JipuKubwa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2013
- 2,311
- 2,324
SilahaMtu asiejiamini ni Yule anaependa sana kutaja Taja vyeo vyake na kusema Najiamini na kupenda sana Matumizi ya Silaha.
SilahaMtu asiejiamini ni Yule anaependa sana kutaja Taja vyeo vyake na kusema Najiamini na kupenda sana Matumizi ya Silaha.
Ni kweli ulichokisema.
Lakini mwanausalama alikuwa 'calm' tena aliongea kwa upole 'Mheshimiwa rudi kwenye gari..', Wakati huo Mh. Nape akiwa amevaa shati bila kuchomekea na ameweka mikono yote mifukoni (kulia na kushoto); baadaye anasikika (Nape) akimwambia mwana usalama " ....usinishike hivyo Bwana, ondoka" wakati huo anamsukuma mwanausalama kwa mkono wa kushoto lakini mkono wake wa kulia ukiwa bado humo mfukoni; kwa akili za kawaida...askari lazima ajihami maana huo mkono wakulia wa Nape ambao umo mfukoni hajui umeshika nini. Na hata Nape alivyosukumwa sukumwa hakutoa mkono huo wa kulia mpaka (labda) alipohakikiusha kuwa sasa mfuko wa kulia wa suruali lake umezibwa na gari ndipo alipotoa mkono mfukoni. Na watu wakaongezeka pale...!
Naliona hivyo tukio hili. Lakini maelezo mazuri anaweza kuyatoa mwanausalama mwenyewe kwa nini alifanya vile.
Tutolee maziro yako humuaskari lazima ajihami
full kubabuana,mtu unaombwa kitambulisho.....unatoa chuma,kama pangetokea pulukushani mtu angemwagwaUkihusisha na tukio la bashite lililotokea clouds media,huko tunakoelekea tutaanza kusikia raia wanapigwa miguu ya bata
Tatizo mkulu kuna watu anawatia kiburi sanafull kubabuana,mtu unaombwa kitambulisho.....unatoa chuma,kama pangetokea pulukushani mtu angemwagwa
Yes, haikubaliki kabisa police kutumia nguvu kama tulivyoona kwa nape, lakini kuna kitu chakujifunza hapa hasa kwa wenzake waliobaki.Ameshiriki mipango mingi sana kuimaliza upinzani lakini hayo tuache tujadili nguvu kubwa sana ya Jeshi la Polisi inayotumiwa kwenye mambo ambayo hayataji nguvu hiyo
Nakuunga mkono mkuu hoja yakoYes, haikubaliki kabisa police kutumia nguvu kama tulivyoona kwa nape, lakini kuna kitu chakujifunza hapa hasa kwa wenzake waliobaki.
Kwamba the way wanavyo agiza dola kushugulikia upinzani, ndio wanavyowazoesha police kuona kama ndio hakiyaokutumia nguvu tu hata katika mazingira ambayo nguvu hazihitajiki.
My take, yeye nape asilalamike saaana kanakwamba hajui wanachofanya police.
Anafahamu fika kwamba alivyofanyiwa ndivyo hivyo wanavyo fanyiwa upande wapili.
Mkuki kwa ngurue....!!
let's be honesty.
a.k.a BASHITEMtu asiejiamini ni Yule anaependa sana kutaja Taja vyeo vyake na kusema Najiamini na kupenda sana Matumizi ya Silaha.
Mpaka leo haamini kama amekalia hicho kitiMtu asiejiamini ni Yule anaependa sana kutaja Taja vyeo vyake na kusema Najiamini na kupenda sana Matumizi ya Silaha.
maneno ya kitambulisho yalitolewa kabla ya haya niliyoweka hapa...ni baada ya Mh. Nape kutamka haya ndipo mwanausalama alijihami hasa baada ya kusukumwa.Mbona huzungumzii aliomba kuonyeshwa kitambulisho? Au umechagua makusudi kuacha sehemu hiyo ili kufanikisha unachotaka kutuaminisha?
Tatizo mnaangalia ile clip mkiwa mmeishaamua mambo yenu kichwani, ula ukiiangalia bila kuamua chochote....unaweza kuja na mawazo tofauti na uliyonayo sasa.Tutolee maziro yako humu