Kagasheki: Tanzania haiko chini ya utawala wa kijeshi. Askari kumtolea bastola raia.

Wale usikute ni makilikili,
hivi kumbe waziri hanaga bodyguard,au alitoweka baada ya Nape kutumbuliwa..
 
Ukiona kiongozi kila siku akiamka anawakumbusha watz kuwa yeye ni rais ujue kuna walakini wa jinsi alivochaguliwa
 
Mpaka sasa haijafahamika hasa order ilikuwa ni kumake arrest au kuzuia kikao,
kama ilikuwa kuzuia kikao hiyo approach ya kutoa mguu wa kuku haimake sense,kwani walitakiwa wamfuate tu na kumwambia mh,kuna amri huruhusiwi tena kufanya kikao,

sidhani kama pangetokea purukushani,
pengine amri ilikuwa ni kumharass na kumdhalilisha tu,maana kama ni kuzuia kikao mbona sasa alikifanya na baada ya kukifanya huyo RPC ili kusave face akamzuia asiondoke kwa mda

au pengine amri ilikuwa kuzuia mkutano kwa gharama zozote hata ikibidi kumwua,labda walihofia atakayoongea,

sasa baada ya kuona kamera zinawatizama ikabidi wamwache aongee kisha labda wamkamate,

sasa pengine alichoongea sio walichodhani ataongea,sasa wakawa wamebaki jiapanda,wamkamate ama vipi,9a hiyo ina explain kwa nini walimzibia njia asiondoke,kwani itakuwa walikuwa wanawasiliana na Bashite,kuwa,
"boss Bashite turiarrest au turiache riende"
 
Ni kweli ulichokisema.

Lakini mwanausalama alikuwa 'calm' tena aliongea kwa upole 'Mheshimiwa rudi kwenye gari..', Wakati huo Mh. Nape akiwa amevaa shati bila kuchomekea na ameweka mikono yote mifukoni (kulia na kushoto); baadaye anasikika (Nape) akimwambia mwana usalama " ....usinishike hivyo Bwana, ondoka" wakati huo anamsukuma mwanausalama kwa mkono wa kushoto lakini mkono wake wa kulia ukiwa bado humo mfukoni; kwa akili za kawaida...askari lazima ajihami maana huo mkono wakulia wa Nape ambao umo mfukoni hajui umeshika nini. Na hata Nape alivyosukumwa sukumwa hakutoa mkono huo wa kulia mpaka (labda) alipohakikisha kuwa sasa mfuko wa kulia wa suruali lake umezibwa na gari ndipo alipotoa mkono mfukoni. Na watu wakaongezeka pale...!

Naliona hivyo tukio hili. Lakini maelezo mazuri anaweza kuyatoa mwanausalama mwenyewe kwa nini alifanya vile.
Sikuwahi kufikiria kama huna akili kiasi hiki.
 
hata gadafi alikuw aanaogopwa hivihivi, ila kuna siku Mungu alimwaibisha akaokotwa na vijana amejificha kwenye mtaro, mwili wake uliovuliwa nguo ukaonekana wakati alikuwa anaishi ikulu. binafsi simwogopi mtu yeyote hapa tz, namwogopa Mungu tu. hao wanaotisha watu kuna siku tutawasikia tu nao wameondoka kama walivyoondoka kina nyerere na gadafi etc.
 
Tatizo mnaangalia ile clip mkiwa mmeishaamua mambo yenu kichwani, ula ukiiangalia bila kuamua chochote....unaweza kuja na mawazo tofauti na uliyonayo sasa.
Sasa alokuambia n askar n nan wakat hakutoa kitambulisho
 
Unapoenda kumzuia mtu au kumkamata mtu, wakati unamwambia upo chini ya ulinzi hapo hapo inatakiwa kitambulisho chako wewe unayemkamata umuoneshe ili ajue wewe ni nani...
 
hata gadafi alikuw aanaogopwa hivihivi, ila kuna siku Mungu alimwaibisha akaokotwa na vijana amejificha kwenye mtaro, mwili wake uliovuliwa nguo ukaonekana wakati alikuwa anaishi ikulu. binafsi simwogopi mtu yeyote hapa tz, namwogopa Mungu tu. hao wanaotisha watu kuna siku tutawasikia tu nao wameondoka kama walivyoondoka kina nyerere na gadafi etc.
Weka ID yako wazi (kuwa verified user hapa JF) kama unauthubutu!
==========
Yaani Sarkozy na wauni wenzake ndiyo unawaita Mungu kuwa alimuabisha Gaddafy (R.I.P)?
 
Screenshot_2017-03-24-20-13-31.png
 
maneno ya kitambulisho yalitolewa kabla ya haya niliyoweka hapa...ni baada ya Mh. Nape kutamka haya ndipo mwanausalama alijihami hasa baada ya kusukumwa.
pia siyo kila scenario inahitaji kitambulisho unaweza kudhibitiwa kwanza then kitambulisho kikafuata baadae.
 
Anaandika aliyekuwa Mbunge na Waziri wa Maliasi na Utalii Mhe Khamis Kagasheki Tanzania haiko chini ya utawala wa kijeshi. Askari kumtolea bastola raia ambaye hana silaha yoyote, haikubaliki na si kitendo cha kufurahia.
View attachment 485829

My take ==
Mara nyingi sana tumezomea kuona Jeshi la Polisi wakitumia nguvu kubwa sana kupambana na upinzani kuliko kutumia akili au njia sahihi katika kutimiza wajibu wao huo.
Kitendo ambacho kimefanywa leo na Afisa wa Jeshi la Polisi kuonyesha bastola hadharani kinatakiwa kulaani na kupingwa kwa nguvu zote.
Jamaa kaambiwa na Nape Onyesha Kitambulisho Katoa Bastola, sasa akiambiwa onyesha cheti si atatoa Bomu!!
Kwao haikubariki Ila kwa wapinzani Sawa. Pole yao walizani no tutaisoma wapinzani. Zamu yao
 
Si tangazo la kuhakiki silaha lilitolewa maana yake waliohakikiwa wanaruhusa ya kuzitumia
 
Weka ID yako wazi (kuwa verified user hapa JF) kama unauthubutu!
==========
Yaani Sarkozy na wauni wenzake ndiyo unawaita Mungu kuwa alimuabisha Gaddafy (R.I.P)?
Mungu ndiye aliyemtoa gadafu, atawatoa na ninyi pamoja na kiburi chenu cha kishetani. hii nchi sio ya kwenu peke yenu, na sia jabu babu yako hakupigana hata kidogo, imekombolewa na wengine tu leo hii uje uone kama vile wewe ndio mungu mtu...kaeni mkijua zile enzi za miungu watu zimepita, hamuogopwi. na kwa jinsi mnavyojifanya hamuoni ndivyo mnavyozidi kujiaibisha na kuonekana kichwani hamna akili. yote mnayofanya kuna siku yatakuja kuwa kikwazo kwenu, mtaulizwa mtashindwa kutoa majibu. na hakuna watu duniani wanaongoza kama wewe na hao wenzio wakafika mbali, siku zote huwa wanaishia pabaya tu, na ninyi hakika mtaishia pabaya kwa Jina la Yesu Kristo. na muishie pabaya kwani kwa mkono wake Mungu mwenyewe atashuka na kuwaokoa watanzania toka mikononi mwenu. mnaringa kwasababu mnategemea uchawi na waganga, jueni yupo Mungu aliyeumba mbingu na nchi, naye ndiye anatawala milele. watu kama ninyi walishakuwepo kabla na sasaivi ni udongo walishaoza na tumewasahau. Mungu atawapiga na kumbukumbu lenu litafutika kabisa.
 
Anaandika aliyekuwa Mbunge na Waziri wa Maliasi na Utalii Mhe Khamis Kagasheki Tanzania haiko chini ya utawala wa kijeshi. Askari kumtolea bastola raia ambaye hana silaha yoyote, haikubaliki na si kitendo cha kufurahia.
View attachment 485829

My take ==
Mara nyingi sana tumezomea kuona Jeshi la Polisi wakitumia nguvu kubwa sana kupambana na upinzani kuliko kutumia akili au njia sahihi katika kutimiza wajibu wao huo.
Kitendo ambacho kimefanywa leo na Afisa wa Jeshi la Polisi kuonyesha bastola hadharani kinatakiwa kulaani na kupingwa kwa nguvu zote.
Jamaa kaambiwa na Nape Onyesha Kitambulisho Katoa Bastola, sasa akiambiwa onyesha cheti si atatoa Bomu!!
Mwambie akae kimyaa...! Wakati wake ulishapita?
 
Najiuliza wakati nape alipokuwa katibu mwenezi ccm je hakuwahi kupanga mipango yoyote ya jinsi ya kuwadhibiti wapinzani, ikiwemo kutumia nguvu ya dola???.
OK
Kama jibu ni ndio basi wacha nayeye aonje joto walio onja wapinzani kama alivyo fanyagwa Lipumba kabla haja badilika na kupoteza dira.
Nape.mwigulu. jk wanahusika na mipango mauaji ya zona morogoro dhidi ya Chadema
 
Back
Top Bottom