Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

Hebu kuwa specific, brother. Unajua ulichokiandika ni kitu hatari sana. Nimejaribu kuangalia source uliyoweka haifunguki. Kama source hiyo ni kweli, Basi huo mshindo haukuwa landing ya UFO, bali ni kuanguka na kuripuka kwa chombo cha UFO. Lakini kwa nini mpaka sasa haifahamiki kimeanguka eneo lipi, au ni majini?.
Nafikiri ni Sahihi kuwa ni Aliens! Aliens wanakujaga duniani kutafuta madini muhimu ambayo yanahitajika huko kwao! Na tegemea wakija kurudi kwao eneo husika litatikisika zaidi maana takeoff force ni kubwa kuliko ya landing!
 
Sasa, ile source inayosema UFO sight in lake Victoria,ndio inanitia hofu, nimejaribu kuitafuta sijaipata ili niisome zaidi. Isije ikawa Lake Victoria triangle. ( Bermuda triangle)
 
Does anyone know if the photo below shared by the Dailynews of Tanzania is of the actual Meteorite that supposedly landed somewhere in Kagera?

Experts looking into meteorite incident

meteroite kagera.jpg
 
Hiyo ni nyota ya Jah wanabukoba walitakiwa waombe chochote wangepata kabla hakijapotea.. Arabuni kiliwahi tokea waarabu waliomba mafuta wakapata jangwani.. Ulaya kiliwatokeaga wakaomba akili wakapata.... Issue Afrika kikitokea watu huombea kimondo na ndio hupata kimondo..tu maana hamna jinsi
 
Nimejikuta Nacheka.ningekuwa mimi ningeomba Niwe raisi wa nchi 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom