WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Mkuu wewe ndiyo mnaoanguka kifafa kama jesca halafu unatuhu mimi bavicha mnamatatizo sana kazimyenu ni kutukana hata kama vitu vikowazi.
Bavicha wasikusumbue akili wamekaa kama mamburula pale wanasukumwa na remote hao,kazi yao kubwa ni kutembea na sumu mifukoni kwenye baa.