Kagera - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

Ngara hali ya hewa kidogo sio nzuri,toka saa kumi mvua imekuwa ikinyesha,kwa sasa imepungua watu wanajitokeza kwa taratibu sana..
 
Nishamchinja mtu, ila huko kashai nahisi kutakuwa na fujo baadae
 
Migera watu ni wengi sana. Kuna vituo vitano, Sokoni 2, open university 3. Vijana ni wengi sana sana.
 
Nipo Hapa Mbele Ya Flat Screen Yangu Na Pata Matokeo Kupitia ITV THE SUPER BRAND, Naona Ile TV Ya Kada Wa CCM Pale MWANZA Wameshajua UPEPO Unamwendea Vizuri MZEE WA MONDULI, Wameshaufyata.
 
Nipo Hapa Mbele Ya Flat Screen Yangu Na Pata Matokeo Kupitia ITV THE SUPER BRAND, Naona Ile TV Ya Kada Wa CCM Pale MWANZA Wameshajua UPEPO Unamwendea Vizuri MZEE WA MONDULI, Wameshaufyata.

Na wataishi kwa shida sana...professionally! Diallo amebugi sana, check mwenzake Mengi yaani ITV utadhani ndiyo Television ya Taifa.
 
Nimethibitisha Lwakatare ndio ameshinda ubunge wa Bukoba Mjini. Namtakia hongera na pia ashirikiane na watu wote bila kujali vyama ili kuleta maendeleo ya mkoa wa Kagera na nimemtumia msg kwenye simu yake kumpa hongera na amethibitisha ndio ameshinda. Pole Kagasheki, jipange upya, kazi zipo nyingi.
 
Back
Top Bottom