Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Status
Not open for further replies.
Ndio wasomi wa siku hizi hakuweza kujua Kagame sio wa nch hii.

Anadhani IGP wa nchi moja ana mamlaka nchi nyingine. Msamehe bure haya mambo hayafundishwi shule za kata.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Museveni is heeding JK's advice already....
 
Last edited by a moderator:
Tanzania lazima tuwe makini sana,hapa nionavo mimi kuna posibility ya multiple war 1.#kiuchumi 2.#maslahi ya p kagame/museveni kongo\ ikumbukwe taifa la tanzania katika kipindi ambacho sio kirefu linaweza kugeuka taifa lenye uchumi wenye nguvu kubwa kutokana na rasilimali zilizopo ukilinganisha na jirani zetu wakenya wenye viwanda vya bkue band nk,hivyo si ajabu kusema mkutano wa watatu hawa #kenyata /#kagame/#museveni una lililojificha katika kuharibu uchumi wetu tukabakia wanunuaji tu wa bidhaa zao.#jambo kubwa kabisa linaloweza kuharibu uchumi ni #vita /Tusipate wendawazimu tukashinda na --------/tumsapoti kabila tu yatosha
 
rwanda kwa eneo lake ni ndogo kuliko mkoa wa kilimanjaro ambao ni mdogo kuliko mikoa yote tanzania. Tutamkanyaga kama kifaranga cha kuku akithubutu! Asidhani kuwa tanzania ni kama congo!


israeli ni ndogo sana ukifananisha na tanzania je tunaweza kuikanyaga kama kifaranga????!!! Tusihukumu uwezo wa kijeshi wa taifa kwa kuangalia ukubwa wa eneo lake cha kufanya ni kuchukua hatua stahiki juu ya kauli za rais huyu....
 
Kaka,
Nauliza hivi hiyo chama inasema Jeshi / polisi yetu iko na CCM , ushahidi iko ? Faida gani inapata ?

Nimesubiri kupata jibu lakini bado ! Acha nikuambiye, hivi CCM ikesema :" oneni Chadema na siasa yao yakuiponda Jeshi letu ? " unazani Chadema itasema nini, si watasema :" ooo, Jeshi iko na CCM. Watanzania tunaonewa ".
Halafu jibu la Jeshi itakuwa nini ?

Labda munataka ikuwe kama Misri ?

Jibu naongoja! Hasa hasa wakati wanasema kama Jeshi inabaka, inaua watu wa Mtwara ? Asante

Mbona mengi unasema km vile Chadema ndio wanasema...?wanasema waliobakwa mtwara.
 
Kwani tatizo ni nini hapa? Sipendi uongozi wa Jakaya kwa vipindi vyote akiwa madarakani kama Rais wa Tanzania. lakini, kutukanwa na kanchi kadogo kama Rwanda is disgusting!! Kisa Jakaya ametaka peace talks and negotiations kwa nchi zile zilizo katika vita ndani ya maziwa makuu.

Jeuri ya kagame ya kupigana vita vya mstuni, anataka kutuletea sie? Hii haikubaliki hata kidogo...

Tuachane na huyu shetani, tuangalie mambo yetu muhimu, wasituletee matatizo yao ya 90's kwetu
 
hapa mwisho naona wanyarwanda watupu wako kazin. kiswahili chao!
Mkuu hicho ni kiswahili cha Wanyamlenge (M23 - wakongo wenye asili ya Rwanda). Wanyarwanda wengi wanazungumza kiswahili vizuri tu, chukulia Mh.Kagame yuko fluent katika lugha ya kiswahili kuliko M7.
 
Kagame publicly threatening to hit President Kikwete

Posted on July 4, 2013 | 4 Comments
By Dr Alexis Habiyaremye


Tanzanian President Jakawa Kikwete whose forces are part of the international brigade of intervention whose objective is to target armed forces operating in Eastern Congo.

This is an article Dr Alexis Habiyambere wrote after the speech of the Rwandan president Paul Kagame had in Kigali while addressing the youth on Sunday 30/6/13. Every Rwandan everywhere is talking about that speech. The tone and the message presage difficult times in the years ahead. Kagame is deliberating preparing another genocide through such speech. Is the international community getting ready to intervene before it is too late. This time it should not pretend that it didn’t see it coming.

It is remarkable that the Rwandan president’s own wife has already understood the dangers of criminalizing a whole population group. In her own speech in the same event, she emphasized that criminal responsibility was individual and “every knee will have to kneel for itself”.

It has almost become a tradition in his improvised speeches to hear Rwandan president Paul Kagame spit his anger and express his contempt for Western donors and other foreigner s who do not share his peculiar ideas about governance and political freedom. He does not miss any opportunity to slam what he calls their attempts to give him lessons, while he has no lesson to receive from anybody. We have heard many insults and derogatory words, but an outright threat to “hit” the president of a sovereign neighbouring nation, this is something even those who know him for a long period would not easily had predicted. On Sunday June 30, in a speech to the “youth connect” meeting convened by the Ministry of Youth together with his wife’s own Imbuto foundation, Paul Kagame threatened Tanzanian President Kikwete in unmistakable terms that he will wait for him at the right place and hit him, in response to the latter’s suggestion that Kagame initiate talks with the armed Hutu opposition FDLR.

“And those whom you recently heard speaking for the Interahamwe and FDLR, saying that we should negotiate with them. Negotiate with them? As for me, I do not even argue about this issue because I will wait for you at the right place and I will hit you!! I really did not… I didn’t even reply to him, I never arg… uh… it is known, there is a line you can’t cross. There is a line, there is a line that should never be crossed. Not once. It’s impossible!!…”

From these words pronounced partly in his hallmark unstructured Kinyarwanda mixed with English, Kagame made clear that he is still deeply angered by the mere suggestion to engage in talks with political opponents. That is why he vowed to wait for the right opportunity to strike back at Tanzanian President. It is unheard of in world diplomacy, to see a head of state threatening to hit another head of state of a sovereign nation in time of peace.

This threat should be taken seriously. Kagame has already proven in the past that he is able to strike his adversaries and silence them. Whether fellow presidents or his own (former) trusted collaborators, his prowess in murdering those he thinks are his enemies would not shy from a comparison with L. Sulla’s famous bragging. Melchior Ndadaye, Juvénal Habyarimana, Cyprien Ntaryamira, Laurent-Desiré Kabila are all heads of states in whose assassination he has allegedly had a hand.

Théoneste Lizinde and Seth Sendashonga, are former collaborators eliminated in covert operations from afar. The last known feat in this series is the failed assassination of his former army chief of staff Faustin Kayumba Nyamwasa, who survived a shooting in Johannesburg, South Africa. The lesser known cases of eliminated military officers who had knowledge of damaging secrets of his cruelty or could become rivals for power in the military, is no less impressive.

The grudge against Kikwete has other sources as well. Kagame’s big ego does not suffer being second to anybody. Being overshadowed by Kikwete as the most visible leader in the region is an additional source of personal resentment towards the charismatic Tanzanian President who, in less than a year, has been honoured by the official visits of the presidents of the two most powerful nations in the world. The recent attempt by Kagame, Museveni and Uhuru Kenyatta to bypass Kikwete and meet in Entebbe without him underscores a rampant feeling of discomfort at the growing strategic importance of Tanzania in the region.

Tanzania’s resolve to play its full role in restoring peace in the region has borne him many enemies among the neighbours who most benefit from the chaos they have helped perpetuate in the Eastern Democratic Republic of the Congo. Uganda and Rwanda will namely be the losers if peace returns in the region because violence has long been their cover and their opportunity to loot Congolese resources. But whether they like it or not, Kagame and Kaguta will have to understand that time for peace has now come.

Kagame doesn’t seem to notice the changing circumstances however. In his self-righteousness, he said in the same speech that he was the paramount example of tolerance because he accepts to live in the same country with an ethnical group of genocidaires. He said that allowing Hutus to stay alive is the biggest political space he could think of, anywhere in the world. He urged the Hutus, even those who were not born at the time of the mass slaughters of 1994 to repent and ask forgiveness on behalf of their ethnical group (Suddenly. There are ethnical groups in Rwanda again!). He made them understand that they owed their lives to him because his soldiers would have slaughtered the entire Hutu population that he characterizes as a genocidaire ethnical group, was it not for his magnanimity that forced him to stop the RPA soldiers. In return for RPF soldiers not slaughtering all Hutus, he urges them to bear the burden of perpetual guilt, because, according to him, crimes were committed on their behalf.

It is remarkable that the Rwandan president’s own wife has already understood the dangers of criminalizing a whole population group. In her own speech in the same event, she emphasized that criminal responsibility was individual and “every knee will have to kneel for itself”. She underlined the importance of liberating the youth from the burden of event in which they did not take part. When Kagame’s own wife starts signaling that she has understood the dangers of his principal political principle (criminalizing all Hutus), the peace in the region can’t continue to be held up by just one individual.

This is what Tanzania has understood much earlier. But Kikwete also knows that those who sow chaos in order to harvest in violence will not easily give up their booty. By accepting to step in, to make his voice for peace heard, Tanzanian President Kikwete knew there was a price. It is now up to the entire population of the region (Congo, Rwanda, Burundi, Uganda and obviously Tanzania) to step in and stand with President Kikwete, ensure his protection and denounce any attempt to threaten his physical integrity.


4 RESPONSES TO KAGAME PUBLICLY THREATENING TO HIT PRESIDENT KIKWETE


  • picture
    Song Matadi | July 17, 2013 at 5:05 am | Log in to Reply
    I am wowed at this. There is everything wrong about Kagame. Not only does he threaten the life of the president of a sovereign country, he claims that the Hutus should bear the guilt of the genocide. I am disappointed to hear this, Rwanda has made NO progress.

    • b52f315799e00cf4b3bf3434f8b567b5
      risingcontinent | July 17, 2013 at 6:59 am | Log in to Reply

      Kagame has created inside Rwanda an apartheid type of society between hutu and tutsi which will take 3 generations at least to heal. In the region he has made tutsi public enemy number one for the rest of other community groups.

  • picture
    Edson Ndanguzi | July 10, 2013 at 2:16 pm | Log in to Reply
    Hehe this is hilarious. Kagame should note that Kikwete is also a former soldier and he might just hit back…


Source:
Kagame publicly threatening to hit President Kikwete | Rising Continent

 
Kimsingi watanzania wazalendo wa nchi hii tumehuzunika sana kwa maneno haya ya Bwn kagame, hasa tukikumbuka wakimbizi waliotokana na vita iliyomweka bwn kagame madarakani, kwa kutambua dhamira yetu ya utu(humanity) na uafrica kwanza tulikubali kuwapokea wakimbizi kutoka Rwanda na kuwahifadhi , kiukweli haikua rahisi na hadi leo bado si rahisi, Tulidhani hii ingesaidia kuimarisha uhusiano wetu na wenzetu wa Rwanda lakini badala yake shukrani ya bwn kagame ndiyo hii, nadhani maneno ya Mwl, Nyerere kuwa ukila nyama ya mtu utaendelea kuila tu bila kikomo inadhihirika bwn kagame amesha zoea vita sasa anatamani vita nyingine tena. Kwa maoni yangu ni jukumu la wananchi wa Rwanda kumkemea bwn Kagame na kumkataza hadharani juu ya suala hili maana ni wao na sisi tutakao athirika na vita kama itatokea, lakini pia viongozi wa Africa ni vyema wakaona umuhimu wa kumkataza bwn Kagame kutamka maneno kama yale. Aidha ni vyema tukajiuliza huyu bwana Kagame jeuri hii anaitoa wapi ?
 
Rwanda sio nchi ndogo kama mnavyodhani, kiulinzi na discpline ya wanausalama wao ni ya hali ya juu na wana perpetrators wengi sana ndani ya Inteligensia yetu, na siri ya kushinda Vita ni Taarifa kwa wakati muhafaka, let us ignore him, when he tries atleast we will say we left with no option then we will hit him badly, otherwise VITA na Rwanda sio uamuzi mzuri na mrahisi, pia nimemshangaa sana huyu Mh. Kagame,Kwa msaada tuliompa ya kuwahifadhi hao wakimbizi wa Rwanda leo analeta Jeuri,
 
Kagame should get prepared as his days are numbered having critisized and threatened Kikwete publically, he has put a gallon of petrol on fire...take it from this forum...today the 23.07.2013. Please be guided that, Kikwete is a silence killer and will kill him at the right time the right place. just wait and see. My advice is that, he should apologize publically otherwise he is gone. Tanzania has two fronts to hit Kagame. The first one is from goma and the second one from ngara. so lets wait and hear.
 
Kagame will pay the price for threatening Kikwete publicaly. He should know that silence makes a sound !
Kagame should get prepared as his days are numbered having critisized and threatened Kikwete publically, he has put a gallon of petrol on fire...take it from this forum...today the 23.07.2013. Please be guided that, Kikwete is a silence killer and will kill him at the right time the right place. just wait and see. My advice is that, he should apologize publically otherwise he is gone. Tanzania has two fronts to hit Kagame. The first one is from goma and the second one from ngara. so lets wait and hear.
 
Wabongo kweli hatuna mambo ya kufanya? Watu wameexaggerate na wanaendelea kufanya hivyo ili kukuza haya maneno. Mie nawashangaa hitting at the right time yaweza kuwa na maana isiyokuwa ya kumuua kikwete, it might mean damaging us economically lakini watu mnashadidia kuwa kamwambia J.K atamuua. Tufanye kazi tulete maendeleo kamà aliyoleta Kagame tuache upuuzi wa kujadili yasiyo na manufaa.
 
u ppl d u knw exactly wht r u talkin about?i hop u dn knw kagame, js wait n c, jk atalia kilio cha mbwa mwizi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom