Kagera/bukoba villages gallery

Kagera/bukoba villages gallery

Basi wewe ni mhaya kwelikweli swali moja majibu buku.By da way msalimie diwani wako mwalimu Deusi.
Mkuu mimi sio mhaya, msukuma wa Ng'washilalage, Kwimba - Mwanza. Kumbe Mwl, Deus ndiye diwani wa huko, hahahah 1987 -88 jamaa alikuwa mpiga picha, familia mnajiandaa kuanzia saa moja asubuhi ili kupiga picha na jamaa anakuja mchana, pembeni mnaweka redio na baiskeli ya phoenix, kwa usupa staa wa kuwa kamera man jamaa alikula papuchi za kutosha, kama bado yupo basi kuna watu wanazaliwa na "immunity"
Nimeishi sana huko kwenu....
 
nina miaka 40+, hii nyumba ilikuwa ni duka la muarabu flani nimesahau jina lake (mhaya wenye asili ya kiarabu) Kishanda -Muleba, View attachment 1123215View attachment 1123215hii nyumba nimezaliwa na nimeikuta hivi hivi hadi leo ipo nashangaa wahaya wenzangu hamtaki kuonyesha majumba kama haya ambayo yapo mengi katika miji ya Muleba, Nshamba, Kamachumu nk
Kuwepo kwa hiyo nyumba hapo hakujazuia wengine kujenga nyumba nyingine nyingi huko vijijini. Nadhani hujawahi kutembea kishanda humo vijijini unapitaga barabarani tu
 
Kuwepo kwa hiyo nyumba hapo hakujazuia wengine kujenga nyumba nyingine nyingi huko vijijini. Nadhani hujawahi kutembea kishanda humo vijijini unapitaga barabarani tu
Dah! Juzi nilienda ukanda wa Buganguzi, Kishanda, Nshamba huko vijijini ni balaa tupu. Watu wanajenga si mchezo. Kuna wakat unashindwa kuamini kama hizo nyumba zimejengwa katikati ya migomba ama zipo mjini.
 
Haha mkuu ule ni ukanda wa wanyaihangilo hawanaga mchezo wao ni akili ya pesa tu, ila wanakosa barabara ya lami kwenda mijini
 
Hiv kale Kile kipande cha ruanga muhutwe kilishaisha ? Si walikuwa wanaweka lami
Walikuwa wamesimama kidogo ili kumaliza daraja la kishara, sa hivi naona wameanza tena sababu daraja kule limekamilika, nasikia wanataka gari ziwe zinapita kule
 
Ukiwa nankwende ndani kule, utaambiwa dar kuzuri sana, majumba makubwa kabisa yako dar, ila haimaanishi kuwa dar nzima kuna majumba mazuri, hapana, hata nyumba za hovyo zipo, tena hovyo.
Kwahiyo hata hizo picha si kweli kuwa huko kagera nyumba zote ni tamu.
Kagera inazidiwa na Kigoma.
Hahahh kigoma utachekwa
 
Duuuuuuu!!!! Ukapimwe akili mkuu sio bure
 
Nshambya Bukoba
Screenshot_20190903-054743.jpeg
Screenshot_20190903-054735.jpeg
 
Back
Top Bottom