Kahaba aolewa kwa sherehe kubwa

Kahaba aolewa kwa sherehe kubwa

Kumbe tax bubu mchana za njano usiku nyeupeee,tonya time kafua bongo flava bana
 
Kama unafahamiana na yeyote kati ya mme au mke mshauri waamie sehemu nyingine ambayo huyo dada hafahamiki,ndoa yao itadumu.
 
Inawezekana kaoa mwanamke, inawezekana kaoa nguo ndefu
yote yanawezekana!!!
 
so far they all have that thing!! (punani) they have equal chance getting marriage hayo mambo mengine ni taarifa tu zinnweza zikatiliwa maanani au la!.
 
Kahaba mmoja maarufu maeneo ya sinza ameolewa na kwa ndoa halali ni baada ya kuacha kuvaa vinguo vya kikahaba mchana na kuamua kuvaa nguo zenye heshima wakati wa mchana. Mume wake huyo alimuona mwanamke huyo akiwa maeneo ya kwao kwenye baraza yao ndipo kijana huyo mgeni mtaani kumuona huyo dada anajiheshimu na akatangaza ndoa. Je mavazi ya heshima huwa ni moja ya tiketi za wanawake kuolewa?

Sheria ya mahusiano ya mwaka 2000 ibara ya pili inamtaja kahaba kama '' mtu mwanamke/mwanaume anayefanya vitendo ya kifuska kwa ajili ya kujipatia kipato'' Kifungu cha 5 c cha sheria hiyo hiyo bila kuingilia ufafanuzi wa kifungu ca 3 b kinatamka wazi kuwa ili mtu awe kahaba ni lazima ithibitike pasi kuacha shaka kwamba matendo anayotuhumiwa naye ni kweli anajihusisha nayo, na kwa kuwa basi matendo haya yana maeneo yake maalum yanakofanyika basi ammendment ya kipengele cha 24 d inanifanya niamini pia huyu said husband wa ms. Kahaba naye ni kahaba na ndipo alipompatia mwenzie!
 
kwani kuna ubaya gani kahaba kuolewa....
inawezekana ashajirekibishaa tabia
 
Aaaah! Wapi, huyo 'taxi bubu' kabadili gia ili apande mlima, subiri akiumaliza kama ajatumbukiza gia ya mwanzo. Tangu lini kunguru akafugika. Ngoja nikae mkao wa kusubiri mrejesho wa huu uzi.

Huamini kwenye usemi wa...every saint has a past and every devil have a future?
 
Kahaba mmoja maarufu maeneo ya sinza ameolewa na kwa ndoa halali ni baada ya kuacha kuvaa vinguo vya kikahaba mchana na kuamua kuvaa nguo zenye heshima wakati wa mchana. Mume wake huyo alimuona mwanamke huyo akiwa maeneo ya kwao kwenye baraza yao ndipo kijana huyo mgeni mtaani kumuona huyo dada anajiheshimu na akatangaza ndoa. Je mavazi ya heshima huwa ni moja ya tiketi za wanawake kuolewa?

Nadhani hauko sahihi,ungesema makahaba wafunga ndoa tena kwa sharehe kubwa!kwani huyo muoaji hawezi kuwa kahaba pia!!acha mfumo gandamizi!
 
Back
Top Bottom