Sikuwahi kufikiria kama huna akili kiasi hiki.Ni kweli ulichokisema.
Lakini mwanausalama alikuwa 'calm' tena aliongea kwa upole 'Mheshimiwa rudi kwenye gari..', Wakati huo Mh. Nape akiwa amevaa shati bila kuchomekea na ameweka mikono yote mifukoni (kulia na kushoto); baadaye anasikika (Nape) akimwambia mwana usalama " ....usinishike hivyo Bwana, ondoka" wakati huo anamsukuma mwanausalama kwa mkono wa kushoto lakini mkono wake wa kulia ukiwa bado humo mfukoni; kwa akili za kawaida...askari lazima ajihami maana huo mkono wakulia wa Nape ambao umo mfukoni hajui umeshika nini. Na hata Nape alivyosukumwa sukumwa hakutoa mkono huo wa kulia mpaka (labda) alipohakikisha kuwa sasa mfuko wa kulia wa suruali lake umezibwa na gari ndipo alipotoa mkono mfukoni. Na watu wakaongezeka pale...!
Naliona hivyo tukio hili. Lakini maelezo mazuri anaweza kuyatoa mwanausalama mwenyewe kwa nini alifanya vile.
Nikopeshe zako, mkuu! Nasikia unazo nyingi kiasi cha 0.2 gramSikuwahi kufikiria kama huna akili kiasi hiki.
Sasa alokuambia n askar n nan wakat hakutoa kitambulishoTatizo mnaangalia ile clip mkiwa mmeishaamua mambo yenu kichwani, ula ukiiangalia bila kuamua chochote....unaweza kuja na mawazo tofauti na uliyonayo sasa.
Weka ID yako wazi (kuwa verified user hapa JF) kama unauthubutu!hata gadafi alikuw aanaogopwa hivihivi, ila kuna siku Mungu alimwaibisha akaokotwa na vijana amejificha kwenye mtaro, mwili wake uliovuliwa nguo ukaonekana wakati alikuwa anaishi ikulu. binafsi simwogopi mtu yeyote hapa tz, namwogopa Mungu tu. hao wanaotisha watu kuna siku tutawasikia tu nao wameondoka kama walivyoondoka kina nyerere na gadafi etc.
majibu mepesi sana hayo jibu hoja wewe unaye juaWewe utakuwa umeshanganyikiwa
hujui chochote bora ungekaa kimya.
pia siyo kila scenario inahitaji kitambulisho unaweza kudhibitiwa kwanza then kitambulisho kikafuata baadae.maneno ya kitambulisho yalitolewa kabla ya haya niliyoweka hapa...ni baada ya Mh. Nape kutamka haya ndipo mwanausalama alijihami hasa baada ya kusukumwa.
Kwao haikubariki Ila kwa wapinzani Sawa. Pole yao walizani no tutaisoma wapinzani. Zamu yaoAnaandika aliyekuwa Mbunge na Waziri wa Maliasi na Utalii Mhe Khamis Kagasheki Tanzania haiko chini ya utawala wa kijeshi. Askari kumtolea bastola raia ambaye hana silaha yoyote, haikubaliki na si kitendo cha kufurahia.
View attachment 485829
My take ==
Mara nyingi sana tumezomea kuona Jeshi la Polisi wakitumia nguvu kubwa sana kupambana na upinzani kuliko kutumia akili au njia sahihi katika kutimiza wajibu wao huo.
Kitendo ambacho kimefanywa leo na Afisa wa Jeshi la Polisi kuonyesha bastola hadharani kinatakiwa kulaani na kupingwa kwa nguvu zote.
Jamaa kaambiwa na Nape Onyesha Kitambulisho Katoa Bastola, sasa akiambiwa onyesha cheti si atatoa Bomu!!
Mungu ndiye aliyemtoa gadafu, atawatoa na ninyi pamoja na kiburi chenu cha kishetani. hii nchi sio ya kwenu peke yenu, na sia jabu babu yako hakupigana hata kidogo, imekombolewa na wengine tu leo hii uje uone kama vile wewe ndio mungu mtu...kaeni mkijua zile enzi za miungu watu zimepita, hamuogopwi. na kwa jinsi mnavyojifanya hamuoni ndivyo mnavyozidi kujiaibisha na kuonekana kichwani hamna akili. yote mnayofanya kuna siku yatakuja kuwa kikwazo kwenu, mtaulizwa mtashindwa kutoa majibu. na hakuna watu duniani wanaongoza kama wewe na hao wenzio wakafika mbali, siku zote huwa wanaishia pabaya tu, na ninyi hakika mtaishia pabaya kwa Jina la Yesu Kristo. na muishie pabaya kwani kwa mkono wake Mungu mwenyewe atashuka na kuwaokoa watanzania toka mikononi mwenu. mnaringa kwasababu mnategemea uchawi na waganga, jueni yupo Mungu aliyeumba mbingu na nchi, naye ndiye anatawala milele. watu kama ninyi walishakuwepo kabla na sasaivi ni udongo walishaoza na tumewasahau. Mungu atawapiga na kumbukumbu lenu litafutika kabisa.Weka ID yako wazi (kuwa verified user hapa JF) kama unauthubutu!
==========
Yaani Sarkozy na wauni wenzake ndiyo unawaita Mungu kuwa alimuabisha Gaddafy (R.I.P)?
Mwambie akae kimyaa...! Wakati wake ulishapita?Anaandika aliyekuwa Mbunge na Waziri wa Maliasi na Utalii Mhe Khamis Kagasheki Tanzania haiko chini ya utawala wa kijeshi. Askari kumtolea bastola raia ambaye hana silaha yoyote, haikubaliki na si kitendo cha kufurahia.
View attachment 485829
My take ==
Mara nyingi sana tumezomea kuona Jeshi la Polisi wakitumia nguvu kubwa sana kupambana na upinzani kuliko kutumia akili au njia sahihi katika kutimiza wajibu wao huo.
Kitendo ambacho kimefanywa leo na Afisa wa Jeshi la Polisi kuonyesha bastola hadharani kinatakiwa kulaani na kupingwa kwa nguvu zote.
Jamaa kaambiwa na Nape Onyesha Kitambulisho Katoa Bastola, sasa akiambiwa onyesha cheti si atatoa Bomu!!
Nape.mwigulu. jk wanahusika na mipango mauaji ya zona morogoro dhidi ya ChademaNajiuliza wakati nape alipokuwa katibu mwenezi ccm je hakuwahi kupanga mipango yoyote ya jinsi ya kuwadhibiti wapinzani, ikiwemo kutumia nguvu ya dola???.
OK
Kama jibu ni ndio basi wacha nayeye aonje joto walio onja wapinzani kama alivyo fanyagwa Lipumba kabla haja badilika na kupoteza dira.