangapi umetembea nao hadi kufika umri huo ulionao
Je yatosha hata wewe kuitwa MALAYA?
fikiri kwanza kabla hujahukumu
Weeee...huo mi huwa nacmama...mateso
tena uwe umepindwa
Kahaba mmoja maarufu maeneo ya sinza ameolewa na kwa ndoa halali ni baada ya kuacha kuvaa vinguo vya kikahaba mchana na kuamua kuvaa nguo zenye heshima wakati wa mchana. Mume wake huyo alimuona mwanamke huyo akiwa maeneo ya kwao kwenye baraza yao ndipo kijana huyo mgeni mtaani kumuona huyo dada anajiheshimu na akatangaza ndoa. Je mavazi ya heshima huwa ni moja ya tiketi za wanawake kuolewa?
kwanza tunatakiwa tujue sababu zinazomfanya mtu ajiuze na pia kama kampata anaempenda na kumridhia kwanini wasioane. Mwanamke yeyote ni malaya though hili neno wakina mama wengi hawaiamini na kuona km vile wanashushiwa hadhi ila ni ukweli mtupu. Samahanini sama wakina mama wote duniani ni mjadala tu.
mleta uzi kwenye maandiko matakatifu pameandikwa "asiye na dhambi awe wa kwanza kumrushia huyu mwanamke jiwe, wote waliondoka hakuna hata mmoja aliyebaki, hivyo basi nawe ni nani hata utoe hukumu kwa majina ya kudhalilisha wanawake?wewe je ni msafi kwamba uzinzi(kama una ndoa) na uasherati (kama huna ndoa) haviko pamoja nawe? jitafakari
This sounds like a half baked tale.