instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 11,381
- 14,186
- Thread starter
- #41
Duuu pole Sana aiseeAhahahah, ahsante sana mkuu nishapoa, yote ni mipango ya mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuu pole Sana aiseeAhahahah, ahsante sana mkuu nishapoa, yote ni mipango ya mungu.
Shukrani sana mkuu Istanbul, yule binti kaondoka mbichi kabisa asee
Wivu na chuki unakusumbua sio bure.nawe jenga kwenu uje post hapa Acha uchawi na husda zitakuua kongoro wew
Ww hunaga kaz humu tofauti na kuifananisha bukoba na mikoa mingineWivu na chuki unakusumbua sio bure.nawe jenga kwenu uje post hapa Acha uchawi na husda zitakuua kongoro wew
Sent using Jamii Forums mobile app
Jf is a place where we talk openly .usinipangie cha kupost .we utakuwa unatabia za kike sio bure.nawe post huko kwenu mfyuuuuuWw hunaga kaz humu tofauti na kuifananisha bukoba na mikoa mingine
Fungua nyuzi za maana kenge ww
Sent using Jamii Forums mobile app
Humu kuna kazi au niku refresh tu.. umeongea kwa uchungu sana! Pole, nazani jamaa anajaribu kuondoa ile kasumba ya watu kusema wahaya wanajifanya wana hela ila kwao hawajengi.Ww hunaga kaz humu tofauti na kuifananisha bukoba na mikoa mingine
Fungua nyuzi za maana kenge ww
Sent using Jamii Forums mobile app
Napa manya vizuri mkuu.. mimi niwa huko huko pande zote mbili.Kaka mkoa wa Kagera watu wake si mchezo watu wanajenga nyumbani ,kila nyumba sasa hivi ni REA kuna muitikio mkubwa sana. Hivo vijiji ulivovitaja nimepiga sana misele katika kuchukua mazoezi ya ujana. Ahahahahha
Hilo banda huku marangu tunafugia nguruwe!! Njoo tukupe mchongo wa kulisha nguruwe tutakulipa sawa na phd holder wa kamachumu!!Hizi nyumba huwezi zikuta kwenye vijiji vya mkoa mwingine wowote ule ni mijini tu Napo Kwa dar kama mikocheno sio uzuri wala mbagala
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu bukoba vijijini mkuu upate matokeHilo banda huku marangu tunafugia nguruwe!! Njoo tukupe mchongo wa kulisha nguruwe tutakulipa sawa na phd holder wa kamachumu!!
Inshaalah ntakaribia panapo nafasi!! Ila naona huu mpambano upo kati ya bukoba na vijji vingine vya jirani yake! Ila wale wachagga wakitoka kilabuni utakimbia hakika!
Ubaya sipo huko ningekuwa huko ningeziletaTuletelee epicha za Iyangiro bwata na Nshamba Muleba.
Wakora weitu
Bukoba vijijini huko ndaniView attachment 1003882View attachment 1003883View attachment 1003884View attachment 1003887View attachment 1003886
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahhahah.Poa poa mkuu........
Missenyi sehemu gani mkuu?
Aisee Chaliangu unanitisha kisolo,Mtu ambae ameishi mda mrefu Arusha halafu siku moja ukampeleka Bukoba akaishi huko, hatachukua siku mbili hajaungua ugonjwa usiokuwa na tiba