KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,476
- 2,376
Kahaba mmoja maarufu maeneo ya sinza ameolewa na kwa ndoa halali ni baada ya kuacha kuvaa vinguo vya kikahaba mchana na kuamua kuvaa nguo zenye heshima wakati wa mchana. Mume wake huyo alimuona mwanamke huyo akiwa maeneo ya kwao kwenye baraza yao ndipo kijana huyo mgeni mtaani kumuona huyo dada anajiheshimu na akatangaza ndoa. Je mavazi ya heshima huwa ni moja ya tiketi za wanawake kuolewa?