The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,799
- 1,681
Mkuu utakuwa mgeni wa Tanzania, kama jijini Dodoma kuna nyumba za nyasi sijui unazungumzia Tanzania ipiKwa Tanzania ya leo izo ni nyumba unaweza kuzipata mkoa na Kijiji chochote ndani ya tz
Mkuu utakuwa mgeni wa Tanzania, kama jijini Dodoma kuna nyumba za nyasi sijui unazungumzia Tanzania ipiKwa Tanzania ya leo izo ni nyumba unaweza kuzipata mkoa na Kijiji chochote ndani ya tz
Unazungumzia Korogwe mjini wakati hizi picha ni za Bukoba huko mavijijini. Ukileta za Korogwe vijijini hapa tutazimia. Aaaaaaahwatu kwa misifa mbona kama korogwe tu
Sio Dodoma tu. Hata huyo mwenyewe kijijini kwao kama zipo ni mbili tatu tu. Wakati kwa Bukoba ndo nyumba za kawaida huko vijijiniMkuu utakuwa mgeni wa Tanzania, kama jijini Dodoma kuna nyumba za nyasi sijui unazungumzia Tanzania ipi
Kama mwanza mjini,kigoma au Dodoma kuna nyumba za nyasi vijijin pakoje?Kwa Tanzania ya leo izo ni nyumba unaweza kuzipata mkoa na Kijiji chochote ndani ya tz
Bichwa la tembo ubongo wa sisimiziKama mwanza mjini,kigoma au Dodoma kuna nyumba za nyasi vijijin pakoje?
Kama vijijin pote tz pangefanana bk bas tz ingekuwa inaongoza Kwa maendeleo
Ila ni majangaTanzania yetu hii ni nzuri sana ..Bukoba pazuri sana ..ila sidhanj kama panafikia hata mtwara ..wahaya bana ..nawakubali sana ..muna dada wazuri kweli..
Mmhh mwl deusi?Basi wewe ni mhaya kwelikweli swali moja majibu buku.By da way msalimie diwani wako mwalimu Deusi.
Tanzania yetu hii ni nzuri sana ..Bukoba pazuri sana ..ila sidhanj kama panafikia hata mtwara ..wahaya bana ..nawakubali sana ..muna dada wazuri kweli..